Nape amvaa Dr. Slaa

Nape amvaa Dr. Slaa

Katibu wa itikadi n uenezi wa chama cha mpinduzi (ccm) Nape Nnauye amemtaka katibu kuu wa chadema dr. Wilboard Slaa kuwaeleza Watanzania fedha ambazo amepewa na nchi za Ulaya kwa ajili ya uchaguzi mkuu na masharti yake ni yapi na asipoeleza CCM itayaweka bayana.

Nape alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyikakijiji cha Biharamulo mkoani Kagera amabapo alisema wanaushahidi wa masharti aliyopewa Dr. Sla kwa niaba ya chama chake na lengo za nchi hizo la kufanikisha uchaguzi mkuu

Alisema kabla ya kuanza kutumia fedha hizo ni vemaDr. Slaa akawaambia watanzania masharti gani amepewa ili wapime na kuona dhamira ya chama hicho kinyume CCM itaeleza kila kitu hatua kwa hatua na kutaja masharti yote amabayo Dr. Slaa amepewa na waliotoa fedha hizo

Akifafanua, Dr. Slaa yupo nchi za Ulaya na kilichompelek ni kutafuta fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu na tayari nchi kadhaa zimempa fedha tayari kwa kwa masharti ambayo lazima wayatekeleze na ccm tayari imepata masharti hayo, hivyo kabla ya kuwaambia Watanzania, Dr. Slaa aseme akishindwa hawatakaa kimya.

Alisem kwa sehemu kubwa fedha amabazo zimetolewa na baadhi ya nchi za ulaya kwa chadema hazina nia njema kwa Watanzania ndio maana wanataka Dr. Slaa awe mkweli kwa kueleza masharti gani aliyopewa.

Chanzo: jamboleo

June 16, 2015
Sijamuelewa Nape, kasema tayari ccm wameshaambiwa hayo masharti! Wameambiwa na nani? Kama Slaa ndo kawaambia sasa lililobaki ni jukumu la Nape kuwaambia ccm wenzake hayo masharti. Kwa nini tena liwe jukumu la Slaa kuwaeleza wana ccccmmmm hayo masharti?
 
Katibu wa itikadi n uenezi wa chama cha mpinduzi (ccm) Nape Nnauye amemtaka katibu kuu wa chadema dr. Wilboard Slaa kuwaeleza Watanzania fedha ambazo amepewa na nchi za Ulaya kwa ajili ya uchaguzi mkuu na masharti yake ni yapi na asipoeleza CCM itayaweka bayana.

Nape alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyikakijiji cha Biharamulo mkoani Kagera amabapo alisema wanaushahidi wa masharti aliyopewa Dr. Sla kwa niaba ya chama chake na lengo za nchi hizo la kufanikisha uchaguzi mkuu

Alisema kabla ya kuanza kutumia fedha hizo ni vemaDr. Slaa akawaambia watanzania masharti gani amepewa ili wapime na kuona dhamira ya chama hicho kinyume CCM itaeleza kila kitu hatua kwa hatua na kutaja masharti yote amabayo Dr. Slaa amepewa na waliotoa fedha hizo

Akifafanua, Dr. Slaa yupo nchi za Ulaya na kilichompelek ni kutafuta fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu na tayari nchi kadhaa zimempa fedha tayari kwa kwa masharti ambayo lazima wayatekeleze na ccm tayari imepata masharti hayo, hivyo kabla ya kuwaambia Watanzania, Dr. Slaa aseme akishindwa hawatakaa kimya.

Alisem kwa sehemu kubwa fedha amabazo zimetolewa na baadhi ya nchi za ulaya kwa chadema hazina nia njema kwa Watanzania ndio maana wanataka Dr. Slaa awe mkweli kwa kueleza masharti gani aliyopewa.

Chanzo: jamboleo

June 16, 2015

Amekula mharage ya wapi Huyu???
 
Nape anaendeleza mkakati wao wa kulazimisha viatu vya CHADEMA na wakiomba viatu vyao wachukue CHADEMA. Sasa anatengeneza scenario inayoelekeana na uhamishaji wa raslimali zetu kwenda CHINA na nchi za kiarabu ambazo zinaendesha Tanzania kupitia mikataba yao na ccm. Nisje nikasahau manuari za mafuta 2005, Uwepo wa Rostam kwenye mlango wa Ikulu ya Tanzania kama msimamizi wa utekelezaji wa maagano baina ya nchi yake na ccm, mikataba ya PINDA na Melechela ambaye bahati nzuri mwalimu alimshitukia, lakini sasa Nyerere hayupo Pinda anaendeleza, n.k n.k.

Nape, hiyo ni ndoto. CHADEMA na Dr Slaa in particular hawatanuka uchafu kama Ccm. Wazo la kuwatupia uchafu ili muwe sawa kuwachanganya Watz, limedunda. Tafuteni namna nyingine ya kuosha madhambi yenu kwa taifa.
 
Dr Slaa hawezi kujibu maswali ya 'nazi' na 'ubongo wa samaki'! Hakuna asiyeujua uwezo dhaifu wa Vuvuzela NEPI!

Kwa kumsaidia Nape, kati ya masharti aliyopewa ni: Moja: kuwalinda Tembo wa Tanzania na meno yao dhidi ya ma-CCM, na Kinara wao Mkuu anayewamaliza, the great Elephant Dentist. Pia mbili: aliambiwa Rasilimali za Umma zilindwe dhidi ya Mafisadi wa CCM na pia dhuluma za wizi wa madini, Biashara za Sembe na Ufujaji unaoliwa na Wachina. Na sharti la tatu ni kuhakikisha Wana-CCM walioficha fedha nje wanarejesha ili kuijenga nchi itakayoachwa mahame kutokana na wizi unaoendelea sasa chini ya Ma-CCM.
Kajifunze kuandika kwanza ndo uje kuchangia. Kinara ndo nini? toa "r" weka "n". Halafu unaacha acha maneno...... anza na 'Mwalu" pale kwenye red utaeleweka.
 
Kajifunze kuandika kwanza ndo uje kuchangia. Kinara ndo nini? toa "r" weka "n". Halafu unaacha acha maneno...... anza na 'Mwalu" pale kwenye red utaeleweka.

wewe ndio haujui,hakutaka kumtaja jina huyo Elephant dentist lakini jina alikoweka hapo linashabiana na huyo elephants dentist..
kijana tumia akili kuchekecha mambo sio mpaka utafuniwe kila kitu
 
wewe ndio haujui,hakutaka kumtaja jina huyo Elephant dentist lakini jina alikoweka hapo linashabiana na huyo elephants dentist..
kijana tumia akili kuchekecha mambo sio mpaka utafuniwe kila kitu
Hujanielewa!
 
wewe ndio haujui,hakutaka kumtaja jina huyo elephant dentist lakini jina alikoweka hapo linashabiana na huyo elephants dentist..
Kijana tumia akili kuchekecha mambo sio mpaka utafuniwe kila kitu

hakuna ki2 km hicho duniani..dentist au unamainisha porches
 
hakuna ki2 km hicho duniani..dentist au unamainisha porches

sasa mpaka utafuniwe ndugu,tatizo lugha aliyotumia mtoa mada hapo ni ngumu kwako.
use your brain mkuu,la sivyo hutomuelewa kabisa mtoa mada
 
Katika mambo yanayoshusha hadhi na heshima ya mtu ni pamoja na kuweka rehani ufahamu wako na ukaacha matamanio ya nafsi yatawale akili yako, kwa mimi na yeyote anayekujua anashangazwa na comment nyepesi kiasi hiki, ni kwa sababu moja kuu umeweka mahaba mbele katika hili.

Inawezekana, haujajua RASILIMALI za CCM, CCM wana rasilimali more than 3trillion worth.,,unahoji matumizi ya Rav 4 kila Mkoa ambazo gharama zake haizidi milioni 900, na ruzuku ya CCM kwa Mwezi ni zaidi ya 1.2 bilioni.

HOJA ambayo conclusion yake umetoa shutuma kuwa ni Wizi ni hoja chabga mno kujadiliwa kwa mtazamo huo tena na mtu kama wewe.

Mwaka mmoja tu uliopita, Akaunti Rasmi za CCM zilikuwa zimefilisika. Mbali Ya hilo, CCM ilikuwa na madeni Ya zaidi Ya shillingi bilioni moja kwa NBC, NSSF, media companies etc. Usipoteze muda wako kwa kujadili assets za CCM kinadharia, assets Hizo mapato yake yamekuwa yakifujwa ovyo ovyo.

Itaendelea...
 
Yaani ww nae kubwa jinga kbs mambo gani hayo unauliza ww kiazi hivi kwa akili yako ni ln Tanzania imeacha kuomba misaada kwa nchi za magharibi? na ni mara ngapi hayo masharti yamewekwa wazi nafikiri ww ni miongoni mwa vilaza humu JF

We ndo kilaza mkubwa hutumii akili zako unapelekeshwa na ushabiki wa kijinga tu. Kama mwanamke sawa ila kama we ni dume nawasiwasi na ww utakuwa umefanana na mama yako au umekua na dada zako. Onyesha ukilaza nilioandika mimi tafuta maisha dogo stress za life kukupiga zitakufanya uwe chizi bure
 
Sa ccm na wananchi wasiulize pesa anazopewa mamvi na mapacha watatu kina rosti tam na the team masharti yake ni nini waje waulizie za dr slaa kule nje kuna mabilioni ya pesa unaenda unajieleza tu wakikuelewa wanakupa...in raia namba moja's voice.
 
Humu jf kuna watu wana mawazo finyu dk slaa akamatwe wale wezi wa escrow hapana ni wasafi
 
Haaaa!!! Sasa kama ndivyo....nape unasubiri nini kumpa taarifa mshua. Hujui kuwa hilo ni kosa. Kimbia haraka kamwambie mshua jamaa anatoboa mashua uliyoipanda na anataka uzame.
Acha kulia lia kwa walume.....
 
Weeeee weeee jamaaa wewe! Mambo gani unaanzisha tena? Usiombe kukutana na marehemu, itabidi nawe uwe marehemu. Nakushauri ufute usemi.
Hahaha mkuu umenichekesha sana! Ukikutana na marehemu na wewe utakuwa marehemu!! Back to the topic, mbona nape ameanza kupumua kwa nyuma, shida ni nini? Kama anayajua masharti kwanini asiseme? Toka lini Dr slaa anaushirika na wajinga!?
 
vipi ile mikataba 20 ya gesi iliyosainiwa na jk na wachina ndani ya dakika 1 tulipewa masharti gani?

kamuulize SLAA aliye pewa hela za kampain kwenye uchaguzi kwa mikataba ya siri atazilipaje ndo uje kumuuliza jk
 
Hahaha mkuu umenichekesha sana! Ukikutana na marehemu na wewe utakuwa marehemu!! Back to the topic, mbona nape ameanza kupumua kwa nyuma, shida ni nini? Kama anayajua masharti kwanini asiseme? Toka lini Dr slaa anaushirika na wajinga!?

tulia wewe wanaojua nchi na mifumo yake yote wakupe habari,SLAA anatufanya watanzania wajinga?bora angetulia sisi wenyewe tukampeleka ikulu kuriko kuungana na wazungu walioiua libya na sasa wanatugeukia sisi kisa tumegundua mafuta na gesi,amepoteza umaana kabisa ,bora mbatia mzarendo kuriko kibaraka wa wazungu,hivi wanasiasa wa afrika hawana akili?
 
Humu jf kuna watu wana mawazo finyu dk slaa akamatwe wale wezi wa escrow hapana ni wasafi
naichukia escrow kama mauti lkn kwa hili analolifanya SLAA akijua mipango mibaya ya wazungu wanavyoliangamiza bara la afrika mfn libya wananchi wanafia majini kama mamba kisa vibaraka wa wazungu,ushabiki pembeni hafai tena tunamtaka mbatia au mbowe.
 
Back
Top Bottom