mohamed kapufi
Member
- May 2, 2011
- 15
- 0

Jamani,

Huyu bwana mdogo naona amekuja na staili inayoweza kumwingiza kwenye kundi moja la wazee wa taarabu tuliowazoea la mzee Yusufu Makamba na Tambwe Hiza.

Katika siku za hivi karibuni nimeona kasi ya Nnape ya kuropoka na kubwabwaja kama kasuku imeongezeka kiasi cha kutilia shaka uwezo wake katika kukiletea mabadiliko chama chake kilichompatia dhamana ya uongozi.

Sasa ameibuka na kauli yake kwamba Dr. Slaa ni fisadi! Yeye anadhani watanzania ni watoto wanaoweza kudanganywa na kauli nyepesi nyepesi hivyo!!!

Sasa nimeanza kuamini maneno ya watu waliobeza slogan ya kujivua gamba kwamba nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka. Na ndivyo ilivyo kwa CCM.

Mwanzoni, nilidhani sasa tutaanza kusikia kauli zenye mashiko kutoka kwa huo uongozi mpya wa ccm ulioingia baada ya kile kilichoitwa kujivua gamba. Nilijua nyimbo za taarabu zitakuwa zimeisha.

Kumbe wapi, kilichobadilika ni wanamuziki tu, hivi ni kweli ccm imeishiwa watu wa maana wanaoweza kuongoza chama professionally?
FMES i respect you and i am expecting the same from you.Tfadhali usiniite chadema na kudai eti "Mnayofanya huko chadema"It is crap!Sina chama.Kama wewe unapriveledge ya kuwa ccm,basi si kila mtu mwenye hiyo priveledge.Issue ya conflict of interest nimeigusia mimi.Simtetei mtu wala chama.Niliomba facts.
FMES- Mkuu kama ni dataz sasa hivi ndio kabisaa ninazo kuliko wakati wowote ule wa maisha yangu huko nyuma, HOWEVER nimeishambulia sana CCM hapa, na ni kawaida yangu kutojali vyama huwa ninajalia sana taifa, lakini haina maana niwe na siasa za huruma na Chadema, ninawakubali sana Chadema lakini kwenye hili la Mwenyekiti na malori machakavu wamechemsha na ni lazima kuwaambia kwa maneno wanayoyajua sana, tulimshambulia sana Mwakyembe hapa kuhusu conflict of interest na umeme, sasa kwa nini unaamini Mbowe ni toafuti na conflict of interest?
- Unsema Mwenyekiti wa chaka kukiuzia chama anachokiongoza malori machakavu na viapza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 668, sio ufisadi wala conflict of interest na kwamba nikuliza basi maneno mengi kama unanijua vile, kubalini tu wandugu kwamba kwenye hili mmechemsha sana na aibu sana kwa chama cha kutetea wanyonge kufanya mambo kama haya ambayo tumezoea kuyasikia toka CCM.
- Mimi sigombei anything na wala sio the subject, wewe jibu hoja achana mimi the messenger! wewe deal na hoja!
FMES!
Kwamba taratibu hazikufuatwa nk.Ninavyosikia toka kwa wana JF wengine ni kwamba malori hayo tayari yalikuwa yakitumika na chadema toka yakiwa mapya.Inawezekana yalikuwa yakikodiwa kama inavyofanyika kwa choppers.Sasa cdm wakinunuwa ile chopper mtasema tena Ndesamburo kawauzia chopper mbovu.Kama malori yalitumika na chama toka yakiwa mapya,na sasa yako kwenye hali ya tofauti,then nani alaumiwe?Nadhani wanachotakiwa ni kuyafanyia service tu since waliyatumia wao.Ndio maana nikawa nauliza, where are the facts?- What facts? nimesema lets talk conflict of interest kwanza and then tutaongea ufisadi, Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori yake machakavu unasema hakuna tatizo hapo?
FMEs!
FMES
Umenisikitisha sana sikutegemea wewe kuanza kuingia kwenye malumbano yasiyo na tija wala datas, how sure are you kwamba malori na vipaza sauti ni mil. 668, ukiulizwa leo yale malori Mbowe alikuwa anayafanyia nini toka upya wake utajibu kitu gani maana si magari ya kawaida kwamba utabebea mchanga ni special kwa mikutano, au ni riba kiasi gani Mbowe anakidai chama. Kama ni mtu mwenye busara kuna vitu vingine unahitaji kujiuliza kwanza kabla ya kuanzisha thread vinginevyo thread itakuwa kama za kina mlengo wa kati tuanze kujibizana yes na no zisizokwisha, nashukuru mods wameihamisha kukupunguzia aibu.
What is masters katika responsibility, leadership and accountability wangapi ni ma-Dr. na PhD holders ambao wakipewa hata kibanda cha simu watashindwa kukiendeleza.Nimeona mkuu,duh!Kwa makeke yake nilidhani labda atakuwa na ka Masters flani hivi!Lakini siyo siri ana kipaji cha kupanga hoja
Akifafanua kuhusu tuhuma za Mbowe kuhusu kuuzia chama magari chakavu, alisema CHADEMA ndiyo iliomba kuuziwa hicho wanachoita "magari
chakavu." Alisema hayo si magari ya kawaida na hayawezi kufananishwa kwa kiwango chochote na magari ya FUSO yanayotembea mitaani, na kwamba hiyo ni mitambo maalumu ya uenezi wa siasa. Alisema katika magari hayo kuna vipaza sauti vyenye thamani ya dola za Marekani 148,000 sawa na Sh. milioni 222, jenereta tatu zilizonunuliwa kwa Sh. milioni 47 kwa kila gari kwamba yana bodi maalumu yenye uwezo wakubeba watu wasiopungua 12. Pia alisema magari hayo kila moja lina uwezo wa kubeba mapipa ya mafuta ya helikopta, jukwaa la kuhutubia na vifaa vya matangazo ambavyo vyote vimejengwa kwa Sh.milioni 48.4. Alisema Mbowe aliombwa, na kamati kuu iliunda kamati ya watu wanne chini ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Mohammed Issa kumwomba akiachie chama mitambo hiyo baada ya majadiliano marefu. Wajumbe wengine wa Kamati hiyo, waliobariki kuwa ni Mabere Marando, Mkurugenzi wa Rasilimali, Suzan Lyimo (MB) na Anthony Komu, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala. Aidha Komu alisema dai la CHADEMA kwamba inanunua magari chakavu si jipya kwao, kwani inao uwezo mdogo wakifedha na kwamba imezoea kununua magari chakavu siku zote Japani na Uarabuni.
"Kwanza magari yanayozungumziwa chakavu yamenunuliwa nje na kuanzia kazi CHADEMA mpaka leo,na hayajawahi kutumiwa na Mbowe,"
Source: Tanzania Daima.
Kama una ukweli mwingine tofauti na huu tuambie tuujadili.
- Kuyanunua Dubai sio sawa na kuyanunua toka kwa Mwenyekiti!, halafu hela za Chadema zinasimamiwa na Komu kwenye kununua malori toka Mbowe! ha! ha! ha! ha! Chadema bwana kaaazi kweli kweli!
FMEs!
Enyi mnaobwabwaja bila kufikiria kwa ubongo mnategemea chama kama CDM kitajiendesha vipi hasa kupata pesa za kampeni bila kutegemea viongozi wake wenye uwezo kama Mbowe. Mnafikiria unaweza kupambana na mafisadi wenzenu bila watu kama Ndesa? CDM mpaka hapo walikuwa na uwezo gani kugharamia kampeni bila kutegemea watu hao na kama Mbowe alinunua vifaa hivo kwa ajili ya kampeni vipi kumlaumu mtu aliyekisaidia chama chake kukampen? CDM walikuwa na pesa za kukodi mitambo kama hiyo hata kununua? Mnahoji kwanini wasingetenda walikuwa na uwezo kulipa? Mnajua gharama ya helkopta? Kama c ndesa wangekuwa na hiyo helkopta kuwasaidia kwenye kampain?- Ha! ha! you are very right sijawahi kuwauzia CDM anything, lakini siwezi kuwauzia Malori machakavu kwa Shillingi Millioni 468, halafu vipaza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 222, I mean please, talking about majungu! ha! ha! ha! sina hamu na chama cha ukombozi wa wanyonge!
FMEs!
Kwenye red si kweli wamehamisha kwa sababu topic inajirudia na imeshajadiliwa siku nyingi na kutolewa maelezo. Umeshaambiwa Chadema waliweka kila kitu wazi na ni Kamati kuu ndiyo iliyoomba kuuziwa so unataka Mbowe akatae kuiuzia Chadema akaiuzie CUF kwa kuogopa conflict of interest hata mimi ningemuona Mbowe mjinga kwani leo kule Songea wangeanza kwenda tena CUF kuazima mitambo ili wakafanyie mikutano yao, i think this does not need common sense either.- Well, ukweli hauwezwi kuzimwa na kuhamisha thread ndio maana sijalalamika wala kugusa hilo kwa sababu ninajua ningekua ninaishambulia CCM isingehamishwa, lakini ukweli huongelewa popote pale, ninasema hivi Mwenyekiti wa Chadema amewauzia malori machakavu chama chake ambacho kamati zote za kupitisha uamuzi wa chama yeye ndiye kinara wake, hii ni FACTS sio opinion!
FMEs!
Enyi mnaobwabwaja bila kufikiria kwa ubongo mnategemea chama kama CDM kitajiendesha vipi hasa kupata pesa za kampeni bila kutegemea viongozi wake wenye uwezo kama Mbowe. Mnafikiria unaweza kupambana na mafisadi wenzenu bila watu kama Ndesa? CDM mpaka hapo walikuwa na uwezo gani kugharamia kampeni bila kutegemea watu hao na kama Mbowe alinunua vifaa hivo kwa ajili ya kampeni vipi kumlaumu mtu aliyekisaidia chama chake kukampen? CDM walikuwa na pesa za kukodi mitambo kama hiyo hata kununua? Mnahoji kwanini wasingetenda walikuwa na uwezo kulipa? Mnajua gharama ya helkopta? Kama c ndesa wangekuwa na hiyo helkopta kuwasaidia kwenye kampain?
Chama kinapoanza kama CDM lazima kinakuwa na wafadhili na ndio kina Mbowe, Ndesa na matajiri kama Sabodo wachache wasioogopa vurugu za mafisadi.
Kuendesha chama kama CDM hasa kwenye kampeni lazima kuna watu wa kujitolea wanaoumia ila chama kifanye kampeni. Hapo ndipo ujue kina Mbowe wanaumia na wala si faida kama mnavodhani. ukiachiwa wewe na hizo roho mbaya zako hata ungekuwa kama na uwezo wa kifedha chama kinakufa manake unategemea faida kwenye chama bada ya kuitumikia na kuitolea chama.
Kinachonifurahisha ni kuwa CDM wanatoa ufafanuzi. Cha muhimu kama hukubaliani na hizo hesabu ni kutoa facts tujue ukweli uko wapi. Siyo kutuhumu tu kwa roho mbaya zako, hisia na chuki za kisiasa.
Kwenye red si kweli wamehamisha kwa sababu topic inajirudia na imeshajadiliwa siku nyingi na kutolewa maelezo. Umeshaambiwa Chadema waliweka kila kitu wazi na ni Kamati kuu ndiyo iliyoomba kuuziwa so unataka Mbowe akatae kuiuzia Chadema akaiuzie CUF kwa kuogopa conflict of interest hata mimi ningemuona Mbowe mjinga kwani leo kule Songea wangeanza kwenda tena CUF kuazima mitambo ili wakafanyie mikutano yao, i think this does not need common sense either.
Hata kama mwenyekiti ndiye anayewauzia kama taratibu zimefuatwa tatizo liko wapi hivi wakati Mbowe anawasaidia hayo malori kwa kampeni alikuwa si mwenyekiti wa kamati kuu ulikuwa wapi kuhoji kwa nini mwenyekiti anakisaidia chama chake au kulikuwa hakuna conflict of interest enzi hizo. Tena Mbowe na Chadema ni waungwana sana wanaweka mambo wazi siyo CCM wanaoanzisha makampuni ya mafuta na Ngurdoto na Kiwira kwa majina bandia na kujilipa nyuma ya pazia.- Mkuu maelezo yako ni safi sana, je Mwenyekiti wa kamati kuu ya Chadema iliyoomba kuuziwa hayo malori machakavu ni nani?
FMEs!
Mkuu FMES sijabisha kuwa huna dataz ila huna uwezo wa kuzimwaga hapa jamvini umeshajifunga mikono siku nyingi sana, kilichobaki na wewe sasa umeanza kucheza ngoma ya kibati kama wao.- Mkuu kama ni dataz sasa hivi ndio kabisaa ninazo kuliko wakati wowote ule wa maisha yangu huko nyuma, HOWEVER nimeishambulia sana CCM hapa, na ni kawaida yangu kutojali vyama huwa ninajalia sana taifa, lakini haina maana niwe na siasa za huruma na Chadema
FMES!
Mkuu mimi si CHADEMA ila ni independent, ninavutiwa na chama chochote pale ninapoona kinafanya mambo kwa manufaa ya Tanzania ili iendelee, watanzania hatustahili kuongoza kwa bahati nasibu, tunataka watu wenye vision ya next generation not next election na ushindi wa kishindo kwa vyovyote, hata kama wananchi hawawataki. Tanzania ikiwa na upinzani imara na chaguzi huru na haki, ni dhahiri hakutakuwa na kujisahau kwenye madaraka. Watu watafanya kazi za nchi siyo za maswahiba au kundi fulani.- Unsema Mwenyekiti wa chama kukiuzia chama anachokiongoza malori machakavu na viapza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 668, sio ufisadi wala conflict of interest na kwamba nikiuliza basi maneno mengi kama unanijua vile, kubalini tu wandugu kwamba kwenye hili mmechemsha sana na aibu sana kwa chama cha kutetea wanyonge kufanya mambo kama haya ambayo tumezoea kuyasikia toka CCM.
FMES!
- wewe deal na hoja!
FMES!
What is masters katika responsibility, leadership and accountability wangapi ni ma-Dr. na PhD holders ambao wakipewa hata kibanda cha simu watashindwa kukiendeleza.
Kama ni kweli ameharibu....Facts please.Hivi ni nani huyo anayelalamika?Wanachadema mko wapi?Je ni kweli mmeuziwa malori mabovu kinyume na taratibu za chama chenu?Je kulikuwa na conflict of interest?Kulikuwa na alternative nyingine ya kupata malori kwa urahisi,bei poa na yenye hali nzuri?Je mliyouziwa ni mabovu kama wanavyodai kina FMES,Malaria Sugu,Mlengo wa kati na wengineo?Facts pls.