Hizi ni baadhi ya sifa za watoto wa 2000

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Habari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+

Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s kushuka chini.

Enzi zetu wakati tunakua kwanza kabisa tulikuwa watu wenye nidhamu iliyotukuka,ilikuwa ngumu sana kukuta kijana mvivu anaependa vya bure.

Sasa nilichojifunza ni kwamba,watoto wa 2000 wana tabia kama zifuatazo ambazo ni chafu kabisa kuigwa:

(a)Wanapenda vya dezo,yani hapa wao wanataka mafanikio ya bila kufanya kazi bali wapate wamama ww kuwalea au wapate pesa kwa kubet nk.

(b)hawapendi kusikia mambo ya msingi,hapa wengi wao hupenda yale mambo ya kipuuzi kama vile miziki yenye matusi na ya kuhamasisha ushoga.

(c) Hawana maarifa yani hata wasomi bado ukiwapima uelewa wao ni mdogo bora hata mimi ambaye skusoma.

(d)Hutukana watu waliowazidi umri hasa katika mijadala ni watu wa kubisha bila kuweka hoja,pia hutukana wanapozidiwa na hoja zilizoshiba.

(e) wengi huamini kuwa kila mwanamke hata awe bibi kizee kuwa wanaweza kumpanda na kufanya kila wanachojiskia bila kuzingatia umri.

Nb: waweza kuongeza sifa zingine nyingi kadri uwezavyo,natumai kwenye uzi huu watajazana kwa matusi na maneno ya shombo kitu ambacho kitasadifu ukweli
 
Ivi hawa watoto wa 2000 ni zao la wazazi wa miaka ipi ? Ili tuweze kujua chanzo kipo wap

Ila kwenye kila jamaii hakukosi watu wema na wenye ubaya ,kwenye hiyo hiyo jamii ya 2000 nimeshuhudia vijana smart sana .

Na jamii ya 80 na 90 pia ina wema na ovyo sana , sema mara nyingi dalili za umri kusogea ni kulaumu kizazi cha mbele yako na kuona ni watu wa ovyo.
 
Dharau, kiburi, umalaya si wakike wala wa kiume na wakike huona kama wao hustahili kupewa tu, wizi hasa hasa kutokua waaminifu yani hata ukimpa hela 30k akununulie kitu uwezkano wakudhurumiwa ni mkubwa mno, ubinafsi, kupenda kuiga n.k
 
Habari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+

Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s.

Enzi zetu wakati tunakua kwanza kabisa tulikuwa watu wenye nidhamu iliyotukuka,ilikuwa ngumu sana kukuta kijana mvivu anaependa vya bure.

Sasa nilichojifunza ni kwamba,watoto wa 2000 wana tabia kama zifuatazo ambazo ni chafu kabisa kuigwa:

(a)Wanapenda vya dezo,yani hapa wao wanataka mafanikio ya bila kufanya kazi bali wapate wamama ww kuwalea au wapate pesa kwa kubet nk.

(b)hawapendi kusikia mambo ya msingi,hapa wengi wao hupenda yale mambo ya kipuuzi kama vile miziki yenye matusi na ya kuhamasisha ushoga.

(c) Hawana maarifa yani hata wasomi bado ukiwapima uelewa wao ni mdogo bora hata mimi ambaye skusoma.

(d)Hutukana watu waliowazidi umri hasa katika mijadala ni watu wa kubisha bila kuweka hoja,pia hutukana wanapozidiwa na hoja zilizoshiba.

(e) wengi huamini kuwa kila mwanamke hata awe bibi kizee kuwa wanaweza kumpanda na kufanya kila wanachojiskia bila kuzingatia umri.

Nb: waweza kuongeza sifa zingine nyingi kadri uwezavyo,natumai kwenye uzi huu watajazana kwa matusi na maneno ya shombo kitu ambacho kitasadifu ukweli
halafu hawa wa 80s -90s wamevamiwa na mvi na makunyanzi usoni,
sijui ni kwa sababu ya visungura na stress za ajira, ndoa na maisha 🐒
 
Kumbe ndio maana siku hizi hatusikii matukio ya uporaji wa kutumia silaha za moto?
NB: Kwa mara ya kwanza mimi kupiga kura ilikuwa mwaka 2005 na siku ya uchaguzi ndio nilimpata mtoto wangu wa kwanza,
kwa kifupi tu mimi na yeye miaka miwili hii hatuivi kabisa kapo chuo kananguruma basi kanajiona kamemaliza kabisa.
Kuna sehemu namsubiri labda ning'ate shuka na hakya nani naweza nikarudi siku hiyo kwa ajili yake.
 
Kapo nilikuta stend ya mabasi hakana ramani kametoka dsm kamesafiri zaidi ya km1000 kamezimiwa sim na jamaa. Kakanifata kakanihadithia mwanzo mwisho ilivyokua nikaona ngoja nikahurumie nikatafuta chumba nikakalaza kesho yake nikakasafirisha kwenda mkoa jirani kwa ndugu yake anavyodai.

Sasa yapita mwezi sasa hv kananisumbua kanataka kurudi eti kalinidanganya huko kalipo sio kwa ndg tena nikwa rafiki yake sasa home hapo wanamhoji maswali anaondoka lini... Upuuzi mtupu sijui vinadhani tunapesa za kuharibu haribu na hali yenyewe ngumu hv. Ila aisee ni kitoto cha 2022 kikisimama kama kimeinama vile aisee ndio maana ndoa zinavunjikaga haya ni majaribu!!
 
Habari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+

Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s.

Enzi zetu wakati tunakua kwanza kabisa tulikuwa watu wenye nidhamu iliyotukuka,ilikuwa ngumu sana kukuta kijana mvivu anaependa vya bure.

Sasa nilichojifunza ni kwamba,watoto wa 2000 wana tabia kama zifuatazo ambazo ni chafu kabisa kuigwa:

(a)Wanapenda vya dezo,yani hapa wao wanataka mafanikio ya bila kufanya kazi bali wapate wamama ww kuwalea au wapate pesa kwa kubet nk.

(b)hawapendi kusikia mambo ya msingi,hapa wengi wao hupenda yale mambo ya kipuuzi kama vile miziki yenye matusi na ya kuhamasisha ushoga.

(c) Hawana maarifa yani hata wasomi bado ukiwapima uelewa wao ni mdogo bora hata mimi ambaye skusoma.

(d)Hutukana watu waliowazidi umri hasa katika mijadala ni watu wa kubisha bila kuweka hoja,pia hutukana wanapozidiwa na hoja zilizoshiba.

(e) wengi huamini kuwa kila mwanamke hata awe bibi kizee kuwa wanaweza kumpanda na kufanya kila wanachojiskia bila kuzingatia umri.

Nb: waweza kuongeza sifa zingine nyingi kadri uwezavyo,natumai kwenye uzi huu watajazana kwa matusi na maneno ya shombo kitu ambacho kitasadifu ukweli
Nafkili kutoa maoni sio dhambi lakini nikuulize tangu ufanye utafiti wako huu, umeshauri nini au umesaidia nini ili tabia izo zikome?
 
Kapo nilikuta stend ya mabasi hakana ramani kametoka dsm kamesafiri zaidi ya km1000 kamezimiwa sim na jamaa. Kakanifata kakanihadithia mwanzo mwisho ilivyokua nikaona ngoja nikahurumie nikatafuta chumba nikakalaza kesho yake nikakasafirisha kwenda mkoa jirani kwa ndugu yake anavyodai.

Sasa yapita mwezi sasa hv kananisumbua kanataka kurudi eti kalinidanganya huko kalipo sio kwa ndg tena nikwa rafiki yake sasa home hapo wanamhoji maswali anaondoka lini... Upuuzi mtupu sijui vinadhani tunapesa za kuharibu haribu na hali yenyewe ngumu hv. Ila aisee ni kitoto cha 2022 kikisimama kama kimeinama vile aisee ndio maana ndoa zinavunjikaga haya ni majaribu!!
Heee kwahiyo ana miaka mi2 sasa?si bado anyonya huyu?👀👀
 
Back
Top Bottom