Naombeni ushauri wa kumuacha mume wa mtu

Ninaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa kunioa.

Nina rafiki wa kiume ambaye nilimweleza kila kitu na akakubali kuwa na mimi kwa hali yoyote ile na ananipenda sana nami nampenda maana hakika ni handsome wa nguvu ila tu uchumi haujakaa vizuri na huwa namsaidia shida ndogo ndogo maana nimetulia kwa mtu mwenye kila kitu yani namfananisha na Mungu wangu wa Duniani ila tatizo ni moja tu.

Huyu mume wa mtu kanizidi umri na huwa haniridhishi vizuri ila napretend tu ili aone nampenda sana na sina mwingine. Huyu handsome wangu ananifurahisha sana mpaka huwa naomba Mungu huyu mume asafiri niweze kuchepuka vizuri au wakati mwingine natumia siku ya Jumapili nikiaga naenda kwa ndugu, rafiki au salon, namalizana nae fasta fasta.

Nishaurini nifanyeje maana nikimpoteza handsome wangu nikabaki na huyu mzee yeye akizeeka mie nitakuwa bado mbichi sintaweza kutulia nyumbani. Sikutaka kubeba mimba haraka nikamwambie tule happy kwanza kumbe mimi nabuy time kuangalia muelekeo na kuisoma familia vizuri. Nikiwa kazini nawaza sana lakini ndugu zangu na mama yangu wananipa moyo niendelee tu.

Naombeni mnishauri maana naogopa kuja kujutia maamuzi yangu niko njia panda

ndugu nilikuwa sijaona ubaya kivileee ila ulipisema " unatumia nguvu za giza?" ili iweje? Mbona mbona mwanaume ukimshika vizuri atakupa chochote upendacho bila dawa??:

pili kilichokupeleka kwa mme wa mtu kimeisha? Lakini pia "mme wa mtu na wewe si mtu?" yeye kwa nn alikubali???

Anyway so long ashujaolewa chagua ni lako.

Note mme wa mtu maziwa mke wa mtu sumu
 
yani una uchawi, una mchepuko na mengine tusiyoyajua maana mtu wa ndumba ana mambo mengi .....

ushauri wewe mrudie Mungu wako tu
 
You are so shameless, I wonder how you sleep at night.

Have you no conscience? If you cannot feel guilty over the things you do to that poor man then at least feel guilty of the way you are putting yourself through shit and humiliating yourself through the short sexual escapades with the 'handsome'man.

Consider Repenting.

Uwiii hivi hii lugha anaielewa fikaaa ama anaona chengachengaa???
 
biblia inasema usimruhusu mwanamke mchawii aishii...acha kuloga dada mungu atakuonesha chaguo lako sahihii
 
haa haa kwa kweli sasa BigBro nina mashaka na mwanamke wa kumpa moyo wangu na kumweka ndani, kwa njia hii hakuna tena kwenye jamii walah sasa inatisha.
Mkuu hata vitabu vya Mungu vimetuelekeza kuishi nao kwa akili so keep it up.
 
hauko peke ako mademu wengi wa bongo wanapenda kuwanga,halafu ukipita nao karibu na makaburi hata mchana wanajidai wanaogopa kumbe usiku wanawanga sana makaburini , muda wa uokovu ndo huu bibie dunia isikudanganye unaweza kuiacha muda wowote
 
Pyuuuu nenda fb msome tu dada anaitwa irene mbowe utajua adhari za waume zawatu,alafu hahahahaaa uyo kaka hakuoi ngo!umaskini na shida zinamsumbua, tatu wanawake wengine sijui wajinga gani unaombaje mungu mume unacheat mume wa mwenzio ur work done iz ziro madame!Uganga hausaidii km fundi mbona huna mume basi ur 2nd choice alafu tambua if u accept yo self to be the second I'll never ever be the only one😉😉
 
sishangai most girls now ndio mtindo wenu

hoes are heartless
 
Hadi mzazi anakupa ushauri huo dah ngachoka

Usishangae ndugu ukute hata yeye ni mtt wa mme wa mtu au hamjui baba ake kwa mama aliyekuwa kwa ndoa na anajiheshimu hawezi mshauri binti yakr awe na mme wa mtu kuna familia zingine ni majanga na ukioa huko ni kwenda kutia watoto wako mikosi. Nawaonea huruma sana vijana wetu wa siku hizi coz kuoata mke mwenye baraka siku hizi ni sawa na kutafuta dhahabu.
 
Hakika
 
Yaani umtumiavyo huyo mzee km mtaji wako ndivyo na huyo handsome wako anavyokutumia ww km mtaji,hakuna mapenzi hapo,hakuna mwanaume anaweza kukubali uwe unalalwa na mwanaume mwingine halafu akachukulia poa,umesema unafanya kazi nn shida yako lizika na kile unachokipata,,
 
You are so shameless, I wonder how you sleep at night.

Have you no conscience? If you cannot feel guilty over the things you do to that poor man then at least feel guilty of the way you are putting yourself through shit and humiliating yourself through the short sexual escapades with the 'handsome'man.

Consider Repenting.
Good try..!
Hii ni topic ya zamani, lakini nimeona kitu cha ziada kwenye bandiko lako.

"KUONYESHA UWEZO WAKO NA KUTOKA MBELE ZA WATU KIMASOMASO BILA KUJALI WATAKUELEWAJE AU WATAKUONAJE!"

Hiyo ndio siri ya wote waliofanikiwa duniani.
 
Ninaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa kunioa.

Nina rafiki wa kiume ambaye nilimweleza kila kitu na akakubali kuwa na mimi kwa hali yoyote ile na ananipenda sana nami nampenda maana hakika ni handsome wa nguvu ila tu uchumi haujakaa vizuri na huwa namsaidia shida ndogo ndogo maana nimetulia kwa mtu mwenye kila kitu yani namfananisha na Mungu wangu wa Duniani ila tatizo ni moja tu.

Huyu mume wa mtu kanizidi umri na huwa haniridhishi vizuri ila napretend tu ili aone nampenda sana na sina mwingine. Huyu handsome wangu ananifurahisha sana mpaka huwa naomba Mungu huyu mume asafiri niweze kuchepuka vizuri au wakati mwingine natumia siku ya Jumapili nikiaga naenda kwa ndugu, rafiki au salon, namalizana nae fasta fasta.

Nishaurini nifanyeje maana nikimpoteza handsome wangu nikabaki na huyu mzee yeye akizeeka mie nitakuwa bado mbichi sintaweza kutulia nyumbani. Sikutaka kubeba mimba haraka nikamwambie tule happy kwanza kumbe mimi nabuy time kuangalia muelekeo na kuisoma familia vizuri. Nikiwa kazini nawaza sana lakini ndugu zangu na mama yangu wananipa moyo niendelee tu.

Naombeni mnishauri maana naogopa kuja kujutia maamuzi yangu niko njia panda
aisee nilitaka kukushauri ila nlipoona kumbe wewe ni mchawi, bora niache tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom