Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Hivi wewe kama mwanamke,ukitongozwa,ukapelekwa guest kutiwa. Kisha huyo bwana hajakupa ela. Utamlaumu aliekutia au utajilaumu mwenyewe? Naona hicho ndio kilichokutokea!
 
Ok, sitaki kunyoosha vidole kwa watu au taasisi fulani lakini ukweli unabaki kwamba hii nchi inabidi warekebeshi elimu yetu. Mimi nimesoma degree yangu nje na nilikuwa na mpango wa kusoma Masters Tanzania lakini ukipiga mahesabu madarasa yalivyo, lecturers ambavyo sio cooperative, jinsi vyuo havina IT support. Naishia kusave nirudi kupiga Masters yangu nje.

Nje ndo wap bro? Unaenda kusoma nje chuo kina hadhi ya Sebastian kolowa ya bongo au teku huku afu unataka kubabaisha watu. Mxieeeeeeeew
 
mmmh mbona mm nasoma mzumbe cjawahi kuskia izo ishu alafu napaona pagumu kichizi

Umekuwa mzito tu opportunity sio lazma wote wajue komaa utembelee class mbovu afu unajua kaz mwenzio class nzuri hajui kazi na mjanja? Nimemkubali sana huyu jamaa ni jasir afu mkweli nyie mbona mnapenda kuficha uozo muonekane vichwa au mnatetea chuo km kina ubivu cha babaako hcho simamieni ukweli.
 
No wonder nchi yetu ina mambo ya kiubabaishaji sana. Hili la Mzumbe linafahamika tokea kitambo sana. Full kughushi. Viongozi wanalijuwa lakini hawawezi kuchukuwa hatua kwa vile wao ni wanufaika wakuu wa uhuni huu katika nchi yetu. Pole muathirika, nenda SUA uone mziki mnene. Ukitoka tu pale utajisikia kweli shule umepiga. huko kwingine hata upate hizo PhD, zitabakia tu kuwa kama za yule waziri wa uwezeshaji, (yule mama ambaye amekuwa waziri kwa miaka 20) au yule ambaye jina lake ni supu inanywewa na walevi baa nayo hutokana na kwato za ng'ombe (mbunge wa naniu.... kule kwenye gereza kubwa la mahabusu).
 
Uko sahihi kabisa ndugu lakn sio Mzumbe peke yake, Vyuo vingi vya Tz wanafanya huo upumbavu. kuna chuo kimoja cha uhasibu hapo bongo jamaa walipewa post graduate Diploma bila kufanya research mwaka 2012, walikubaliana na lekcha wapewe maksi tu. kwa kifupi elimu ya bongo imekwisha. Afadhali ww umekuwa mkweli kwa hili lakn wengi wanakausha kusema (kama ilivyo kwa mwanaume kubakwa na demu, kati ya 100 ni mmoja tu atalalamika). Mm nimeona madudu mengi wakt nasoma undergraduate na nimeapa ctasoma masters bongo labda ikibidi kwa sababu wale vilaza waliokuwa wanajiumauma kutufundisha bachelor ndio wanafundisha masters sasa. mm nadhan ualimu wa chuo unatakiwa uwe fiti sio mtu wa kukariri maswali na majibu, hata kwn group discussion huna mchango wowote eti leo ni lecturer.
 
Nje ndo wap bro? Unaenda kusoma nje chuo kina hadhi ya Sebastian kolowa ya bongo au teku huku afu unataka kubabaisha watu. Mxieeeeeeeew

We jamaa umetokea pori lipi? Siyo kila mtu anaenda vyuo feki. Mxieeeew mwenyewe.
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

silly!!!!..We kwa nin usitumie akil yako?
 
Huu uzushi mtupu tuulizeni tunaosoma mzumbe tuwaambie mziki wake, hvyo vi2 viko kila sehemu na inategemea na wew mwenyew
 
Nina mashaka makubwa sana na utimilifu wa akili ya aliyeanzisha mada hii. Hivi sijui ni lini upuuzi huu wa kudunisha chuo fulani kwa sababu ya mapungufu ya mtu binafsi utaisha lini. Mimi ni Engineer, na ninafanya kazi na dada mmoja- pia ni Engineer- aliyehitimu katika moja ya vyuo ambavyo watu hufikiri kuwa ni bora zaidi na hivyo hata wahitimu wake watakuwa ni bora; kinyume ni kwamba, ukimsikiliza dada huyo namna anavyo-argue katika changamoto za kihandisi tunazopitia ofisini na site, kwa mtu uliyesoma vizuri na kuelewa vyema utasikitika sana pale utapogundua kuwa mtu aliyetunukiwa degree ya engineering hawezi hata kutofautisha mambo madogo yanayohitaji ufahamu wa Physics ya O'level tu!
 
Mkuu umeongea jambo linalonisumbua siku nying sana sio tu taaluma ya engineering ni zote kwangu mm nadhani makosa yetu yako tangu mwanzo huko majumbani primary,sekondari jamii haiangalii INTEREST YA MTOTO mbali na ufaulu wake hasa secondary kwenda vyuo, Pia naweza sema TAALUMA YA MTU SIO TU ELIMU ni pamoja na mazingira aliyokulia interest yake wakati akikuwa n.k. hivi vitu vyaweza kuwa na mchango mkubwa sana kuelewa taaluma kuliko ile tu miaka 3 au 5 ya UNIVERSITY
 
Huu uzushi mtupu tuulizeni tunaosoma mzumbe tuwaambie mziki wake, hvyo vi2 viko kila sehemu na inategemea na wew mwenyew

Acha kuficha uozo kijana chuo chenu feki, hata mi bro wangu amesoma hapo anakiri ni majanga matupu
 
Mzumbe wanaoharibu zaid ni Dar es Salaam Campus pale hata uwe BICHWA NAZI degree unaipata fasta yaani in short ni TIA MAJI TIA MAJI UNIVERSITY ukiwana pesa unanunua cheti cha digrii
 
Ndio maana viongozi wengi wa ccm na vilaza wa serikali wanakipenda hiki chuo.

Ghafla utasikia mtu ana masters kufumba na kufumbua PhD holder.
 
Nina mashaka makubwa sana na utimilifu wa akili ya aliyeanzisha mada hii. Hivi sijui ni lini upuuzi huu wa kudunisha chuo fulani kwa sababu ya mapungufu ya mtu binafsi utaisha lini. Mimi ni Engineer, na ninafanya kazi na dada mmoja- pia ni Engineer- aliyehitimu katika moja ya vyuo ambavyo watu hufikiri kuwa ni bora zaidi na hivyo hata wahitimu wake watakuwa ni bora; kinyume ni kwamba, ukimsikiliza dada huyo namna anavyo-argue katika changamoto za kihandisi tunazopitia ofisini na site, kwa mtu uliyesoma vizuri na kuelewa vyema utasikitika sana pale utapogundua kuwa mtu aliyetunukiwa degree ya engineering hawezi hata kutofautisha mambo madogo yanayohitaji ufahamu wa Physics ya O'level tu!

muulize alipata gpa ya ngapi hujakutana na vidum wnyw unadhani ukimkuta uliyelingn nae gpa utatoka?
 
Nafikiri una nia mbaya ya kutuchafua Kwa waajiri sisi tuliyosomea Mzumbe,mkuu wewe ni mjinga sana aisee
Ningekuwa karibu ningekuzaba makofi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom