washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 728
Dawa ya akina nape ni hawa jamaa hapa..
Hiyo mipango safari hii haimo kwenye video.?
Duh, hii inatia hofu. Kwa nini vyama visiendeshe siasa safi kwa manufaa na mstakabali wa Taifa.
Kuna faida gani kupata madaraka kwa njia za kishetani?.
Why they are so desperate for power?.
kwani hawafahamu kama nchini kuna demokrasia ya kupata viongozi kwa njia ya kura?.
why all this?. Why, why, why?.