masalu maducka
Member
- May 12, 2015
- 18
- 1
Tulisha mzoea mbona haja semea ufazili wa ccm
Unajishushia hadhi kwa michango wa Hovyo! We ni mtu mzima, sasa ndio nini umeandika sasa! We unafikiri watanzania wa sasa wanapenda sana matusi? Endelea kufuta kamasi ukichoka kalale.
we ndio msemaji wa Babu Slaa..?
Nape mimi huwa sikuelewi akili yako kama ipo sawa, mara nyingi unaongea mambo ambayo hayaeleweki. Ni afadhali uwe unanyamaza kama unachokiongea hukielewi. Huenda waliosema wewe ni vuvuzela hawakukosea.
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!
nilidhani kuna la maana na jipya....Dr. slaa usimjibu huyu kifaranga.
Nasikia eti wewe ni 'dreva' wa ndege kubwa kubwa?
Nasikia na wewe ni Mpishi mpya nyumbani kwa Josephine, Ni kweli..?
Mimi si mmoja wa bendera fuata upepo bila kutafakari si wa CCM wala Chadema, masuala yoyote yanayoigusa nchi nafurahi sana kupata ufumbuzi. Dr Slaa binafsi naona ni vizuri ukiweka bayana tuhuma hizi kwa manufaa ya nchi. Humu ndani wamejaa mashabiki wa kijinga wa kisiasa utadhani wanashabikia mechi za simba na yanga halafu ndo wasomi wengi inasikitisha sana.
Ndivyo walivyo, hao ndugu zangu akili zao ni shida, we wazoee tu. Maana ndivyo Mungu alivyowaumba, ukiwafuatilia sana unaweza kumkufuru Mungu.Hivi ukweli unauuma sana au...kwani si kweli Dr. Slaa kapora mke wa Mahimbo anaitwa Josephine...sasa unanirushia mawe ya nn..!? na akamtelekeza mkewe Rose Kamili na watoto wadogo...!?
Kwnn hamtaki kusikia ukweli...je ww ungekuwa Mahimbo au Rose au watoto aliowatelekeza ungejisikiaje...!? Au sbb Dr. Slaa ana mabavu ndio avunje ndoa za watu...!? Kwnn hamtaki kusikia ukweli...!? hapa kuna uongo gani...!?
Duh....watu mnafuatilia..umejuaje!?
Hali hii Dk.Slaa hajateuliwa kuwania Urais mnahangaika nae je akiteuliwa rasmi.?
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!
Jaribu kusoma ulichoandika...kisha toa comments kama msomaji na sio mwandishi..? Ni aibu kubwa.Tulivyokuwa tunakuheshimu hatukutarajia mdomo wako kutokwa na uchafu hivyo kisa humpendi Dr Slaa. Usichopenda were wengine watamani kiwe kisa kuchafua mdomo kiasi hadi unakufa uchafu huo utakuwa mdomoni kwako.