even your mother?Wanawake siku zote ni wa ajabu sana! I always Trust no woman in this wild world!
Wandugu tujifunze kuridhika na kidogo tunachopata, vya kunyonga havifai.Inasikitisha sana Hapo yeye anasema Maisha Magumu ndo yamepelekea hayo sasa wasio na kazi wasemeje nao
nimeshindwa kuelewa hapo, anakupenda kwa dhati au ndumba? by the way kwani wewe unafanya hayo kwa ukiwa timamu au umerogwa? kuna baya gani usilolijua hapo mpaka ukashindwa kufanya maamuzi ya kutengua kilogo chako ili mume wa watu awe free? huo ni wizi kama ulivo wizi mwnigine na hivi nina hasira na wezi nikikuona nakuchoma kibiriti? (msonyo)Ninaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa kunioa.
Huyo handsome wako na wewe wote mmekutana mna akili fupi!!
Handsome anakubali uliwe kwa ajili ya Pesa?!! Nakupa ukweli ulivyo sasa
Wewe unamchuna pesa huyo mume wa mtu lakini humpendi na wewe unachunwa na huyo handsome wako na wala hakupendi
Usitegemee hata siku moja kama huyo handsome wako atakuowa....anakuchuna kama wewe unavyochunwa