MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,090
- 22,373
Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na USISEME UONGO.
Wakati labda kina Hitler, Herode, Yuda, Bokasa na makatili wengine kama wataingia motoni itakuwa kwa sasabu zenye uzito lakini hiki kizazi cha amapiano kinaweza kuadhibiwa kwa mambo ya kijinga. Tutazame mambo kadhaa ya kipumbavu yanayofanywa na wengi kwa sasa;
1. KUTAMKA MATUSI KIHOLELA.
Hili la kutamka matusi limeota mizizi. Shetani kagundua namna nyingi ya kusaidia wafuasi wake kutamka matusi katika hali isiyoleta taharuki. Siku hizi ukienda kutazama mpira uwanjani au Bar ni kawaida sana watu kutamka matusi ya nguoni katika namna iliyoboreshwa. Kwa mfani K***mae inatamkwa *****. Na ile K***NINA inatamkwa MANINER. Baadhi hata wakiwa wanamsikiliza kiongozi wa dini hujikuta wanatamka "Q***make hii point kali sana".
2. UONGO
Hii dhambi ipo kwenye mambo mengi sana. Na pia imechangia marafiki wengi kuwa maadui. Imefikia point hata wasanii hutumia uongo kufanikisha agenda zao. Wenyewe wanaita KIKI. Hii dhambi imevunja na inaendelea kuvunja ndoa nyingi mno.
3. PUNYETO
Katika vitu ambavyo vimewahi kumkasirisha Mungu ni mwanaume kumwagia nje (Mwanzo 38). Dhambi ya punyeto itakula vichwa vingi sana siku ya mwisho. Nadhani mpiga punyeto akikutana motoni na mtu kama Mobutu aliyewahi kuchinja wanafunzi zaidi ya 200 anaweza kupigwa kwanza maana ni uzembe.
4. ZINAA
Inajulikana pia kama ngono. Tendo la ndoa nje ya ndoa. Lakini tofauti na wapenda ngono wa vizazi vingine nadhani kizazi cha Amapiano kinaweza kuwa na moto special kwa wengi wao kutaka kufurahisha nafsi zao kwa matendo ya ngono yasiyo ya kawaida (sexual fantasies). WANAOZAMA CHUMVINI nadhani watakuwa mstari qa mbele kabisa kuelekea motoni.
Ongezea zingine TUJIKUMBUSHE.