Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

Leo mazingira hayaruhusu kabisa kuwa mwanamke 😁
Unajua kuwa na IDs zaidi ya mbili sijui mnawezaje? Utajichanganya tu 🤣 sasa rudi kwenye ile ya kiume uje na comment hii ya kike badilisha sauti.
 
Huwezi kabili au badilisha mtoto ambaye si wako bila idhini ya mamaye. Utaonekana unamchukia.
Actually, anampenda mwanamke ila anamchukia mtoto. Embu atujibu kama amewahi kukaa na mtoto na kumfundisha kuwa amekua sasa hakuna kunyonya vidole.
 
Nmejaribu kumwambia kistaarabu athari ya mtoto kuwa bwege kunyonya vidole na kudeka.haelewi. anasema ataacha tu pole pole mtoto anataka upendo sana. Sasa kwa kweli ameanza kuhisi maana nlimwambia mimi sipendi kabisa toto linalonyonya vidole. Linanikera coz linakuwa zubaifu. Kwake nakwepa kwenda sababu ntaenda kutana na hizo kero.na nlimwambia binafsi sijui kudekeza. Mimi kazi kazi. Sipendi mitoto ya kudeka.
Wewe bora ujikatae usiumize watu. As it is tayari huna upendo na huyo mtoto hata angekuwa wa jirani. Imagine unamkuta toto, serious? Awe anadeka hadeki, watoto ni malaika tu, hawana makosa ijapo wanaweza kukosea ndio nafasi ya mzazi inapokuja. Ila mtu hajakuzoea, hujatengeneza naye urafiki, ingawa humuiti mbele ya mama yake, ila you refer to him as litoto! Nikague, hata na wewe kuna mahali una shida. Kama hutaki au hupendi liache litoto la watu ingawa zuri kwa mama yake
 
Actually, anampenda mwanamke ila anamchukia mtoto. Embu atujibu kama amewahi kukaa na mtoto na kumfundisha kuwa amekua sasa hakuna kunyonya vidole.

Bi .... Umeandika kwa haraka sana ungetuliza akili. Wewe mtoto wako ana umri gani?na je huyo mwanaume uliye naye ambaye si baba wa mtoto anamwangalia vizuri?
 
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
kwa akiki yako unadhani ukileta hapa utapata majibu
 
Wewe bora ujikatae usiumize watu. As it is tayari huna upendo na huyo mtoto hata angekuwa wa jirani. Imagine unamkuta toto, serious? Awe anadeka hadeki, watoto ni malaika tu, hawana makosa ijapo wanaweza kukosea ndio nafasi ya mzazi inapokuja. Ila mtu hajakuzoea, hujatengeneza naye urafiki, ingawa humuiti mbele ya mama yake, ila you refer to him as litoto! Nikague, hata na wewe kuna mahali una shida. Kama hutaki au hupendi liache litoto la watu ingawa zuri kwa mama yake

Mama yake hataki tuachane. Nlishamwambia kuwa tunashindwana. Anasema hapana tukae tutazoeana. Nimemwambia namwacha kwanza atunze mtoto akikua tutakuwa pamoja anasema hawezi tunza peke yake anataka mwanaume ambaye ni mimi tusaidiane coz nimeonesha kumjali na nina jali. Sasa nitakupa namba yake uwasiliane naye umshauri kuwa aachane nami nisije muumiza. Sawa mamii? Maana najua huwa mna umoja sana ninyi single mothers. Wewe tafuta namna ya kumwambia kuhusu mimi na yeye. Ukituachanisha bila kuumia yeye nitashukuru sana. Nitumie no yako plz
 
Kama kafikisha miaka mi 5 mfukuze nyumbani akajitegemee
 
Mama yake hataki tuachane. Nlishamwambia kuwa tunashindwana. Anasema hapana tukae tutazoeana. Nimemwambia namwacha kwanza atunze mtoto akikua tutakuwa pamoja anasema hawezi tunza peke yake anataka mwanaume ambaye ni mimi tusaidiane coz nimeonesha kumjali na nina jali. Sasa nitakupa namba yake uwasiliane naye umshauri kuwa aachane nami nisije muumiza. Sawa mamii? Maana najua huwa mna umoja sana ninyi single mothers. Wewe tafuta namna ya kumwambia kuhusu mimi na yeye. Ukituachanisha bila kuumia yeye nitashukuru sana. Nitumie no yako plz
Tuma namba yake inbox nimuelezee.
 
Ukitaka huyo mtoto aache kudeka mzalishe huyo mwanamke mtoto mwingine automatically huyo mkubwa hato Dekalb tena maana hato kuwa na nafasi tena then kila kitu kitabadilika huyo mwanamke inawezekana ni mama bora sana lkn pia anahitaji muongozo ndio maana anaamini kupitia wewe kwani anaju yeye kama yeye hawezi wanawake wanahitaji kuongozwa hilo liko wazi mwanamke kulea mtoto bila mwanaume ni tatizo mostly hawawezi kuficha asili yao hasa ya upole kwahiyo siraha yake kubwa inakuwa ni mume mtoto akifanya anamwambia baba atakuchapa na ukishika mtoto kuchapa anakuambia baba fulani inatosha muache
 
Single motherrrrrr.
Nao ni wake wakati mwingine japo kunanyakati nao nic chenga haswaaaa
 
Bi .... Umeandika kwa haraka sana ungetuliza akili. Wewe mtoto wako ana umri gani?na je huyo mwanaume uliye naye ambaye si baba wa mtoto anamwangalia vizuri?
Nina watoto ndugu, kuanzia Baba, Babu, Bibi, Mama na Baba wadogo wote ni mwamba kwenye malezi. Watoto wakikosea wanawarekebisha hata nisipokuwepo na nikirudi naelezwa. Huyo baba hata kama mtoto sio wake, ana uwezo wa kumpa maelekezo mtoto kwa njia itakayokuwa receptive kwa mtoto, ya kumjenga. Ila mama nae aelewe kama jamaa hatampenda mtoto Leo, hatampenda milele.
 
Back
Top Bottom