Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 359
- 569
Kula ujana baba maisha yenyewe mafup
Kiingereza sahihi huwezi sema mlio left. Unasema mlio leave kama ni swanglishi. Well, unataka upewe ushauri sababu unasema katika umri huu unajikia kuwashwa, kutaka vuta bhangi, kunywa pombe, kukobolewa. Kweli hapo unataka wanaume wakushauri nini? Watakufeel tu then uwe NDO BASI TENA. siyo unaomba omba ushauri kwa mambo ya kipumbavu kwa wanaume.... Wana kushauri hasa. Unabaki umeshauriwa. Zamani sisi tunakua usingekuta mvulana anakuja aandika mambo kama haya kuwa anajisikia miwasho n. Kkwahiyo wewe ni wale mlioleft group??
HUYU NDO BASI TENA WASHAMWARIBU WATU.... YAANI TUVIJANA TWA SIKU HIZI HAKA UTAKUTA KAMESHATATULIWA HATA MALINDA .... KAMA HAKAJIELEWI HIVI. NDO BASI TENA.19 years? 🙄🙄🙄
Wewe ni mwanangu kabisa.... Aisee kwaherini JF siitaki tena.
wazazi....