Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

Kwanini wakapamba na rangi ya kijani nijuavyo rangi ya zambarau ni ya misiba hawajamtendea haki marehemu (RIP Sharo)

Wanatapatapa hao dadangu. Wakialika watu kwenye mikutano yao hawafiki sasa leo wamejipatia nyomi la kufa mtu siunajua sharo alikuwa famous kwahiyo inatarajiwa waombolezaji watakuwa wengi.

Usishangae siku za mbeleni picha za msiba wa sharo wakaja kuzitumia kutuonyesha jinsi mkutano wao ulivyofunika huko muheza.
 
Kwa mwendo huu kuna tutegemee misiba mingi kutoka kwa watu maarufu.. maana CCM ndio wameona pa kutokea...
so wataanza kuwauwa ili kuwahi kujijenga...

Wasanii.. onyesheni itikadi zenu mapema kabla hamjafa, naona kuna chama chinja chinja kinajianda...
 
Wanatapatapa hao dadangu. Wakialika watu kwenye mikutano yao hawafiki sasa leo wamejipatia nyomi la kufa mtu siunajua sharo alikuwa famous kwahiyo inatarajiwa waombolezaji watakuwa wengi.

Usishangae siku za mbeleni picha za msiba wa sharo wakaja kuzitumia kutuonyesha jinsi mkutano wao ulivyofunika huko muheza.

Huo ni ujuha kaka yangu ngoja tuone mwisho wao.
 
watuambie basi kama nayo iko kwenye ilani ya chama kuuzuria misibani uku kwetu nako kuna msiba vpi nape au the big boss mtakuja?au ndo ilani inasema ni ya watu maalufu tu ndio mnauzulia.
 
kwani marehemu alikua mwanachama wa ccm? mi sipendi hii tabia ya watu kama nape kujiona wako serikalini au wanawakilisha serikali wakati mtu mwenyewe ni katibu wa itikadi...nothin else
 
nape si tatizo jamani,tatizo ni mfumo ndani ya ccm,wanaona misiba ndo sehemu ya kutangaza sera na kuosha nyota,mbona lowassa anamialiko ya harambee mpaka 2015 hamsemi?,hakuna wengine wanaoweza kuendesha harambee?,kuna nini kimejificha?,mwacheni nape aongoze mazishi hata ninyi mkiwa na majina makubwa siku za usoni mtatamublika ndani ya community
 
Back
Top Bottom