Naona kabisa Depression na stress zinakwenda kuniua

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,880
Hellow JF

Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.

Nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..

Lakini sijui marejesho YANGU yatasimama au vipi, na sijui ikipona ntarudi tena au ndio wataichukua moja kwa moja.
Ntakuwa nimekosa vyote yani niko hopeless

Yani Daaah sina ABC wala D
Msaada wa mawazo please.
 
Hellow JF

Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.

nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..

Wape taarifa kuhusu ajali na marejesho yatasimamishwa
Endelea na taratibu za bima utalipwa
Ukikata tamaa sasa tembelea Muhimbili na magerezani ukajionee maisha yalivyo kwa wengine
 
Hellow JF

Naomba hata kama kuna Mtaalamu wa masuala ya psychology anisaidie kuniweka sawa.

nimepata ajali na bajaj yangu sijui itachukua muda gani kurudi barabarani..

Lakini sijui marejesho YANGU yatasimama au vipi, na sijui ikipona ntarudi tena au ndio wataichukua moja kwa moja.
Ntakuwa nimekosa vyote yani niko hopeless

Yani Daaah sina ABC wala D
Msaada wa mawazo please.
Pole mkuu
Pona kwanza, afya ndiyo Kila kitu, nmuombe sana Mungu awe nawe
 
Back
Top Bottom