Naona kabisa Depression na stress zinakwenda kuniua

Kusema atembelee muhimbili sijui na magerezani ajionee maisha yalivyo hizo ni fikra za kimasikin, dunia ya sasa niyakibepali mshana. Tatizo lako ni lako tu usilipe matumaini au unafuu Kwa kuangalia matatizo ya wengine hiyo poor mindset. Badilika ndugu yangu nakuheshimu sana
Ili Tanzania ifike mbali yatakiwa Ubepari uenee zaidi.
Ikifika wakati kila kitu kinahitaji pesa,wazazi watasomesha watoto wao na kuwakazania wasome ili wagundue vitu au kuanzisha biashara.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kusema atembelee muhimbili sijui na magerezani ajionee maisha yalivyo hizo ni fikra za kimasikin, dunia ya sasa niyakibepali mshana. Tatizo lako ni lako tu usilipe matumaini au unafuu Kwa kuangalia matatizo ya wengine hiyo poor mindset. Badilika ndugu yangu nakuheshimu sana
Ungekuwa unaandika point kama hizi Kila siku ingekuwa poa sana
 
Nilivyomuelewa mshana, anasema kwamba
Haya ninayo pitia ni kawaida kwa sababu kuna watu wana matatizo makubwa kushinda Yangu.

Sio kwamba najifananisha nao ila nipo kwenye hatua yenye hafueni sana.

Au sio hivyo Mpwayungu?
Sawa Kuna wenye matatizo zaidi yako sikatai lakini hayo matatizo Yao wewe yanakupa unafuu gn Kwa hilo unalopitia. Ingekuwa ni mechi ya Mpira wa miguu kama ilibyokuwa kombe la Dunia mwaka jana URUGUAY walikuwa wanaomba KOREA ifungwe ili wafuzu hapo tungesema ni Sawa maana bila hivyo hawatafuzu

Sasa tukija kwenye changamoto tunazopitia haina tija kuanza kuangalia na wengine kama wapo wanaopata tabu. Kwanza kuanza kuchunguza matatizo ya wengine unaacha ya kwako huo ni umbea, unafiki, kukosa kazi pia za kufanya.

Mkuu pambana utoke kwenye huo msoto usipambane kwenda magerezani na kwenye mahospitali ili kuwaona wenye tabu zaidi yako, ukishawaona ndo bajaji yako itapona au
 
Aiseee!
Nimekuelewa
 
Bila picha wewe ni tapeli tu

hujafa hujaumbika,sitaki kukuombea mabaya Ila elewa tu kua hadi sasa nimefanya operation 3 za kichwa and still one more to!!

Punguza kauli chafu,huwezi jua hatima yako,ubarikiwe!!
IMG-20170517-WA0015.jpg
 
Mwanaume kuteseka sio sifa, mbona wanawake wakipata majanga huwa tunawasaidia why wanaume tunawaambia wapambane
Kwa sababu wanawake wakiteseka tunawasaidia basi hicho ndio kikakufanya na wewe jana ukapandisha bandiko lako kuwa unatamani ungezaliwa Mwanamke? Kuna wanawake wanapita ktk wakati mgumu kiasi kwamba wewe ukipewa hayo majukumu yao hata masaa mawili hutoboi.
 
Sikupingi ila shida ni pale ambapo mtu anaumia halafu anajisifu mimi ni mwanaume so what???
 
Kusema atembelee muhimbili sijui na magerezani ajionee maisha yalivyo hizo ni fikra za kimasikin, dunia ya sasa niyakibepali mshana. Tatizo lako ni lako tu usilipe matumaini au unafuu Kwa kuangalia matatizo ya wengine hiyo poor mindset. Badilika ndugu yangu nakuheshimu sana
Mshana Jr yupo sahihi,
Binadamu kama mnyama yeyote yule ameumbwa na asili ya ushindani na ulinganishaji

Tunapata umaana wetu Kwa kujiliganisha na wengine

Tunajitanbua zaidi sisi wenyewe pale tunapowafanya wenzetu kuwa kioo chetu
 
Back
Top Bottom