SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,805
kwa TZ chuo ni UDSM, SUA, MUHAS&HKMU tu wengine waigizaji tu
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
Weye jinga mwenyewe. Uzuri nimeperuzu na kukujua sasa nitaongea na bosi wako ufukuzwe kazi.
Kwa uzoefu wangu wa kuwa mwanafunzi level zote Tanzania, mfumo wa assessment vyuo vikuu hadi mwanafunzi kupata cheti ni mbovu sana. Necta ndiyo assessment pekee ambayo imefanya vizuri kwa muda mrefu kwa kipindi cha nyuma. Jaribu kuangalia watu uliosoma nao labda O/A level na waliosonga mbele after O/A level lakini almost kila mtu anafaulu akiwa chuo. Hapa sisemi wanafunzi washikwe wakiwa vyuoni ila mfumo wa assessement ni too personal (based on lecturer's decision)!
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
kwa kweli mzumbe ni chuo cha hali ya chini sana both kwa capacity yako (number & qualifications za staff wake) wengi wao wana digrii za kuunga unga tu.
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
Pole sana sio wote wanafanya hayo madudu asee....tafadhari wengine tulikuwa serious na shule....
hahahaa sasa chuo ndo kina shida au wewe mwenyewe, ulilazimishwa kutoa hela? huo ujinga wako mwenyewe mzumbe is best U.
umekuja kuutangazia ulimwengu how stupid u r & nt da university
mi nafikiri vyuo vya morogoro vyote ( Mzumbe, SUA na Muslim University of Morogoro) vina shida maana hata ukiangalia graduates wake wamekaa kimazabe zabe tu kazi kulalamika makazini (Negative atitudes towards work)