Naombeni ushauri

Jaribu kuchungulia Kwa watu kama watatu tofaut halaf linganisha matokeo, kesi kama hzo ni nyingi sana na wengi hawajijui, humu utaletewa ushauri wa kisomi Kwasabab wengi humu ni wanafiki wengine ni wachawi hvo hawawez kukuambia ukweli
Nakubaliana na wewe
 
Usilale umetaza juu lala ubavu ubavu..
 
My friend kazi yangu mimi ina isha saa tatu usiku hapo hakuna wageni wageni wakiwepo saa sita usiku ndio naenda pumzika
Kama ni hivyo wewe tafuta hakika ya muda halisi ambao unapatwa na ilo tukio unachotakiwa kufanya ni kuu by pass tu..kikubwa kuliko vyote ni kuacha kwenda kanisani na msikitini au kwa waganga wa kienyeji ...hayo matatizo ni circle na hizo imani zilizo potoshwa kinyume na zilivyo kusudiwa
 
Sawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…