ma dr. Mda mwingine kuwaonea bure,, hii kesi kweli iende kwa dr?Mpeleke kwa daktari wa vinywa. amchimbe bit hatari kuhusu kutokupiga mswaki
NimekupataMpeleke kwa daktari wa vinywa. amchimbe bit hatari kuhusu kutokupiga mswaki
Watu kwa kufukua ma file hamjambo.Mkuu ndio maana ulikula kimasihara kimbaumbau na mtunza mtoto wako Wa pembeni ila na wewe kajitabia ka kugonga hovyo kapo
Hana adabu Mgirik sijui kawazaje hayo mamboWatu kwa kufukua ma file hamjambo.
meno ya sebuleniMtu anaswaki dk 2 kashamaliza,
Alafu asugui meno,, anasugua meno ya sebuleni,,
Ulimi ndio kitu cha kwanza kusugua,, unasugua hadi chozi la mbali linatoka au unajihisi kutapika hapo ndo sawa,,
Mwisho unasugu meno,,
Mswaki inapidi uchakae hadi brash zinapinda,,
Mkuu pia mwambie anyoe na zivuu
Mkiambiwa mkae nao ndani kabla ya kuji commit hamtaki! Mnaleta ulokole haya sasa pambana na hali yako. Demu hakaguliwi kwa kuja kulala kwako weekend na kuodoka au kukutana lodge tu.
Mteke, ishi nae ndani kwa miezi kadhaa kabla hujamuoa (Volunteer Program). It works kama demu anajitegemea mshawishi ukae nae sehemu moja utamjua madhaifu yake yote kabla hata hujalipa mahali.
Wanawake wa sikuhizi ni hovyo sana hasa hawa wa 2000's
Kuna haja ya wazazi kufundisha watoto wetu namna ya kupiga mswaki sawa sawa, usafi wa kinywa.Huyo ni mkeo hakuna haja ya kumuonea wivu. Mpe ukweli ukionesha unakereka na tabia yake, mwambie tu kuwa kinywa chako kinatoa harufu kwakuwa hupigi mswaki Mara kwa Mara,
Sijuhi kama una mke mkuu, kuna hatua katika "mapenzi" hata jina la mke wako mf. Monica huwezi kulitamka....waliooa watakuwa wanaelewa hii kitu sembuse kumwambia "unanuka"Mwambie direct,,, "mama flan unanuka mdomo , hupigi mswaki ipasavyo ! Piga vizuri at least dkk 5-7 sugua ulimi! "
Alafu ww Jenga mazoea ya kupiga mswaki kila baada ya mlo, na usiwe unamkumbusha ama kumwambia afate hiyo ratiba yako ! Atajionea aibu ataanza kuifata !
Ni ngum Sana kumtamkia hayo maneno, atanuna hata wiki , ww usijali ! Atakuja kukaa sawa , utakuja kunishukuru baadae,,,, ni Jambo dogo Sana hili
Ni kweli Mkuu. Lazima kutest mitambo huku unafanya uchunguzi.Mkiambiwa mkae nao ndani kabla ya kuji commit hamtaki! Mnaleta ulokole haya sasa pambana na hali yako. Demu hakaguliwi kwa kuja kulala kwako weekend na kuodoka au kukutana lodge tu.
Mteke, ishi nae ndani kwa miezi kadhaa kabla hujamuoa (Volunteer Program). It works kama demu anajitegemea mshawishi ukae nae sehemu moja utamjua madhaifu yake yote kabla hata hujalipa mahali.
Wanawake wa sikuhizi ni hovyo sana hasa hawa wa 2000's
Hapo sasa barakoa inahitajika