Naona kabisa Depression na stress zinakwenda kuniua

Naona kabisa Depression na stress zinakwenda kuniua

Pole

1: Usiishi kwa kufikirika, kuwa proactive. Fanyia kazi yaliyopo kwenye mikono yako/usibaki kuyafikiria. Hapo muda unakuwa unakwenda, hivyontumia myda wako vizuri bila panick.

2: Timiza wajibu wako kwa uaminifu, yaliyokutokea yaweza kumtokea yeyote na kwa madhira magumu zaidi.

3: Usijaribu kumtolea majibu yule ambaye haujamfikishia ujumbe, fikisha ujumbe kamilifu kwa kadri ya hali halisi na uwe chanya/be poaitive. Pata maoni halisi ya mhusika na uyafanyie kazi kikamilifu.

4: Amini aliyekufikisha hapo ulipo bado anaweza kukupitisha kwenye hilo na kukupeleka kwenye mafanikio zaidi.

5: Amini maisha ni kama barabara, huwezi kukosa kona na kona zenyewe ndo hizi ulizopo. Kata kona kwa uangalifu na spidi nzuri utafika.

6: Amini katika utaratibu wa maisha, usifikiri na kuamini katika kumaliza tatizo ghafla/kwa mkato hii inaweza kughalimu zaidi na kukuchanganya

Nakutakia mafanikio mema.
Umekuwa msaada sana kwenye maisha Yangu nashukuru sana Boss
 
Hellow JF

Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.

Nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..

Lakini sijui marejesho YANGU yatasimama au vipi, na sijui ikipona ntarudi tena au ndio wataichukua moja kwa moja.
Ntakuwa nimekosa vyote yani niko hopeless

Yani Daaah sina ABC wala D
Msaada wa mawazo please.
Dr Matola PhD, ushauri wako ni muhimu sana kwa kijana wetu. 😇

Mimi kama mimi, nakushauri kuto kukata tamaa. Wanaume tumeumbwa kupambana. Hivyo unatakiwa kukaa chini, na tafuta namna ya kulitatua hilo taizo.
 
Pole sana mkuu kikubwa ni uzima upo, hiyo ni nafasi nyingine ya kuendelea na mapambano ya maisha, usikate tamaa kamwe.
Niliwahi pata ajali kile kipindi niliyumba sana nashukuru Mungu nilikua na akiba ya kutosha maana hakuna alienijali kwa chochote mpaka napona. Siku akiba ilivyoniishia ndio siku niliyopata nafuu ya kuweza kutoka kupambana.
 
Still boda na bajaj hamnaga akili, ukipona achana na kazi ya kijinga hiyo.
 
Mkuu ,the end of one thing is the starting of something new

M.mungu hakupi kilema akakunyima na mwendo ,nakuhakikishia soon utapata namna bora ya kuingiza kipato kwa namna nyengine

Muamini mungu time heals and solve all problems
 
[emoji110][emoji110][emoji110]
 
Hellow JF

Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.

Nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..

Lakini sijui marejesho YANGU yatasimama au vipi, na sijui ikipona ntarudi tena au ndio wataichukua moja kwa moja.
Ntakuwa nimekosa vyote yani niko hopeless

Yani Daaah sina ABC wala D
Msaada wa mawazo please.

Umaskini Umaskini Umaskini,
Piga kazi kwa nguvu utoke kwenye laana ya Umaskini
 
Back
Top Bottom