Ndo maana nimekwambia kuwa kuna vitu ukae tayari kupigwa shule.....
Shukuru Mungu baada ya hilo jibu amekupotezea...angekuwa kama hawa wajukuu zangu, lazima angeanza kukupiga shule mara moja!!
Babu DC!!
Hivi kwa nini hii thread isiwe sticky.........Mods tafadhali.
Nakumbuka nilipobalehe nilikuwa sipendi kukaa na mama karibu. Kampani yangu vidume wenzangu.
Usimpe vitu vingi sana........Huko anapoenda anatakiwa/atajikuta anatengeneza njia yake mwenyewe.
Wakati mwingine watoto wa kiume hawataki kuonekana na "maadili" saana. Kidogo ununda ni kama njia sahihi
kwa siasa za Boarding school.
aisee mim na domo la kiualimu daima huwaga sikosi neno la kumambia mwanagu manake najua na ninawaona mashulekaunga, nakubaliana na wewe
ushoga ni topik ngumu, ila si lazima uingie kwenye details sana kiasi cha kumshawishi kujaribu.
Unaweza mwambia tu, usikubali mwanamme aguse sehemu zake ni lazima azilinde. Kumpa details nyingi sana napo ni ngumu.
Unaweza anzia hapo.
Kuna mfano ntakupa niliukuta shule ya boarding, japo sikuelewa sana sasa ndio nagundua ilikuwa ni mchakato wa kwenda magharibi.
hii ya kupigwa shule mi mbona kuna siku niliwekwa chini na haka ka darasa la pili tena hapo alikuwa la kwanza!
akarudi kutoka shule veery anxious!mama yuko wapi akaambiwa niko chumbani
huyo mlangoni na kugonga alipoingia tu!
akaniuliza mama unaujua ukimwi!hebu imagine nilistuka kiasi gani!
nikamwambia siujui
akasema ngoja nikale halafu nije nikufundishe ukimwi ndio nini!(nikabaki lol)nnalo leo
basia akamaliza kula akaja chumbani kwangu na kuanza kuniambia ukimwi ni nini
akasema ni ugonjwa ambao mtu anaupata kwa kufanya mchezo mbaya na mvulana /msichana(mi mama yangu :A S 109🙂
nikaende;ea kupigwa lekcha
akaniambia mama ukiona mtu anakwambia njoo upande lifti,au anakuita njoo huku uchukue pipi ukimbie ,af akaongezea unaskia?(mi ndio mwanangu)
akaendelea halafu mwalimu kasema ukimwi unaweza kuwapata watu wanachongea penseli na kukatia kucha viwembe vya watu ,kwa hiyo maama usiokote viwembe shauri yako utapata ukimwi(mi nikabaki dah)toks hspo imebidi tu na hubbie tuwe wazi kwa hawa watoto!manake kuna vitu huwa wazazi tunaamini it is too early kuwaambia watoto tunakuja kustuka the damage is done!
aisee mim na domo la kiualimu daima huwaga sikosi neno la kumambia mwanagu manake najua na ninawaona mashule
imagine mwanangu wa 3 yrs anajua na huwa namwambia kabisa hakuna kuonyesha mtu yoyoyo yako wala mtu kukuonyesha ya kwake. na isije ikatokea mtu akakuambia nataka nikushike yoyoyo yako kwani akiishika ataiumiza. pia huwa nawaambia kabisa marufuu kukojoa chooni na wenzenu kojoa peke yako na usishike yoyoyo ya mwenzio.
sasa kasheshe ni akitoka kuoga kama upo mtu ambaye hujamwogesha chumban kwake havi hadi utoke na anasema kabisa mama alisemaje tusionyeshe watu yoyoyo. hata iweje hawez kutoka nje na chupi hata siku moja manake anajua mama alikataa.
hahahahaha.............hizi ni lugha za kitaa yaani ninamisamiati kama millioni hivi......tena ambayo ina tofautiana kulingana na rika.Nimepata msamiati mwingine mpya kwa hisani ya gfsonwin...YOYOYO :msela:
hahahahaha.............hizi ni lugha za kitaa yaani ninamisamiati kama millioni hivi......tena ambayo ina tofautiana kulingana na rika.
mwanagu mdogo anajua inaitwa yoyoyo, mwanangu mkubwa anajua inaitwa kibaba.
Thanks a lot The Boss, kuna mtu mmoja anamfundisha karate akiwa likizo, it was for funny though; kumbe it can become handy eeh.
Kwa sport anapenda mpira ingawa sidhani kama ni mzuri (pole yake anatoka kwenye familia isiyo na historia ya sport)
Asante sana tena!