Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
- Thread starter
- #21
[emoji110]Pole mkuu
POna kwanza,afya ndiyo Kila kitu,nmuombe sana Mungu awe nawe
[emoji110]Pole mkuu
POna kwanza,afya ndiyo Kila kitu,nmuombe sana Mungu awe nawe
Nimeipenda hii tiba yakoYani tangu upate hiyo ajali umekuwa unadeka deka sana kiume si tabia nzuri.
Ahsante sanaPole sana mkuu , utafutaji unachangamoto sana na mifumo yetu pia ya mikopo ikitoe emercy inawez kukufilisi
Kwan contract ya mkopo haijasema lolote kuhusu dharula kaz hizo
Wana psychology wa Frankfurt University wanasema 99% ya madereva wanaopata ajari na vyombo vya Moto syo wamiliki wa vyombo husika...Ni 1% tu ya wamiliki wa vyombo vya Moto hupata ajari navyo.Hellow JF
Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.
nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..
Lakini sijui marejesho YANGU yatasimama au vipi, na sijui ikipona ntarudi tena au ndio wataichukua moja kwa moja.
Ntakuwa nimekosa vyote yani niko hopeless
Yani Daaah sina ABC wala D
Msaada wa mawazo please.
AahahajKuvunjika kwa pakacha si mwisho wa uvuvi.hahah sijui nimekosea
Pambana kimya kimya huku lete mrejesho tu.Natakiwa kufanyaje sasa
AiseeWana psychology wa Frankfurt University wanasema 99% ya madereva wanaopata ajari na vyombo vya Moto syo wamiliki wa vyombo husika...Ni 1% tu ya wamiliki wa vyombo vya Moto hupata ajari navyo.
Pole sana mkuu
Hellow JF
Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.
nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..
Lakini sijui marejesho YANGU yatasimama au vipi, na sijui ikipona ntarudi tena au ndio wataichukua moja kwa moja.
Ntakuwa nimekosa vyote yani niko hopeless
Yani Daaah sina ABC wala D
Msaada wa mawazo please.
Jaribu kubalance maneno Yako huenda ni ushauri mzuri ila mode uliotumia sio nzuri sana.Yani tangu upate hiyo ajali umekuwa unadeka deka sana kiume si tabia nzuri.
Hata sijajua mkuuAisee
Halafu Kwanin inakuwa hivyo
Ahsante sanaWana psychology wa Frankfurt University wanasema 99% ya madereva wanaopata ajari na vyombo vya Moto syo wamiliki wa vyombo husika...Ni 1% tu ya wamiliki wa vyombo vya Moto hupata ajari navyo.
Pole sana mkuu
Napambana sana.Pambana kimya kimya huku lete mrejesho tu.
Kusema atembelee muhimbili sijui na magerezani ajionee maisha yalivyo hizo ni fikra za kimasikin, dunia ya sasa niyakibepali mshana. Tatizo lako ni lako tu usilipe matumaini au unafuu Kwa kuangalia matatizo ya wengine hiyo poor mindset. Badilika ndugu yangu nakuheshimu sanaWape taarifa kuhusu ajali na marejesho yatasimamishwa
Endelea na taratibu za bima utalipwa
Ukikata tamaa sasa tembelea Muhimbili na magerezani ukajionee maisha yalivyo kwa wengine
Bila picha wewe ni tapeli tuPole,shukuru Mungu,Mimi nilipata ajali pia,nikavunjika mkono,mbavu 2 na kichwa kupasuka pasuka huku watu watano wakifariki hapo hapo Ila Mungu mkubwa bado napambana.
Baadhi ya picha zangu ukiziona,unaweza kulia. Usikate tamaa bado!!
Mwanaume kuteseka sio sifa, mbona wanawake wakipata majanga huwa tunawasaidia why wanaume tunawaambia wapambaneYani tangu upate hiyo ajali umekuwa unadeka deka sana kiume si tabia nzuri.
Nilivyomuelewa mshana, anasema kwambaKusema atembelee muhimbili sijui na magerezani ajionee maisha yalivyo hizo ni fikra za kimasikin, dunia ya sasa niyakibepali mshana. Tatizo lako ni lako tu usilipe matumaini au unafuu Kwa kuangalia matatizo ya wengine hiyo poor mindset. Badilika ndugu yangu nakuheshimu sana
Mpwayungu villageBila picha wewe ni tapeli tu