Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,379
No mimi Sio mkenya,ni mtanzania
Sio kwamba nilimpenda kwa sababu ya pesa no,basi tu sioni Kama tutakuja endelea,
5yearz to come umri unaenda haumsubiri mtu,
Nishakujua, wewe ni Msambaa wa Lushoto, kule huwa tunasema MISHI YA NEMA IZA SHIA. sasa bi dada angalia ustaarabu mwingine, ukijifungua salama sepa zako hutashindwa kulea mwanao mbona kuna single mother kibao na wanaishi maisha wayatakayo, kama ukijisikia hamu ya tendo siku hizi kuna vitendea kazi kibao, unajinunulia cha kwako unajisevia mwenyewe chumbani bila bughuza, ndoa kitu gani bana,