Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

Mkuu sosoliso huyu jama aliyeko nyuma yake unampelekesha kweli,acha uonevu.CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wanatapatapa hao dadangu. Wakialika watu kwenye mikutano yao hawafiki sasa leo wamejipatia nyomi la kufa mtu siunajua sharo alikuwa famous kwahiyo inatarajiwa waombolezaji watakuwa wengi.

Usishangae siku za mbeleni picha za msiba wa sharo wakaja kuzitumia kutuonyesha jinsi mkutano wao ulivyofunika huko muheza.

We limbukeni kweli mkuu yani we muda wote akili yako inawaza K..!!!!!!!!!!!!!!WATU STAILI YAKO MIAK YA 1977 WALIKUWA WANTOSWA MTO KAGERA NA IDD AMIN DADAA
 
Cdm sijawaona Nape kaongoza mazishi na eneo zima limepambwa kwa rangi za kijani...kulikoni?
Acha kupotosha watu bwana Nape ameshiriki mazishi ama ameongoza mazishi please fafanua.Nachojua mimi nape kashiri mazishi pamoja na wasanii wengine wa Bongo flava kama msanii na pia kama mwananchi mwingine yeyote alieguswa na msiba wa Sharo Milionea RIP
 
Hawana pa kutafutia kura kwa sasa zaidi ya kwenye misiba ambayo inasababishwa na udhaifu wa serikali ya MAGAMBA.
 
VIPI DK BILALI HAKUWEPO??

NAOMBA MWENYE PICHA YAKE KAMA ALIKUEPO HAPO MSIBANI ANIWEKEE HAPA,,

NATAKA TUH NIJITOSHELEZE AMEBEBA MKASI AU KAUSAHAU??

MR MKASI YULE JAMAAA,,

:madgrin: :madgrin:
 
VIPI DK BILALI HAKUWEPO??

NAOMBA MWENYE PICHA YAKE KAMA ALIKUEPO HAPO MSIBANI ANIWEKEE HAPA,,

NATAKA TUH NIJITOSHELEZE AMEBEBA MKASI AU KAUSAHAU??

MR MKASI YULE JAMAAA,,

:madgrin: :madgrin:

ujue nilikuwa sijakuelewa mwanzo!nilipokuelewa nimecheka sana!lol
af muda si mrefu mkasi utafanana nae!
 
We limbukeni kweli mkuu yani we muda wote akili yako inawaza K..!!!!!!!!!!!!!!WATU STAILI YAKO MIAK YA 1977 WALIKUWA WANTOSWA MTO KAGERA NA IDD AMIN DADAA

Komea huko huko na mdomo wako mchafu...Yamjazayo mtu ndo yamtokayo..moyoni mwako umejaa udikteta na uuaji..bishana kwa hoja na sio matusi..
 
Ninapenda kujua maana ya kuongoza mazishi maana yake nini?Ninavyojua kama ni mkristo kafa basi kiongozi wa mazishi huwa padri na kwa waislamu ni shehe sasa Nape anawezaje kuongoza mazishi?Halafu huyu kiherehere Nape mbona msiba wa marehemu Mwangosi hakwenda?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom