Nape ajibu makombora ya Marando

Fuatilia vizuri mambo! Acha kukurupukia usichokijua!! Tatizo unaleta hapa aliyoyazungumza mwana Magamba mwenzako anayejitapatapa bila data zozote!!
 
- Finally, ngoma inogile! Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori machakavu sio ufisadi ila masikini ya Mungu Mangula anayejilimia shamba lake kule Iringa ni fisadi, ahsante sana Dr. Slaa!

Es!
 
Hivi CDM waseme nini ili mpate kuelewa? Mbona kila kitu kimewekwa wazi? Binafsi nilistuka kusikia CDM wananunua magari chakavu kutoka kwa mwenyekiti. Lakini baada ya ufafanuzi mimi nadhani hawajakosea. Magari yalinunuliwa yakiwa mapya na chama ndicho kilichoanza kuyatumia mpaka hapa yalipo. Mtu aje na ushaidi kwamba Mbowe aliyanunua yakiwa chakavu au aliyanunua mapya halafu akayatumia kwanza, then tutajadili hayo. Lakini kwa information zilizopo there is nothing wrong.
 
Fuatilia vizuri mambo! Acha kukurupukia usichokijua!! Tatizo unaleta hapa aliyoyazungumza mwana Magamba mwenzako anayejitapatapa bila data zozote!!

Katika hatua nyingine, Dk Slaa alisema kuwa CCM kimekuwa kikiishambulia Chadema kuwa kinafanya ufisadi kwa kununua magari yaliyotumika, akisema walishasema kwamba watanunua malori ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa kuwa wamekuwa wakiyatumia siku nyingi.

Source: Google!
 
FMES,since wengine hatuna vyama humu,basi ni vyema ukatuwekea data hapa ili tuweze kujadili accordingly.Siwezi kukubaliana na upande wowote bila facts kwasababu siongozwi na hisia zinazotokana na ushabiki,mapenzi ama uwanachama wa chama cha kisiasa pale inapokuja kwenye issue kama hizi.
 

Hakuna conflict of interest hapo kweli?Aliyepanga bei ya hayo malori chakavu ya Mbowe kwa Chadema ni nani?
 

- Ohhhh! Wallahi lazimu sawa sawa mkuu sana!

FMEs!
 
kwani hili swala si walishalitolea ufafanuzi CDM,sasa wewe usichokielewa kipi...halafu hueleweki..mara mzimu wa Wangwe,mara zitto! hembu njoo kivingine tukuelewe!!
 
Katika hatua nyingine, Dk Slaa alisema kuwa CCM kimekuwa kikiishambulia Chadema kuwa kinafanya ufisadi kwa kununua magari yaliyotumika, akisema walishasema kwamba watanunua malori ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa kuwa wamekuwa wakiyatumia siku nyingi.

Source: Google!


 

mtu akisoma thread yako ataelewa kuwa wewe ni zezeta au tapeli kwa kuuliza vitu vilivyokwisha fafanuliwa kwa uwazi angavu. Kama ulisoma habari hii kwenye gazeti la uhuru au kusikia kutoka kwa ccm mwenzio,tafuta habari ndo uondoe uzuzu wako. Hakika ukijua ukweli utashangaa utando ulioshika ubongo wako sasa kwa muda mrefu wewe muabudu mizimu!
 
nyie watu wa uhuru mnatudanganya sisi au mnajipa moyo kwamba mko salama maana hata watu wenye ukiwi huamini kwamba watapona, haya tuambie hao watu 172 wako wapi kwenye hizo picha au hizo picha tunazoziona mnahutubia watu kumi sio zenu? bob marley aliwahi kusema kwamba, you can fool some people some times but you cant fool all the people all the times, ccm mda wa kupiga watu propaganda umekwisha badili nyimbo, hata mngesema mmehamisha kijiji kizima bado haiwasaidii.
 
Sijaelewa chochote hapa, wacha nipite nitarudi tena nikiwa na la kuchangia
 
Ni vizuri kusoma kila article kuhusu Chadema ili kujiimarisha; yeah some articles will have Uzushi na Uongo
 
tangu mwanzo nilijua Nape hana logic katika matamshi yake. he is very illogical

- I know kama Mwenyekiti kukiuzia chama chake cha siasa vipaza sauti vilivtoyumika kwa Shillingi Millioni 222, kwa kweli Nape yuko very illogical ku-raise hizi ishus!

FMEs!
 
Je ni mabovu?Bei yake ilikuwa ni fair?Utaratibu ulifuatwa?Je ni kinyume cha taratibu za chama?Je kulikuwepo na alternative lakini wakalazimishia Malori ya mwenyekiti?Hizo ndo data ninazozisubiria.Inawezekana mwenyekiti wa cdm na uongozi kwa ujumla umefanya kosa.Siwezi kujudge hadi hapo mtakapoweka more facts.EPA,RICHMOND nk, facts ziliwekwa hapa.I would expect the same in this matter.
 
kama hoja ndio hiyo ya ufisadi mbona kwenu wanapswa kuwa wameondoka chama kizima? ccm mnatia huruma poleni
 

- Mkuu ninaupenda sana uzezeta wangu wa kuuliza Mwenyekiti anavyoweza kukiuzia chama chake Malori machakavu kwa Shillingi Millioni 468, halafu akakiuzia chama kile kile chake vipaza sauti vichakavu kwa Shillingi Millioni 222,

- Jumla Mwenyekiti amejipatia Shillingi Millioni 668 za chama cha wakombozi wa wanyonge na Demokrasia makini sana, ni bora niwe zezeta kwa kuyashangaa haya maajabu ya Musa!


FMEs!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…