Naombeni ushauri wa jinsi ya kumfikishia ujumbe Mke Wangu bila kuumiza moyo wake

Pole mwamba,
Ila najiuliza kabla ya ndoa alikuwa ananuka mdomo?

Huwa tunashauriwa ukae nae hata miezi 6,, hiki kipindi cha matazamio,,

Ila ndo ivo tukiongea tunaoneka wahuni,,

Pole sanaaa umejitahidi kumbadirisha lakini amekuwa jipu.
Endelea kumbadilisha mkuu huenda akabadirika huko baaade sanaa,,
 
Nipatie namba za simu za mkeo, hutajuta mpendwa nitambadilisha ndani ya masaa 24 tu trust me.
 
Mwambie direct,,, "mama flan unanuka mdomo , hupigi mswaki ipasavyo ! Piga vizuri at least dkk 5-7 sugua ulimi! "

Alafu ww Jenga mazoea ya kupiga mswaki kila baada ya mlo, na usiwe unamkumbusha ama kumwambia afate hiyo ratiba yako ! Atajionea aibu ataanza kuifata !

Ni ngum Sana kumtamkia hayo maneno, atanuna hata wiki , ww usijali ! Atakuja kukaa sawa , utakuja kunishukuru baadae,,,, ni Jambo dogo Sana hili
 
Sawa kabisa,nimekupata kitalembwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie direct,,, "mama flan unanuka mdomo , hupigi mswaki ipasavyo ! Piga vizuri at least dkk 5-7 sugua ulimi! "

Alafu ww Jenga mazoea ya kupiga mswaki kila baada ya mlo, na usiwe unamkumbusha ama kumwambia afate hiyo ratiba yako ! Atajionea aibu ataanza kuifata !

Ni ngum Sana kumtamkia hayo maneno, atanuna hata wiki , ww usijali ! Atakuja kukaa sawa , utakuja kunishukuru baadae,,,, ni Jambo dogo Sana hili
Mtu anaswaki dk 2 kashamaliza,

Alafu asugui meno,, anasugua meno ya sebuleni,,

Ulimi ndio kitu cha kwanza kusugua,, unasugua hadi chozi la mbali linatoka au unajihisi kutapika hapo ndo sawa,,

Mwisho unasugu meno,,

Mswaki inapidi uchakae hadi brash zinapinda,,

Mkuu pia mwambie anyoe na zivuu
 
Back
Top Bottom