Nape aja na Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

Nape aja na Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

Kuna siku moja nikiwa chuoni pale UDSM nilisikia kada muumini mmoja wa CHASO akisema kuwa yeye ni chadema damu, lakini mbinu wanazoziandaa za kuwahandaa watanzania zinaweza kuhatarisha amani ya nchi. Inawezekana mbinu zenyewe ndo hizi nini? ee mungu tuepushe na balaa hili.
Kwahiyo kwa hayo maelezo uliyoyatoa umeshajielewa ulichokiandika!!wah!Hapo udsm ulikuwa mfagizi au msomi???Coz the way ulivyokuwa convinced kirahisi na ulichokisikia na kukilink na pumba za nape, i really doubt kama u r analytical hata kidogo!
 
Mnaishusha JF hadhi sana kwa mabandiko yenu yasiyo na kichwa wala miguu kila kukicha. Siwashangai wale wanaosema hadhi ya JF inazidi kuporomoshwa na watu kama wewe Buku 7 wasaliti wa Watanzania. Something must be done to maintain JF's credibility vinginevyo JF itabaki kuwa ni kijiwe cha uzushi tu na hatimaye kupoteza wanachama wengi makini.

Josephine Mushumbusi anamfanya Dr.Slaa awe too desperate.

Siasa za mauaji hazifai...[/QUOTE]
 
mliweza kuiua NCCR NA CUF ila kwa CHADEMA povu litawatoka sana hamtakiweza.

CHADEMA ni chama teule toka kwa MUNGU.

watanzania wa sasa sio wale wa vitenge naa chumvi mliozoea kuwarubuni


njama zote mnazojaribu kuiundia cdm mtashindwa na dhambi hiyo itawarudieni ninyi MACCM WENYE HAKRI ZA MBWA KOKO ANAYEBWEKA BAADA YA KUONA CHAKULA.
 
Waambie chadema wabadilike na siasa zao za maji taka

Nilitegemea kuona chama kikongwe kikinadi sera zao, lakini sasa hivi kinajihangaisha na kuchonga cd na kuzitafutia uhalisia huku kikisahau hakina nyenzo za kufyatulia teknolojia.
CDM hawana maji taka, Kazi wanazo wale wanaojaribu kuficha mambo ya ufisadi mchana kweupe. Wakati wao wakiongea kwa hisia za intelgensia ambazo hazina ushahidi CDM wanaweka wazi mpaka mawasiliano wanayoyafanya CCM juu ya kuwachafua wenzao.
Sisi MATOMASO tunaamini zaidi yanayosemwa na CDM kwa kuwa yana ushahidi wa dhahiri sio ule unaotolewa na CCM kwa nadharia.
 
hahahahaha yani wamesha tengeneza mkanda mwingine kama hule wa lwakatare lets wait, na ilikuwa hivi hivi kabla ya mkanda wa lwakatare kutoka bila ndio maana mwigulu nchemba alipotea kidogo.
Ni wazi ccm hawana jinsi ya kupambana na chadema lazima watumie njia hizi ili kuzui chadema kufanya shughuli zao.
Hapa NAPE anachotaka ni chadema wazuie kufana mikutano ili apumue.
Naona hile single ya lwakatare haijasaidia kabisa chama chao sasa wanaona bora waje na single mpya.
 
Mtanzania yeyote anayelitakia mema taifa letu, hawezi kukubaliana na tuhuma hii ya nape! Wanaoua watanzania wenzetu ni polis wa ccm ushahidi uko wazi. Nape anafikiri watanzania wa leo ni wa mwaka 47. Tunajua uwongo ni upi na pumba ni zipi!
 
Upumbavu huu wa Nape haupaswi kujadiliwa.

Nape so riziki kabisa.
 
Nepi ni mpumbavu na mwanasiasa mjinga kabisa,jana nimehudhuria mkutano wa CHADEMA na ulikuwa wa amani kabisa,Hivi hawa watu wa CCM ukomo wao wa kufikiri ndio umeishia hapa?Sina cha kuongea zaidi ila ukweli ni kwamba CCM haina Viongozi wenye mawazo makubwa.Poleni!
kama nape ni mbumbavu slaa utamwita nani anayetoa matamko kila siku hata hayana maana mtu mzima hovyo.
 
makanjanja wa rostam na bashe haya habari za magazeti yenu pelekeni facebook kule hapa tunataka fact atuitaji tuuma by the way magamba wanatapatapa..
 
Kwani pale bavicha vijana wanafundishwa matusi mbona wote waliopo humu jf wanamatusi ila taarifa yenu ccm hii ya kinana mtapasuka msamba.
 
Chama teule toka kwa Mungu wacha dhambo hizo wewe
Huyo Mungu alikuambia mda gani
 
hahahahaha yani wamesha tengeneza mkanda mwingine kama hule wa lwakatare lets wait, na ilikuwa hivi hivi kabla ya mkanda wa lwakatare kutoka bila ndio maana mwigulu nchemba alipotea kidogo.
Ni wazi ccm hawana jinsi ya kupambana na chadema lazima watumie njia hizi ili kuzui chadema kufanya shughuli zao.
Hapa NAPE anachotaka ni chadema wazuie kufana mikutano ili apumue.
Naona hile single ya lwakatare haijasaidia kabisa chama chao sasa wanaona bora waje na single mpya.

this time naona ni zamu ya Nepi! Mtahangaika sana magambaz this time maana mmeshikwa vizuri na CDM... mlifikiri ni ccm B na Ccm C eeh!?
 
Josephine Mushumbusi anamfanya Dr.Slaa awe too desperate.

Siasa za mauaji hazifai...

Hata sisi tusofungamana na chama chochote cha siasa tushawajua nyie Ccm hizo prnpaganda za mauaji za kuwasingizia Chadema,wenzenu wakiandaa mikutano na maandamano mnawatumia Police na vijana wenu wa Greenguard kwenda kuvamia kujeruh na kuua. Nyie ndo wauaji wakubwa na tunajua mlichokifanya Arusha,Iringa,Morogoro n.k.! Wewe na huyo Nape wako msitufanye watanzania wote hatuna akili!
 
Kwa thinking hii hatutegemei CCM ituletee maendeleo yoyote. Tunaona hapa chama kinachoongoza serikali kikijivua nguo kuwa hakipo makini kiasi kwamba CDM inaweza ikafanya mauaji na kuachwa iendelee kuliangamiza taifa. Mawazo gani haya??

CDM haina silaha, Silaha zipo chini ya serikali, serikali inalipa mishahara polisi, polisi ndio wanaofyatua risasi, inawezekanaje tena CDM ndio waonekane wanaua??? Unamana hata kifo cha Mwangosi kimesababishwa na chadema??? Mbona hujaongelea Kifo cha Mwangosi?? au unataka kusema kifo hiki wewe hujakisikia???

Nyie watu mtakujaga kufa midomo wazi kwa usaliti mnaolifanyia taifa hili, mtasababisha vizazi vyenu vipate laana kwa kutetea matumbo yenu. Badala ya kuongelea hoja za msingi zinazolikumba taifa, mnatumia muda wenu kufanya siasa za kihuni na huyo jangiri. Hamuwezi kushinda vita hii coz we are determined to kick you out. Mtapasua makoo yenu ila hamtashinda.

Anatueleza eti Kinana kaenda Songea kudiscuss na Nchimbi namna ya kudhibiti maandamano ambayo CDM inatarajiwa kufanya. Uwe muwazi, Kinana kaenda Songea kufwatilia Meno ya Tembo toka Pori la Akiba la Selous hakuna kitu cha maana alichofwata zaidi ya deal zake za ujangiri. Aidha, huwezi sema kuwa umepata siri kuwa cdm wanampango wa kufanya maandamano. Hakuna siri hapo, kama maandamano yatafanyika ni dhahiri lazma waijulishe polisi intention yao, sasa hapo siri ni ipi???

Kama pumba hivi zinatoka kwa kiongoz wajuu kabisa wa chama tawala, watanzania wenzangu tusitegemee jipya. Haiwezekan kichwa kinachogenerate mawazo haya kiwe kinauwezo wa kugenerate mambo ya msingi.
 
Hivi uongo siyo dhambi? au uongo wa kisiasa Mungu anausamehe? Nape, mlokole wa zamani ameona afadhali atumikie hela kuliko Mungu!

anatunga uongo mkubwa ambao hata shetani hawezi kuutunga na, anaandaa mauaji kwa inocent tanzanian ili tuu wasiattend mikutano ya cdm? ni hatari! hatari!
 
Back
Top Bottom