Nape amvaa Dr. Slaa

Nape amvaa Dr. Slaa

Nape mimi huwa sikuelewi akili yako kama ipo sawa, mara nyingi unaongea mambo ambayo hayaeleweki. Ni afadhali uwe unanyamaza kama unachokiongea hukielewi. Huenda waliosema wewe ni vuvuzela hawakukosea.
 
Yaani we na akili zako timamu unamsikiliza huyo Takataka..

Hivi kwa uelewa wako mdogo kabisaaaa, kama kunamasharti yoyote mabaya au mazuri kwa Nchi yetu aliyopewa Dr Slaa na nchi za Ulaya Nape asingepakachua lile domo mithiri ya fuko la gunia.?

Kama watu waliweza kupakazia ugaidi ambao haupo watashindwaje kutaja zitu ambavyo vipo?

BACK TANGANYIKA
 
I wish SISIEM ingejiathmini kabla ya kuchagua hili vuvuzela kuwa msemaji wao
 
Nape magamba yamekushinda umeona umparue mzee slaa, hapo pazito hupawezi dogo, endelea na watia nia wenu huko huko ufisadini.
 
Yaani we na akili zako timamu unamsikiliza huyo Takataka..

Hivi kwa uelewa wako mdogo kabisaaaa, kama kunamasharti yoyote mabaya au mazuri kwa Nchi yetu aliyopewa Dr Slaa na nchi za Ulaya Nape asingepakachua lile domo mithiri ya fuko la gunia.?

Kama watu waliweza kupakazia ugaidi ambao haupo watashindwaje kutaja zitu ambavyo vipo?

BACK TANGANYIKA

we ndio msemaji wa Babu Slaa..?
 
Nape ni mropokaji tumemzoea,Kiboko yake ni Lowassa mbona ameufyata.
 
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!

Pesa zenyewe za kugharamia uchaguzi mkuu wa nchi tunafadhiliwa na 'wadau wa maendeleo'. Hatujui masharti yake.
Bajeti ya serikali zaidi ya 10% ni misaada ambayo hatujui masharti yake.
Kama dk. Slaa kaziingiza hizo pesa kinyume na utaratibu vyombo husika vimchukulie hatua, tofauti na hapo nape anatapika tu! Aliwahi kuzunguka nchi nzima akitangaza kuwa watawafukuza magamba lowasa,chenge na rostam. Sasa ndiyo wagombea urais!
 
slaa watu wanawaza kuimarisha uchumi wa ndani yeye anaenda kualika wakoloni...hatufai kabisa huyu babu
 
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!

na we ni mcameroon pia hiyo picha ya obama inafanya nn hapo kama sio unagawa kabaang...
 
Dr Slaa hawezi kujibu maswali ya 'nazi' na 'ubongo wa samaki'! Hakuna asiyeujua uwezo dhaifu wa Vuvuzela NEPI!

Kwa kumsaidia Nape, kati ya masharti aliyopewa ni: Moja: kuwalinda Tembo wa Tanzania na meno yao dhidi ya ma-CCM, na Kinara wao Mkuu anayewamaliza, the great Elephant Dentist. Pia mbili: aliambiwa Rasilimali za Umma zilindwe dhidi ya Mafisadi wa CCM na pia dhuluma za wizi wa madini, Biashara za Sembe na Ufujaji unaoliwa na Wachina. Na sharti la tatu ni kuhakikisha Wana-CCM walioficha fedha nje wanarejesha ili kuijenga nchi itakayoachwa mahame kutokana na wizi unaoendelea sasa chini ya Ma-CCM.
 
Her hizo pesa wamepewa Chasema ama UKAWA?????

Na Kama ni chadema zitatumikaje kunufaisha UKAWA .
 
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!

Nilikuwa nakuona mmoja ya watu walio timamu kichwani kumbe nilikosea sana! Hata kuwa member hapa JF ni bahati mbaya.
 
Nape aache kubwabwaja vitu visivyo na msingi...
Aweke wazi na sio kumtishia mtu mzima utadhani anajibishana na watoto wenzake...
Misaada wanayochukua CCM na kuipeleka mifukoni kwao mbona hawaweki wazi??

Nape pia atutajie wezi wa ESCROW wote!!!

Deni la taifa Tril 35 na auditing hawataki kusikia! Huyu jamaa mwili mkubwa lakini kichwani kuna walakini sijui kwa nini??
 
Back
Top Bottom