NAOMBENI USHAURI

NAOMBENI USHAURI

Mpaka hapo, ww utaliwa tuu n suala la muda tuu, au tayari ameshalamba
 
Mwambie boss akitaka zaid

Kuna nyumba ipo pahala fulani ainunue kwa ajili yako na ya pesa ndogo tu mill 31

Aandikishe majina yako iwe chini ya umiliki wako iwe ndio chimbo lako wewe na yeye kukutaniana bila ya hivyo endelea kumuonea haibu na usijibu simu yake wala sms zake

Nasisitiza umiliki uwe chini yako, na hati za nyumba ziwe kwenye himaya yako

Usizubae
😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom