hee jamani wana jamvi sio kwamba namtetea ila kaja dar kudefend masters yake mzumbe lol! na kaifanya jana na mpaka unadefend kuna maandalizi ikiwa kurekebisha thesis yako then uidefend upewe go ahead ya kutengeneza vitabu.
ndugu Nape alitaka kufanya press conference na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC lakini alizuiwa na wakubwa wa CHAMA kuwa hakuna haja hali iliyopelekea Nape kususia kikao cha viongozi wa Chama na habari zaidi nilizopata ni kwamba amerejea Dar mapema zaidi hata kabla ya wenzie kutawanyika.
Mkuu kweli ni mjamzito wa kile achotaka kusema bado kujifungua. Kitumu Chama Chetu, - Chawala.anasusa kwani ni mjamzito..
kilaza ni kilaza tuu .. hata ukinunua masters degree na phd haubadilishi kitu