Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,218
- 5,888
Ama kweli kesho imekaa kichawi. Cha muhimu ishi vizuri na watu maana huwezi kujua ya kesho.
Leo hii Dr. Slaa ni balozi, Nape kageuka 'mhenga' kwenye mitandao ya kijamii ni vijimaneno vya kuumia nafsi tu.