Avatar yake sio tipwa tipwa huenda ni type hiyo hiyoEbu njoo nikuone kama unafaa ku-dance
Hahahaha kwa sisi millenial hilo gonjwa huwa tunaligwaya kinouma , pisi inaweza katisha ukivuta picha watu walivyo kuwa wanaisha , abdala kichwa wazi ana nywea fastaBwashee ugonjwa wa kawaida huo, nishaenda hospital akatoka dem mkali ana lia.
Kama nisinge kuwa dogo, basi ninge enda kumfariji
Na hiki cha kushtukiza , hakina came back , ma ukimwi humo humo , ma kisonono humo humo, utiyai humo humo.🤔Baada ya kushindwa kujizuia mlikulana au?
Taarifa yakutosha kabisa hii!
Imenyooka kama rula bwasheeTaarifa yakutosha kabisa hii!
Nimeogapa sana!Imenyooka kama rula bwashee
hawa ni waongo waongoAvatar yake sio tipwa tipwa huenda ni type hiyo hiyo



Kuna vitu vina ukweli ni vile mtu hana okusemea kwahiyo kapata zake pa kuyatapika ili awe huru!JF VAR CHECK
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.
Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked.
Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
- Strong and Fearless
- Replies: 332
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Bwashee unapiga sindano bila ya ganzi
Tena ile black kama wasaidizi wa samuya.Vaa Miwani kazi ziendelee
Acha kazi!Kuna siku kazini tulikuwa na get together, basi tukatoka out Kama office to have dinner then later watu wakaextend wakaenda kwenye mziki, so what happened is my boss was there so nilishangaa tu kwenye my table vimeletwa vinywaji naambiwa ni offer kutoka kwa fulani ( my boss) nikasema okay though It felt weird then baadae naota na mwenzangu naambiwa boss anakuita nikaenda alikaa kwenye coner Alaf kuna Giza so akaniambia let’s dance nikasema sio shida mazingira yanaruhusu basi he started touching me romantically na nilishindwa kumtoa mkono coz sikujua nifanye nini coz I was in shock jamani na hakuacha aliendelea kunishika shika Yani nilikua naogopa
So now kazini siwezi hata kumuangalia machoni and same to him so Sijui nifnyaje jamani.