Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
Mpige mashuti huyo mtoto.
 
Unahangaika na single maza wakati watoto wa 2000 wamejaa mtaani na chuchu zimesimama.utakufa na mawazo achana na single mama

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini uendeleze familia ya mtu mwingine ilihali unaweza kuanzisha familia yako yenye misingi yako?? Vijana acheni uzembe
 
Back
Top Bottom