Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

jamani maneno mengi ya siasa na haki za binadamu, ndio bongo siku zote mineno mingi lakini on this one yaani salim hapana wote tuna macho ya kuona kuwa hatufanani naye sio mwenzetu huyu!,

enzi za mwalimu tulikuwa tunaogopa kusema sasa tuna nafasi ndio tulianzia dodoma kumpa ukweli kuwa mzee si mwenzetu,

now guys ni kweli we can talk back and forth it good for the forum, lakini huu ukweli ambao hatuhitaji kuambiwa ni vigumu kuukwepa, hapa hata siasa na usawa wa binadamu unafika mwisho, dodoma alikataliwa kwa sababu tu ya uarabu wake sio siri, na pia ukiwauliza viongozi waliohusika watakwambia maneno ya uongo,

suala la ubaguzi ni la damu na always wote huwa tunahusika in one way or another, ni natural sio masuala ya kujifunza siku zote binadamu tunataka kuwa karibu na tunaofanana nao, nyinyi kina choveki na wenzako mwisho mtatuletea mambo ya ndoa za mashoga maana mna maneno mengi ya progress na ndiko mnakoelekea, mambo mengine ni kuyaacha tu kama yalivyo sisi ni weusi na waarabu ni tofauti hata tabia zetu hazifananani, hapa hamna siasa wala lecture ni mwisho wa yote, kila mtu aende kwao, na kwenye urais wa nchi yetu hatuwezi kuwa compromise kwani hata huko majuu tunajua walivyowakali inapokuja kwenye urais msituponze na hizo siasa zenu za nje nyingiiiiiii!

jehanam inakusubiri.....
 
Tafuta chuo kingine ili usome hiyo Mba. Maana cheti tayari unacho ila ambacho huna ni hiyo MBA Cooperate.

manake akienda kuifanyia kazi ni sawasawa na hewa na ndio tatizo linalotukabili nchi hii.sijui tunaelekea wapi
 
wewe ni mnafiki! huyo jamaa ndiyo kawa mkweli kwani vyuo vya tanzania watu wanaenda kukusanya vyeti lakini kichwani ni weupe! hujiulizi kwa nini professor mhongo hajui mitaji ya kuwekeza kwenye biashara inapatikana wapi na kwa nini hata rais kikwete hajui kwa nini tanzania ni maskini!

Ohhh. Kumbe hata unachoelrza ni hadithi za kufikirika katika mkakati ws kulower reputations za vyuo vingine. Hatutafika. Mbona kenya wsnavyuo vingi tu na bado vyuo hivyo vinaonana kaka sisters tofauti na huku Tz. Badala ya kushikana mkono tunakatishana tamaa. Kwanini vyuo vikubwa vinaogopa ushindani
nimeekusikia mkuu, unapoint muhimu sana. mimi nachoswa na watu wanaingia kupoteza muda mkuu, wanaabishana.
 
nimeekusikia mkuu, unapoint muhimu sana. mimi nachoswa na watu wanaingia kupoteza muda mkuu, wanaabishana.

tunataka msifie vyuo kwa mifano ya mafanikio sio bla bla tu! e.g. UDSM ni bora kwa vile imetoa wahandisi wazuri walioweza ku-design miundo mbinu iliyoondoa msongamano wa magari katika jiji la DSM, imetoa wataalamu waliowezesha tanesco kujiendesha kwa mafanikio; IFM or MZUMBE UNIVERSITY imeaandaa wataalam wanaowezesha nchi kusonga mbele kwa mafanikio na sio longo longo zenu!
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

Sio tu Mzumbe! wengine ni kwamba hawasemi tu.Ni kawaida sana kwa nchi hii.Unadhani msamiati wa 'desa' umetoka secondary?Hasha!ni vyuoni!Watu wengi hasa vyuo kama Muhimbili nimeona wanatumia sana madesa.Halafu wana ushirikiaono wa hatari iwapo wanataka kumbeba mwenzao.Na haya yote yanaletwa na tabia ya baadhi ya waalimu kukomoa wanafunzi kwa kuuliza maswali ambayo hata angewapa walimu wenzie wangefeli!Ndio sababu hawezi kuja mtu akanitisha eti PhD holder!!mara oh msomi mara akili sijui kubwa wakati hakuna lolote alifanyalo kulingana na elimu yake!Na hao wapo wengi sana mtaani na kwenye taasisi nyeti za umma

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
wewe ni mnafiki! huyo jamaa ndiyo kawa mkweli kwani vyuo vya tanzania watu wanaenda kukusanya vyeti lakini kichwani ni weupe! hujiulizi kwa nini professor mhongo hajui mitaji ya kuwekeza kwenye biashara inapatikana wapi na kwa nini hata rais kikwete hajui kwa nini tanzania ni maskini!

tunataka msifie vyuo kwa mifano ya mafanikio sio bla bla tu! e.g. UDSM ni bora kwa vile imetoa wahandisi wazuri walioweza ku-design miundo mbinu iliyoondoa msongamano wa magari katika jiji la DSM, imetoa wataalamu waliowezesha tanesco kujiendesha kwa mafanikio; IFM or MZUMBE UNIVERSITY imeaandaa wataalam wanaowezesha nchi kusonga mbele kwa mafanikio na sio longo longo zenu![/QUOTE

mkuu nimekusifia naona unaweweseka tena! hujui kwa kupeleka mawazo yako kama hayo ulitoa(hali ya dsm city)
 
Uzuri wa Chuo si jina bali ni pamoja na bidii ya mwanafunzi mhusika, miundo mbinu (Maktaba, maabara, madarasa n.k) pamoja na walimu waliofuzu kikamilifu na wanaotambulika popote duniani. Huyu bwana Joshua_ok anachosema huenda kikawa kweli kwa jinsi yake lakini haitoshi kusema Mzumbe University ni chuo cha ovyo la hasha!! ninawafahamu walimu wenye sifa na weledi mkubwa pale Mzumbe. La muhimu ni kwa uongozi wa chuo kuanzia Idarani kuweka utaratibu wa kuwabana wanafunzi ili kuhakikisha kazi/dissertation wanazoandika ni za kwao na si za kufanyiwa kwa kuwalazimisha kuwasilisha research findings kuanzia ngazi ya idara, kitivo na kuendelea pengine inaweza kusaidia.
 
tunataka msifie vyuo kwa mifano ya mafanikio sio bla bla tu! e.g. UDSM ni bora kwa vile imetoa wahandisi wazuri walioweza ku-design miundo mbinu iliyoondoa msongamano wa magari katika jiji la DSM, imetoa wataalamu waliowezesha tanesco kujiendesha kwa mafanikio; IFM or MZUMBE UNIVERSITY imeaandaa wataalam wanaowezesha nchi kusonga mbele kwa mafanikio na sio longo longo zenu![/QUOTE

mkuu nimekusifia naona unaweweseka tena! hujui kwa kupeleka mawazo yako kama hayo ulitoa(hali ya dsm city)

Uko kidato gani?
 
Chuo ata uwe na juudi vipi kama maswala yako na lectures hayapovizuri utalamba ma c yakutosha, kuna warembo hawakai hata chuo, assignment hawashiriki mwisho wa siku wana mabanda, juudi inategemea na course instructor wako yupo vipi,
 
Hauko makini.wewe pamoja na wote wenye tabia kama yako ni mizigo kwa taifa.nashangaa huonyeshi kushtuka.Anayefanya kosa huku anajua ni --------
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

POLE SANA KWA UHAKIKA NENDA USOME CHUO PEKEE TZ CHA UHAKIKA NI OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Pale hakuna kukutana na lecturer hakuna rushwa ni wewe na na text book zako tu
 
Ha ha ha...hii post imenifurahisha sana..Naona wengine wakitetea chuo mpaka mapovu yanawatoka, nafikiri Kama ulisoma kwa jitihada zako huna sababu ya kutokwa na mapovu, ukweli utabaki kuwa ukweli. Vijana wengi kuanzia miaka ya 20k ni majanga..inawezekana jamaa nafsi inamsuta kuwa na master fake! Kama walivyo wengi tu...
 
Schooling and certificating. Wengi hamjui kujenga hoja. Chanzo cha mikataba fek ya serikali maofisa wa serikali hawaweza kujenga na kuchambua hoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom