Naombeni ushauri wa jinsi ya kumfikishia ujumbe Mke Wangu bila kuumiza moyo wake

Mna msaidizi wa kazi za ndani?

Nahisi hilo ni tatizo linalochangia

Unless mtu una mazoea ya kuoga asubuhi kabla ya kufanya chochote ila kazi za nyumbani ukiwa mwenyewe usipojipanga zinakupanga mbayaa unashida na dela/leggings na tshirt unahaha 😅 mara vyombo mara deki mara chooni mara nguo mara mtoto mara upike mara sokoni mara utenge chakula mara sijui nini utashaaa mbona ;wadada wengi can you feel me here😅?

Lakini dada akiwepo?si hata mtapokezana
We ukiamka unaoga unapika chai ye anafanya usafi na anafua labda

Unapika lunch mnakula anaosha vyombo we unaoga unapumzika... nk
Jioni mnaweza pokezana kazi pia ama unanyoosha mguu na TV tu ushaoga umevaa vzuri ama kuzurura nk
Na hata dada nae anarest kidogo

Vinginevyo utageuka kichaa kwako mwenyewe!

Wekeni wafanyakazi jmn msitese wake zenu wanashidwa hata kuupara!!
 
Ulokole unawaponza wengi sana.! Na mimi nishasema sioi mwanamke bila kumfanyia yafuatayo;
1. Kumpiga mashine nijue kitumbua chake kikoje, kitamua au ndio kuogelea Bwawani mtera.
2. Kukaa naye ghetto hata isipokuwa muda mrefu ila nitakuwa namtaka aje ghetto nara kwa mara nione usafi wake n uwajibikaji wake kwenye majukumu yake kama Mama wa familia.
3. Ni lazima nijaribu kumjaribu kuonesha kama kumcheat nione anamtuzamo gani..! Kama ni wale wa kufanya maamuzi kwa kusikia bila kuona basi huyo hanifai.
4. Lazima nione mtizamo wake juu ya masuala ya kijinsia, yeye kama atakuwa na zile akili za ufemenist ule wa kusema hawezi nipikia au kunifulia nguooo basi huyo kwaheri
Safi mkuu, yaaan unapiga papuchi hadi inajamba "" Mmmbraaaatatahhh tahh tahh"" "pyuuuuuuuu pyuuuuuuuuu""

Sugua kweli kweli,, hadi anuneee,, akiamka inawaka
 
Mkiambiwa mkae nao ndani kabla ya kuji commit hamtaki! Mnaleta ulokole haya sasa pambana na hali yako. Demu hakaguliwi kwa kuja kulala kwako weekend na kuodoka au kukutana lodge tu.

Mteke, ishi nae ndani kwa miezi kadhaa kabla hujamuoa (Volunteer Program). It works kama demu anajitegemea mshawishi ukae nae sehemu moja utamjua madhaifu yake yote kabla hata hujalipa mahali.

Wanawake wa sikuhizi ni hovyo sana hasa hawa wa 2000's

Ha ha Volunteer program hiyo safi sana..
 
Nishawahi kuwa na mwanamke hapendi maji

Sasa kuoga kwake mara moja tu kwa siku hata ukilala nae siku nzima ataosha uchi atajifuta jasho tu basi

Nashukuru alikuwa mwembamba

Inakera ila nahisi umeoa mwanamke wa mkoani hawa wa dar wanajitahidi kdg

Mi huyo wangu kwakuwa hakuwa mke nilikuwa naomba show akioga Tu.

Usimuache huyo mwanamke
 
Mkiambiwa mkae nao ndani kabla ya kuji commit hamtaki! Mnaleta ulokole haya sasa pambana na hali yako. Demu hakaguliwi kwa kuja kulala kwako weekend na kuodoka au kukutana lodge tu.

Mteke, ishi nae ndani kwa miezi kadhaa kabla hujamuoa (Volunteer Program). It works kama demu anajitegemea mshawishi ukae nae sehemu moja utamjua madhaifu yake yote kabla hata hujalipa mahali.

Wanawake wa sikuhizi ni hovyo sana hasa hawa wa 2000's
Big point
 
Hiyo ni ZINAA.
 
Mlipaswa kuwa marafiki na msifanye ndoa (mahusiano) yenu kuwa too serious kama mkataba wa biashara.

Anza na kumbusu kwenye lips kisha mwambie.mh mshkaji kinywa chako kinatema balaa..... huku ukicheka na kumkumbatia. Itamgusa.

N.B: Kutoa harufu mdomoni inawezekana pia ni ugonjwa so ukiona anajitahidi kusafisha ila bado basi mfunge safari mkapige hodi kwa Madentists.

Kila la kheri Mkuu na hongera kwa kumpenda mkeo.
 
mke wako ni mchafu kiujumla, usimpambe eti anafua moaka lesso. na we kabla hujamuoa hukuwahi hata kumkiss huyo dada mchafu?! au mlikutana mtandaoni akakuchangaya na filter?!

Na kama ananuka mdomo bas hilo watu wenu wote wa karibu wanalijua ila hawawez kuwaambia inabid wawamalize tu pembeni.
Kama unampenda we mkalishe chini halaf umwambie "WE NI MCHAFU UNANUKA MDOMO EM CHUKUA HATUA ZA USAFI VINGINEVYO NAKUACHA"
ila kama huwez kumchana bas ujue ye ndo ana nguvu humo ndani.
 
Hamna kitu kinachokera kama Kuongea namtu anayenuka mdomo.

Sembuse kupiga denda, nitaweza kweli???

Kama umetumia mbinu zote za kidiplomasia na umeshindwa.. Tupia mbinu zakijeshi.

Yaan mwambie" Wife wakat wa uchumba ulikua msafi wa mwili sana kiasi ulifanya niwe nakuhitaji kimwili kila mara, ila siku hizi umeusahau usafi wa mwili, mswaki hupigi, yaaan Unanikata mzuka na stimu zakutombana nawewe SINA.

Asipobadilika, anza kuchelewa kurudi home.

Wewe usiogope et ukichelewa kurudi nayeye ataamua kuchepuka... Noooo.. Kwasababu umemwambia ukweli kua ananuka mdomo, atajishtukia ,ataogopa kuchepuka sababu anajua huyo mchepuko wake naye atamjua kua ananuka mdomo..... Kwaiyo atabaki kukuona kama msiri wake... Nakwasababu unachelew Kurudi, na hutomani naye, atajishtukia tena, atahisi unachepuka, .. Itamlazimu kubadilika ili kukuvutia, ataanza kua msafi kama zamaniii, na atanoga, na ataanza kukushobokea kila ukija, ili akuromance, uone mabadiliko.

HAWA MADEMU, MBINU YA KIDIPLOMASIA IKISHINDWA, TUMIA MBINU YA KIJESHI
 
Ulokole unawaponza wengi sana.! Na mimi nishasema sioi mwanamke bila kumfanyia yafuatayo;
1. Kumpiga mashine nijue kitumbua chake kikoje, kitamua au ndio kuogelea Bwawani mtera.
2. Kukaa naye ghetto hata isipokuwa muda mrefu ila nitakuwa namtaka aje ghetto nara kwa mara nione usafi wake n uwajibikaji wake kwenye majukumu yake kama Mama wa familia.
3. Ni lazima nijaribu kumjaribu kuonesha kama kumcheat nione anamtuzamo gani..! Kama ni wale wa kufanya maamuzi kwa kusikia bila kuona basi huyo hanifai.
4. Lazima nione mtizamo wake juu ya masuala ya kijinsia, yeye kama atakuwa na zile akili za ufemenist ule wa kusema hawezi nipikia au kunifulia nguooo basi huyo kwaheri
utafaulu mkuu 😁😁😁
 
Nimecheka sanaaa ila pole sanaaa,nunua big G ukirudi kutoka kazini unampa kama zawadi anatafuna husaidi kuondoa harufu mbaya,pole sana,hayo ndio mazingila aliokulia
 
Unamuogopa mkeo kumwambia ukweli kwa sababu atanuna au atalia wiki nzima? 😳😳

Mchane LIVE huyo bila KUKWEPESHA au uchafu wake atawaambukiza hadi watoto wenu mtakaojaliwa.

Mtolee uvivu Mkuu.

Nina ndoa changa inayokaribia mwaka, nampenda sana mke wangu kiasi cha kutowaza kuachana ila tatizo ni suala la usafi wake ndio linalonikosesha amani na nimeshajitahidi kumrekebisha ila habadiliki.

Tangu nimemuoa yupo vizuri sana kwenye suala zima la usafi wa mazingira ya nyumba. Akiamka atafanya usafi wa nyumba nzima,atafagia,atapiga deki kila kona,atajaza maji,atapika nk. Kuhusu mambo ya usafi kwa ujumla yuko vizuri maana hata kufua huwa anafua Mara mbili kwa wiki na akianza kufua huwa habakishi hata leso chafu ndani mpaka wakati mwingine huwa namuomba apumzike hizo kazi zake.

Tatizo alilonalo ni kuhusu usafi wa mwili wake,yaani hajali kabisa kuhusu mwili wake utadhani atautumia peke yake. Sio ajabu kwake kuamka asubuhi akafanya pilika zake mpaka jioni bila kupiga mswaki na wala hajali kwamba kinywa chake kinatoa harufu. Anaweza kuingia bafuni kuoga akatoka bila kupiga mswaki na wala asijali.

Amekuwa akitoa harufu sana mdomoni kiasi cha kunikosesha raha hata kwenye tendo la ndoa na Mara nyingi huwa namchukua wote kwenda bafuni tupige mswaki pamoja huku namtania na kucheka japo inaniuma. Pamoja na mazoea yote ninayomfanyia ya kwenda nae kupiga mswaki asubuhi na kabla hatujalala bado hajazoea kabisa na nikisema nikaushe basi hatopiga mswaki siku hiyo.

Hapo sijaongelea uvivu wake wa kuoga kiasi kwamba akioga asubuhi basi hataki kuoga tena mpaka asubuhi unayofuata,yaani suala la kuoga Mara ya pili huwa linaleta ugomvi sana maana nikimlazimisha sana huwa ananuna na mtalala hamuongei siku hiyo huku akidai kuwa baridi ni kali hivyo hataki kuoga tena.

Kinywa chake kinatoa harufu mpaka nikahisi labda dawa za meno hazimsaidii nikawa namnunulia mouth washer afanye kusukutua mdomoni lakini alitumia Mara chache tu anadai zinamuumiza mdomo na akazitupa na kila nikinunua mpya haikai ndani anaficha wapi sijui.

Roho inaniuma Sana maana naweza nikatoka kazini nikiwa na mahaba full charge lakini akinisogelea tu ili tuongee kimahaba basi harufu inaniharibu akili yangu na kujikuta sitamani tena romance. Nikipiga nae mswaki anajisugua meno kidogo ananawa madai kamaliza,ukimuambia jisugue na ulimi hataki na atanuna usiku mzima.

Nakosa Raha ya mapenzi na mpaka nimeanza kuchepuka japo nampenda sana. Jinsi ya kumwambia live siwezi lakini kila njia ninayotumia kumrekebisha inagonga ukuta maana waweza ukamnunulia mswaki mpya ukaukuta bafuni hata wiki nzima hajaufungua kuutumia wakati mswaki anaoutumia ushachakaa.

Najiuliza Ni Nani nikamuambie tatizo lake sipati jibu na yeye ni mtu ambaye ukimshitakia hata kwa mama ake basi atalia wiki nzima mpaka nyumba naiona chungu. Nishaurini wanajamii maana nimedumu nae muda mrefu kwenye uchumba sikuwahi kuijua tabia yake hii,Leo hii nimemuoa ndo ananipa mateso haya.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ulipozingua ni hapo uliposema umeanza kuchepuka. Eti mtu unampenda halafu unachepuka kwa sababu ya mswaki tu? Huyo uliyechepuka naye anapiga mswaki wa malaika? Nikwambie usichokijua, na hii ni kwa uzoefu nina ndoa ya miaka 24. Mke wa mwenzio siku zote hana kasoro, lakini wa kwako kasoro utaiona tena kubwa sana. Na sababu ni rahisi tu, ni issue ya time and distance. Kadri kitu kinavyozidi kuwa karibu yako (distance) na unavyokaa nacho muda mrefu (time) ndivyo unavyogundua details nyingi, na watu hutumia details kufanya judgement. The fewer the details, the softer the judgement.
Mkeo umekaa nae karibu ndipo ukaona hiyo issue ya kunuka mdomo, si ajabu wengine walio mbali naye hawajaiona hiyo ndio maana hata wewe hukuiona wakati wa uchumba! Na ana mengine mazuri yanayoonekana kwa mbali, na kwa hayo wengine wanamtamani kama wewe ulivyomtamani ukamchumbia na kumuoa. Na huyo uliyechepuka naye ukipata naye muda na ukaribu wa kutosha utagundua kasoro zake pia. Na wewe una kasoro zako mkeo anazivumilia. Kwa hakika hiyo habari ya kunuka mdomo siyo justification ya kuchepuka, kamwe siyo.
Kaa na mwenzio, anzisheni mada za kuboresha uhusiano wenu. Anzeni kujadili kwanza yale yanayowafurahisha, mwambie mwenzio mambo unayofurahia kwake, apate morale ya kuendelea nayo kwa ufanisi zaidi. Naye akuambie ya kwako. Kisha mzungumze ya kuboresha, na siyo yote kwa siku moja, kama ni mengi yanakatisha tamaa. Orodhesha yote kichwani mwako halafu anza na yale mepesi, usilete yote, leta moja tu, jepesi ili liwe rahisi kutekelezwa, na likisharekebika toa pongezi na onesha tofauti, mwenzio atafurahi. Kisha baada ya muda ibua jingine, na kadri linavyofanyiwa kazi uwe unapongeza kila hatua. Naye mpe nafasi hiyohiyo ya kukurekebisha, fanyeni hivyo mtafurahia maisha.
Na usidhani kuwa mambo ya kurekebishana yataisha. Sisi tuna miaka 24 na bado tunayo ya kurekebishana, na tunafurahia kila tunapofanikiwa kurekebisha jambo moja. Kumbuka nyote ni wanadamu siyo mawe, kwa hiyo hamtabakia static. Mtarekebishana mambo fulani, lakini kwa kuwa bado mnakua na mazingira yanawabadilikia kila siku, yataibuka mambo mapya, changamoto mpya, nazo zinaweza kuleta tabia mpya kwa pande zote mbili, ambazo tabia hizo bado zitahitaji kusemewa na kurekebishwa. Usidhani ukifanikiwa kumpigisha mswaki ndio umemaliza ya kurekebisha, yatakuja mengine. Utamaliza aliyotoka nayo kwa wazazi wake, yatakuja mengine atakayopatia kwako hapo. Nawe vivyohivyo.
Zingatia: 1. kuchepuka siyo suluhisho, huyo mchepuko ukija kumjua kwa undani utagundua naye siyo kamili. 2. Rekebishaneni kwa upendo na kwa nia ya kudumisha ndoa yenu.
 
Back
Top Bottom