Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

Sasa mtoto wa miaka 5 unakuja na uzi, hivi ungedate na single mother mwenye mtoto wa miaka 22 ungefanyaje?
 
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
Mkuu unamuona wivu mtoto anayelilia chakula chake (ziwa la mama yake), ujuwe ni haki yae na wewe ni mwizi wake maana unalinyonya wakati yeye hajakupa ruhusa. Naona kama vile mnamaindiana. Mvumilie tu huyo Maza, huyo mtoto atakuwa na atakuachia hilo ziwa ulichezee wewe.
 
Hakuna upendo hapo ni ujinga tu ,jitu lishazaa linataka mapenzi ya nn tena ? Si aende kwa aliyezaa naye ... single mothers matapeli wakubwa.
NYie🤨 km alizaa bila kupenda.anyway mambo yao waachiwe wenyewe
 
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
Acha utoto huyo bado mdogo
 
Ama kweli duniani wajibga hawawezi kwisha kabisa hata dunia iwe na kiwango cha juu kabisa cha elimu bora.

Kila siku mnaambiwa kuoa/kuwa na mahusiano na single maza ni kujitafitia kutanuka moyo hamuelewi hadi yawakute ndiyo mnaanza kulialia.

Unalia nini sasa? Hao watu hakuna kitu wanajali kama watoto wao na ukitaka akuchukie basi usimpende mwanaye.

Acha matatizo yakukute bahati mbaya lakini siyo kuyafuata kwa nguvu.
 
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
Mkuu nakuomba msaidie huyo mtoto mpaka mama anaomba uwe father figure ujue keshashindwa pekee yake
Nimejikuta nimemuhurumia sana huyo dada
Mkuu ikikupendeza play that role
 
Mwanamke pekee anaweza kumlea mtoto pekee yake ni mjane tu!!
Watoto wote wa single mother wanatabia za ajabu ajabu na hawawezi kukueshimu kama baba kwa maana mtoto kashaletewa wanaume tofauti tofauti
 
Mkuu nakuomba msaidie huyo mtoto mpaka mama anaomba uwe father figure ujue keshashindwa pekee yake
Nimejikuta nimemuhurumia sana huyo dada
Mkuu ikikupendeza play that role

Huwezi msaidia mtoto ambaye mama yake hayupo tayari. Unapotaka mrekebisha anaingilia kuwa ni kumwacha tu ataacha mwenye tabia za kibwege. Mtoto miaka 5 plus anajinyea na kujikojolea akiwa anacheza. Na anajua maneno yote ya kiswahili anajua kusema. Unakuaje baba yake ikiwa mama yake anaona kuwa ni mtoto akikua ataacha?
 
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
Kama umemchoka tuachie sisi, tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi 🎼🎶🎵
 
Back
Top Bottom