muhinda-moja
Senior Member
- Sep 22, 2014
- 117
- 9
No wonder nchi yetu ina mambo ya kiubabaishaji sana. Hili la Mzumbe linafahamika tokea kitambo sana. Full kughushi. Viongozi wanalijuwa lakini hawawezi kuchukuwa hatua kwa vile wao ni wanufaika wakuu wa uhuni huu katika nchi yetu. Pole muathirika, nenda SUA uone mziki mnene. Ukitoka tu pale utajisikia kweli shule umepiga. huko kwingine hata upate hizo PhD, zitabakia tu kuwa kama za yule waziri wa uwezeshaji, (yule mama ambaye amekuwa waziri kwa miaka 20) au yule ambaye jina lake ni supu inanywewa na walevi baa nayo hutokana na kwato za ng'ombe (mbunge wa naniu.... kule kwenye gereza kubwa la mahabusu).
SUA napo kuna mziki,ulizia udsm ambako hata T.O wa 2006 ali-disco,sua pakawaida sana ukilinganisha na udsm,ila sua ni pagumu ukilinganisha na vyuo mbuzi,yaan hivyo vyuo kama saut,st.joseph na vingine kama hivyo.