Nape amvaa Dr. Slaa

Nape amvaa Dr. Slaa

Katika watu niliokwisha wadharau na kuona hawana kitu kichwani, Nape ni namba moja. Naweza kupoteza muda wangu kumsikiliza Kinana lakini siyo mropokaji Nape.
 
kwanza atuambie baba yake halisi ni Nani wote twajua Nauye ni wakufikia tu.
 
Nape amshukuru Mungu Dr Slaa anaekwenda kuchukua nchi ni mtu aliyejaa huruma ingetokea Lowassa akachukua nchi huyu Nape angetafuta mahali pakwenda na upuuzi wake.
 
Serikali imekopa us dola milion 800 kutoka china na south Africa kunusuru GAP ktk budget mbona hajasema masharti ya mkopo huu ulio wazi kabisa unakimbilia kusema vtu vitu tofauti kabisa.kama kweli NAPE kaoongea ivyo atakua ana matatizo ya ubongo.
 
Siasa za kijinga...jk ameuza nchi nzma hasemi kwa lolote...km anajua mkataba huo c aseme?
 
katibu wa itikadi na uenezi ccm kimwili,kiroho na kiakili yupo chadema,apewe kadi tu sasa
 
CCM nayo ifafanue haya kwa wananchi:

1. Ofisi za CCM Nchi nzima (wilaya na mikoa) zimeandaliwa land cruisers Mpya (Kilimo kwanza), Je fedha hizi ni ruzuku? Hapana, ni wizi wa Kodi za wananchi.

2. Ofisi za uvccm Nchi nzima zimeandaliwa Toyota Rav 4s mpya, je Fedha hizi ni ruzuku? Hapana, ni wizi wa kodi za wananchi.

3. CCM imejenga ukumbi wake Mpya wa mikutano Dodoma uliogharimu mabilioni Ya shillingi. Je, fedha hizi ni ruzuku? Hapana, mtuhumiwa wa kuhujumu uchumi (mfanyabiashara) ndiye aliyesaidia ujenzi huo. Hii ni Aibu katika kipindi hiki ambacho Akina nape wanajitapa kama majemedari wa vita dhidi ya ufisadi.

Itaendelea...
 
Katika mambo yanayoshusha hadhi na heshima ya mtu ni pamoja na kuweka rehani ufahamu wako na ukaacha matamanio ya nafsi yatawale akili yako, kwa mimi na yeyote anayekujua anashangazwa na comment nyepesi kiasi hiki, ni kwa sababu moja kuu umeweka mahaba mbele katika hili.

Inawezekana, haujajua RASILIMALI za CCM, CCM wana rasilimali more than 3trillion worth.,,unahoji matumizi ya Rav 4 kila Mkoa ambazo gharama zake haizidi milioni 900, na ruzuku ya CCM kwa Mwezi ni zaidi ya 1.2 bilioni.

HOJA ambayo conclusion yake umetoa shutuma kuwa ni Wizi ni hoja chabga mno kujadiliwa kwa mtazamo huo tena na mtu kama wewe.
 
Nape amalizane kwanza na Lowasa.

Huwezi kukemea wizi wewe hata dakika moja,sote tu mashahidi jinsi ulivyoishi kwa kutegemea shughuli za "uokoaji" pale sekenke kipindi hicho unaishi pale misigiri. Una element za wizi wewe,ndo maana watu walipo "okoa" camera yako kwenye harusi ya Kayombo pale tabora ulilalamika sana maana uliona haiwezekani mwizi aibiwe. Shame on you
 
Kama ana ushahidi si aseme!1, kwa nini asubiri kusemewa na mtu mwingine. Hoja dhaifu
 
Back
Top Bottom