Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,238
Write your reply...duuh kwahyo unamlelea mwanaume wa dar
I stand for what I believe in.Good try..!
Hii ni topic ya zamani, lakini nimeona kitu cha ziada kwenye bandiko lako.
"KUONYESHA UWEZO WAKO NA KUTOKA MBELE ZA WATU KIMASOMASO BILA KUJALI WATAKUELEWAJE AU WATAKUONAJE!"
Hiyo ndio siri ya wote waliofanikiwa duniani.
Huyo 'handsome' ni hawa marioo wa mjini wanao date machangudoa ilimradi tu apate pa kula na kulala bure.Huyo handsome wako na wewe wote mmekutana mna akili fupi!!
Handsome anakubali uliwe kwa ajili ya Pesa?!! Nakupa ukweli ulivyo sasa
Wewe unamchuna pesa huyo mume wa mtu lakini humpendi na wewe unachunwa na huyo handsome wako na wala hakupendi
Usitegemee hata siku moja kama huyo handsome wako atakuowa....anakuchuna kama wewe unavyochunwa
Good try..!
Hii ni topic ya zamani, lakini nimeona kitu cha ziada kwenye bandiko lako.
"KUONYESHA UWEZO WAKO NA KUTOKA MBELE ZA WATU KIMASOMASO BILA KUJALI WATAKUELEWAJE AU WATAKUONAJE!"
Hiyo ndio siri ya wote waliofanikiwa duniani.
Inaonekana umempata kwa njia za giza.sasa tumia tena njia hizohizo za giza kumuacha.pia kama Kuna vitu alikupatia kwa upendo wa nguvu za giza ulizo zitumia rudisha kwake kila kitu maana hustail kubak navyoNinaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa kunioa.
Nina rafiki wa kiume ambaye nilimweleza kila kitu na akakubali kuwa na mimi kwa hali yoyote ile na ananipenda sana nami nampenda maana hakika ni handsome wa nguvu ila tu uchumi haujakaa vizuri na huwa namsaidia shida ndogo ndogo maana nimetulia kwa mtu mwenye kila kitu yani namfananisha na Mungu wangu wa Duniani ila tatizo ni moja tu.
Huyu mume wa mtu kanizidi umri na huwa haniridhishi vizuri ila napretend tu ili aone nampenda sana na sina mwingine. Huyu handsome wangu ananifurahisha sana mpaka huwa naomba Mungu huyu mume asafiri niweze kuchepuka vizuri au wakati mwingine natumia siku ya Jumapili nikiaga naenda kwa ndugu, rafiki au salon, namalizana nae fasta fasta.
Nishaurini nifanyeje maana nikimpoteza handsome wangu nikabaki na huyu mzee yeye akizeeka mie nitakuwa bado mbichi sintaweza kutulia nyumbani. Sikutaka kubeba mimba haraka nikamwambie tule happy kwanza kumbe mimi nabuy time kuangalia muelekeo na kuisoma familia vizuri. Nikiwa kazini nawaza sana lakini ndugu zangu na mama yangu wananipa moyo niendelee tu.
Naombeni mnishauri maana naogopa kuja kujutia maamuzi yangu niko njia panda
Haha haNinaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa kunioa.
Nina rafiki wa kiume ambaye nilimweleza kila kitu na akakubali kuwa na mimi kwa hali yoyote ile na ananipenda sana nami nampenda maana hakika ni handsome wa nguvu ila tu uchumi haujakaa vizuri na huwa namsaidia shida ndogo ndogo maana nimetulia kwa mtu mwenye kila kitu yani namfananisha na Mungu wangu wa Duniani ila tatizo ni moja tu.
Huyu mume wa mtu kanizidi umri na huwa haniridhishi vizuri ila napretend tu ili aone nampenda sana na sina mwingine. Huyu handsome wangu ananifurahisha sana mpaka huwa naomba Mungu huyu mume asafiri niweze kuchepuka vizuri au wakati mwingine natumia siku ya Jumapili nikiaga naenda kwa ndugu, rafiki au salon, namalizana nae fasta fasta.
Nishaurini nifanyeje maana nikimpoteza handsome wangu nikabaki na huyu mzee yeye akizeeka mie nitakuwa bado mbichi sintaweza kutulia nyumbani. Sikutaka kubeba mimba haraka nikamwambie tule happy kwanza kumbe mimi nabuy time kuanEgalia muelekeo na kuisoma familia vizuri. Nikiwa kazini nawaza sana lakini ndugu zangu na mama yangu wananipa moyo niendelee tu.
Naombeni mnishauri maana naogopa kuja kujutia maamuzi yangu niko njia panda