kwa hiyo wewe na Tamko la Baraza la maaskofu kuhusu Slaa na upadre wake tukuamini wewe zaidi? Acheni utoto hasa mnapogusa masuala ya kiimani. Kuhusu hilo la kifamilia tuwaache wenyewe maana hata sie wengine tunayo yetu na tunamalizana wenyewe.I usually talk straight, uchukie ukweli wangu, sio mm...kwani sio kweli Dr. Slaa kapora mke wa Mahimbo...!? Kwani sio kweli Dr. Slaa kaenda Ulaya kuomba fedha za uchaguzi..!? Kwani sio kweli Dr. Slaa kaisaliti ndoa yake na Rose Kamili na watoto kawatelekeza...!? Kwani sio kweli Dr. Slaa alikuwa padre akaachishwa baada ya kujulikana anafanya ufuska au uzinzi wakati yeye ni padre...!! Unajua kilichomwachisha upadre...!? Unajua ni vigumu mnoo mnooo mnoooooo kuachishwa upadreee....!!? Sasa nimekosa nn hadi useme siko timamu...!? Au naongea uongo..!? Nikupe namba ya Mwana mama Rose Kamili uongee nae ujue machungu anayopata katika maisha yake..!? Kamtesa sana mwanamke wa watu...Dr. Slaa ni janga....kwnn unafikiri juu juu tu...!!! Nasema kweli daima...!!!
Nimekudharau sana mkuu .I usually talk straight, uchukie ukweli wangu, sio mm...kwani sio kweli Dr. Slaa kapora mke wa Mahimbo...!? Kwani sio kweli Dr. Slaa kaenda Ulaya kuomba fedha za uchaguzi..!? Kwani sio kweli Dr. Slaa kaisaliti ndoa yake na Rose Kamili na watoto kawatelekeza...!? Kwani sio kweli Dr. Slaa alikuwa padre akaachishwa baada ya kujulikana anafanya ufuska au uzinzi wakati yeye ni padre...!! Unajua kilichomwachisha upadre...!? Unajua ni vigumu mnoo mnooo mnoooooo kuachishwa upadreee....!!? Sasa nimekosa nn hadi useme siko timamu...!? Au naongea uongo..!? Nikupe namba ya Mwana mama Rose Kamili uongee nae ujue machungu anayopata katika maisha yake..!? Kamtesa sana mwanamke wa watu...Dr. Slaa ni janga....kwnn unafikiri juu juu tu...!!! Nasema kweli daima...!!!
mkuu hakuna haja na kuhangaika na mtu duni kama huyo , jikite kwenye uzi .kwa hiyo wewe na Tamko la Baraza la maaskofu kuhusu Slaa na upadre wake tukuamini wewe zaidi? Acheni utoto hasa mnapogusa masuala ya kiimani. Kuhusu hilo la kifamilia tuwaache wenyewe maana hata sie wengine tunayo yetu na tunamalizana wenyewe.
Sio kila tunalosikia kwenye familia za watu tuyachukulie kwa uzito na ndio maana yaliyosemwa kuhusu yule aliyeimba wimbo wa SEYA tunayapoteza tuu.
ila ukirudi kwenye post yako niliyo ku quote umeongea matusi yasiyostahili.
Katibu wa itikadi n uenezi wa chama cha mpinduzi (ccm) Nape Nnauye amemtaka katibu kuu wa chadema dr. Wilboard Slaa kuwaeleza Watanzania fedha ambazo amepewa na nchi za Ulaya kwa ajili ya uchaguzi mkuu na masharti yake ni yapi na asipoeleza CCM itayaweka bayana.
Nape alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyikakijiji cha Biharamulo mkoani Kagera amabapo alisema wanaushahidi wa masharti aliyopewa Dr. Sla kwa niaba ya chama chake na lengo za nchi hizo la kufanikisha uchaguzi mkuu
Alisema kabla ya kuanza kutumia fedha hizo ni vemaDr. Slaa akawaambia watanzania masharti gani amepewa ili wapime na kuona dhamira ya chama hicho kinyume CCM itaeleza kila kitu hatua kwa hatua na kutaja masharti yote amabayo Dr. Slaa amepewa na waliotoa fedha hizo
Akifafanua, Dr. Slaa yupo nchi za Ulaya na kilichompelek ni kutafuta fedha kwa ajili ya uchaguzi mkuu na tayari nchi kadhaa zimempa fedha tayari kwa kwa masharti ambayo lazima wayatekeleze na ccm tayari imepata masharti hayo, hivyo kabla ya kuwaambia Watanzania, Dr. Slaa aseme akishindwa hawatakaa kimya.
Alisem kwa sehemu kubwa fedha amabazo zimetolewa na baadhi ya nchi za ulaya kwa chadema hazina nia njema kwa Watanzania ndio maana wanataka Dr. Slaa awe mkweli kwa kueleza masharti gani aliyopewa.
Chanzo: jamboleo
June 16, 2015