jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
lakini jamani watu wengi wataunguzwa na mkaa wa mawe siku za mwisho. sipo hapa kuhukumu ila imeniuma kwa kweli maana wahanga wa hii kitu wako wengi. Unakuwa na mume wako mnaelewana vzr alafu anakuja kidudu mtu kuja kuharibu paradiso yenu huku yeye akifurahia.
Sio kuwa nina hukumu narudia tena, ila jaman fikirieni ingekuwa ni upande wako wewe mfanya unafanyiwa hivyo ungejisikiaje? jaribu kuvaa viatu vya mke wake na very faster chukua hatua.
Barikiwa.
Sio kuwa nina hukumu narudia tena, ila jaman fikirieni ingekuwa ni upande wako wewe mfanya unafanyiwa hivyo ungejisikiaje? jaribu kuvaa viatu vya mke wake na very faster chukua hatua.
Barikiwa.