Mpwayungu village
Ni kweli jamaa anachosema sio tapeliView attachment 2565999
Shukrani kwa rejeo hili, imagine hadi leo nahitajika operation nyingine tena ya kichwa!!
So usikate tamaa ndugu!
Mpwayungu village
Ni kweli jamaa anachosema sio tapeliView attachment 2565999
WAsiwasi wako mwingi ni kutokana na kukosa taarifa tu , ikiwa kama ulikopa kwenye bank au taasisi ya mkopo inayoeleweka na bajaji yako ndio inaelweka kama ndio chanzo cha marejesho na sasa hivi haifanyi kazi basi unayo haki ya kwenda kuomba marejesho yako yasimamishwe kwa muda huo au yasogezwe mbele , chukua document zako za ajali kama za polisi , picha, report ya bima halafu andika barua kuomba kusimamishiwa marejesho mpaka chombo kitakapokuwa kimekamilika matengenezo hakikisha barua inakuwa stamped na bank au acknowledged kuwa imepokelewa na bank husika . Kwa upande wa bima kama ni bima kubwa na uliripoti kwa wakati basi asilimia kubwa ni kuwa utalipwa . Hamna haja ya kuwa na wasiwasi kwa kiwango hikoHellow JF
Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.
nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..
Lakini sijui marejesho YANGU yatasimama au vipi, na sijui ikipona ntarudi tena au ndio wataichukua moja kwa moja.
Ntakuwa nimekosa vyote yani niko hopeless
Yani Daaah sina ABC wala D
Msaada wa mawazo please.
Ushauli mzuriWAsiwasi wako mwingi ni kutokana na kukosa taarifa tu , ikiwa kama ulikopa kwenye bank au taasisi ya mkopo inayoeleweka na bajaji yako ndio inaelweka kama ndio chanzo cha marejesho na sasa hivi haifanyi kazi basi unayo haki ya kwenda kuomba marejesho yako yasimamishwe kwa muda huo au yasogezwe mbele , chukua document zako za ajali kama za polisi , picha, report ya bima halafu andika barua kuomba kusimamishiwa marejesho mpaka chombo kitakapokuwa kimekamilika matengenezo hakikisha barua inakuwa stamped na bank au acknowledged kuwa imepokelewa na bank husika . Kwa upande wa bima kama ni bima kubwa na uliripoti kwa wakati basi asilimia kubwa ni kuwa utalipwa . Hamna haja ya kuwa na wasiwasi kwa kiwango hiko
Ukiwa na tatizo unaweza kuliona kubwa kabla hujaona la mwenzako... Kuna watu wana hali ngumu kuliko zetu na bado wanapambana hawakati tamaaMshana Jr yupo sahihi,
Binadamu kama mnyama yeyote yule ameumbwa na asili ya ushindani na ulinganishaji
Tunapata umaana wetu Kwa kujiliganisha na wengine
Tunajitanbua zaidi sisi wenyewe pale tunapowafanya wenzetu kuwa kioo chetu
Ndo hivi Sasa nasio kuchunguzana tabu za wengine, hayo maisha ya ujamaa alikufa nayo nyerere tuIli Tanzania ifike mbali yatakiwa Ubepari uenee zaidi.
Ikifika wakati kila kitu kinahitaji pesa,wazazi watasomesha watoto wao na kuwakazania wasome ili wagundue vitu au kuanzisha biashara.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana mkuuWAsiwasi wako mwingi ni kutokana na kukosa taarifa tu , ikiwa kama ulikopa kwenye bank au taasisi ya mkopo inayoeleweka na bajaji yako ndio inaelweka kama ndio chanzo cha marejesho na sasa hivi haifanyi kazi basi unayo haki ya kwenda kuomba marejesho yako yasimamishwe kwa muda huo au yasogezwe mbele , chukua document zako za ajali kama za polisi , picha, report ya bima halafu andika barua kuomba kusimamishiwa marejesho mpaka chombo kitakapokuwa kimekamilika matengenezo hakikisha barua inakuwa stamped na bank au acknowledged kuwa imepokelewa na bank husika . Kwa upande wa bima kama ni bima kubwa na uliripoti kwa wakati basi asilimia kubwa ni kuwa utalipwa . Hamna haja ya kuwa na wasiwasi kwa kiwango hiko
Hajui tu huyuKwa sababu wanawake wakiteseka tunawasaidia basi hicho ndio kikakufanya na wewe jana ukapandisha bandiko lako kuwa unatamani ungezaliwa Mwanamke? Kuna wanawake wanapita ktk wakati mgumu kiasi kwamba wewe ukipewa hayo majukumu yao hata masaa mawili hutoboi.
Daaah pole sana.
Okay tuendelee kupambana
Ukweli huuUkiwa na tatizo unaweza kuliona kubwa kabla hujaona la mwenzako... Kuna watu wana hali ngumu kuliko zetu na bado wanapambana hawakati tamaa
Shukrani,pamoja Mkuu and depression is real Ila Imani muhimu zaidi!!Get well soon , Mungu akuvushe salama ,
Ukweli huu
Nadhani hiki kitu kipo Dunia nzima yaani Mwanaume aliefanikiwa atakwambia sio rahisi kiivyo, usinione hivi nimeteseka na kupitia changamoto nyingi hadi kufika hapa nilipo kwa hiyo ni "ujiko"vilevile.Sikupingi ila shida ni pale ambapo mtu anaumia halafu anajisifu mimi ni mwanaume so what???
Mateso ni laana sio Baraka za mwenyezi Mungu, mateso kaumbiwa shetani ukiona unateseka muombe Mungu akuvushe nasio kusema wewe ni mwanaume, we boya niniKwahiyo mateso kwako siyo kigezo Cha uanaume!?
Sema wewe jamaa una Akili Sana kuhusu Maisha , Mungu Aendelee kukubariki umefanya njia katika Maisha ya watu wengi Sana Allah Akutunze.![]()
Kuna wana JamiiForums wenzetu wanapitia nyakati ngumu mno
Nilikuwa macho toka saa nane usiku na kuna mtu nikaongea naye kwa simu kama dakika kumi hivi. Kufika saa tisa hivi nikasikia kama kitu kinanyata nje ya nyumba. Nilidhani ni mbwa. Hivyo nikafunua pazia kidogo nikachungulia nje. Lahaulah grill la jikoni lilikuwa wazi. Lakini mlango ulikuwa...www.jamiiforums.com
Kuna wana JamiiForums wenzetu wanapitia nyakati ngumu mno
Pakacha linahusiana vipi na uvuvi?Kuvunjika kwa pakacha si mwisho wa uvuvi.hahah sijui nimekosea
Asome kitabu Cha Jean-Paul Sartre Cha No Exit,ajioneeeUkiwa na tatizo unaweza kuliona kubwa kabla hujaona la mwenzako... Kuna watu wana hali ngumu kuliko zetu na bado wanapambana hawakati tamaa
Mkuu anaetamani kuwa na uke.Bila picha wewe ni tapeli tu
Kama we ni mkristo basi unapingana na BibliaMateso ni laana sio Baraka za mwenyezi Mungu, mateso kaumbiwa shetani ukiona unateseka muombe Mungu akuvushe nasio kusema wewe ni mwanaume, we boya nini
Huyu tangu post yake ya kwanza alivyopunyuliwa na Arlteza nilimsoma anatakiwa amshukuru yeye alitoka salama na bajaji ndio ikaharibika je vipi angetenguliwa kiuno akawa yupo kitandani! Sasa hivi anatakiwa ahangaikie marejesho yake na sio kupiga ukunga kila wakati ebooh!Hajui tu huyu