Chinene
Natamka kupata aibu ya Mwaka kwa wote wanakao tumia Ushirikina Katika maisha yao....
Laana ikawe kwao na vizazi vyao wote....ardhi Jua Mwezi Nyota na anga vikawe mashahidi wala visiwaonee huruma pia nasindikizia Zaburi ya 109.......Uweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki asimame mkono wake wa kuume.
Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki, Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi. Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine. Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane.
Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao. Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake. Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake. Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
Ziwe mbele za BWANA daima, Aliondoe kumbukumbu lao duniani. (ZAB. 109:6-13, 15 SUV)
[SUP]
Walawi 19:31 [/SUP] "‘Msiwaendee wenye kuwasiliana na pepo, wala msitafute shauri la wajuzi wa kubashiri matukio, ili kutiwa unajisi nao. Mimi ni Yehova Mungu wenu.
[SUP]
Kutoka 22:18 [/SUP] "Usimhifadhi hai mwanamke mlozi.
[SUP]
Walawi 20:27 [/SUP] "‘Naye mwanamume au mwanamke atakayekuwa na roho ya kuwasiliana na pepo au roho ya kubashiri, lazima wauawe. Watawapiga hao kwa mawe na kuwaua. Damu yao wenyewe iko juu yao.'"
[SUP]
Kumbu Kumbu La Torati 18:9 [/SUP] "Utakapokuwa umeingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, usijifunze kufanya kulingana na machukizo ya mataifa hayo. [SUP]
10 [/SUP] Asipatikane ndani yako yeyote anayempitisha mwana wake au binti yake katikati ya moto, yeyote anayefanya uaguzi, mwenye kufanya uchawi au yeyote anayetafuta ishara za bahati au mlozi, [SUP]
11 [/SUP] au anayefunga wengine kwa kuwatakia maovu au yeyote anayetafuta shauri kwa mwenye kuwasiliana na pepo au mjuzi wa kubashiri matukio au yeyote anayeuliza habari kutoka kwa wafu. [SUP]
12 [/SUP] Kwa maana kila mtu anayefanya mambo hayo ni chukizo kwa Yehova, na kwa sababu ya machukizo hayo, Yehova Mungu wako anawafukuza kutoka mbele yako.
Walawi 20:6 "‘Nayo nafsi inayowaendea wenye kuwasiliana na pepo na wajuzi wa kubashiri matukio ili kufanya uasherati nao, nitauweka uso wangu juu ya nafsi hiyo na kumkatilia mbali kutoka katikati ya watu wake.
Ufunuo 21:[SUP]
8 [/SUP] Lakini kwa habari ya waoga na wale wasio na imani na wale wenye kuchukiza katika uchafu wao na wauaji na waasherati na wale wanaozoea kuwasiliana na pepo na waabudu-sanamu na waongo wote, fungu lao litakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na kiberiti. Hili linamaanisha kifo cha pili."
Ziko nyingi sana ila kwa leo inatosha.
Chagua kusuka au kunyoa