Naombeni ushauri wa jinsi ya kumfikishia ujumbe Mke Wangu bila kuumiza moyo wake

Hamna kitu kinachokera kama Kuongea namtu anayenuka mdomo.

Sembuse kupiga denda, nitaweza kweli???



Kama umetumia mbinu zote za kidiplomasia na umeshindwa.. Tupia mbinu zakijeshi.

Yaan mwambie" Wife wakat wa uchumba ulikua msafi wa mwili sana kiasi ulifanya niwe nakuhitaji kimwili kila mara, ila siku hizi umeusahau usafi wa mwili, mswaki hupigi, yaaan Unanikata mzuka na stimu zakutombana nawewe SINA.

Asipobadilika, anza kuchelewa kurudi home.


Wewe usiogope et ukichelewa kurudi nayeye ataamua kuchepuka... Noooo.. Kwasababu umemwambia ukweli kua ananuka mdomo, atajishtukia ,ataogopa kuchepuka sababu anajua huyo mchepuko wake naye atamjua kua ananuka mdomo..... Kwaiyo atabaki kukuona kama msiri wake... Nakwasababu unachelew Kurudi, na hutomani naye, atajishtukia tena, atahisi unachepuka, .. Itamlazimu kubadilika ili kukuvutia, ataanza kua msafi kama zamaniii, na atanoga, na ataanza kukushobokea kila ukija, ili akuromance, uone mabadiliko.



HAWA MADEMU, MBINU YA KIDIPLOMASIA IKISHINDWA, TUMIA MBINU YA KIJESHI
Point

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ulipozingua ni hapo uliposema umeanza kuchepuka. Eti mtu unampenda halafu unachepuka kwa sababu ya mswaki tu? Huyo uliyechepuka naye anapiga mswaki wa malaika? Nikwambie usichokijua, na hii ni kwa uzoefu nina ndoa ya miaka 24. Mke wa mwenzio siku zote hana kasoro, lakini wa
Asante sana
 
Siku mtoe Out au tengeneza mazingira mazuri ya ww na yeye tu.

Then mwambie tucheze mchezo, alaf anza ww kumwambia , leo unaomba akuambie kitu kimoja tu anachopenda toka kwako na kimoja ambacho hapendi.

Sasa ikija zamu yako, ndio useme hiko chake na jinsi gan hukipendi na kukukosesha Mahaba.

Atanuna ila niamini atabadilika sana na hii inasaidia sana.

Huwez acha mke kisa kunuka mdogo mzee,
Midomo yote ikinuka kuna suluhisho
Lengo Ni kutoachana ndomana nipo hapa kutaka ushauri

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mpeleke kwa Dentist!Huyo Dentist mpange na umwambie kero kuhusu mkeo halafu umpeleke!!HUYO DENTIST UMLISHE MANENO KUWA UKIFIKA NA MKEO KWA AJILI YA UCHUNGUZI BAADA YA UCHUNGUZI AMWAMBIE KUWA YUPO MBIONI KUOZA MENO YOTE HIVYO AMPE RATIBA YA KUPIGA MSWAKI KUTWA MARA TATU KWA MWAKA MMOJA BILA KUACHA!!!AKIFUATA MAELEKEZO HAYO ATAZOEA NA HATOACHA KUPIGA MSWAKI TENA!!!
Point

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Papuchi vipi? Maana manzi mdomo ukiwa unatema mara nyingi na papuchi huwa linatema kama amekufwa panya
 
Nina ndoa changa inayokaribia mwaka, nampenda sana mke wangu kiasi cha kutowaza kuachana ila tatizo ni suala la usafi wake ndio linalonikosesha amani na nimeshajitahidi kumrekebisha ila habadiliki.

Tangu nimemuoa yupo vizuri sana kwenye suala zima la usafi wa mazingira ya nyumba. Akiamka atafanya usafi wa nyumba nzima, atafagia, atapiga
Mkuu tupe mrejesho, vipi ulimwambia wife? Amebadilika?
 
Nina ndoa changa inayokaribia mwaka, nampenda sana mke wangu kiasi cha kutowaza kuachana ila tatizo ni suala la usafi wake ndio linalonikosesha amani na nimeshajitahidi kumrekebisha ila habadiliki.
Mkuu hiyo Kali Mimi kiukweli mtu mchafu hapana Tena kutokupiga mswaki na kuto kuoga ndio kabisaaa uwii.
 
Mkiambiwa mkae nao ndani kabla ya kuji commit hamtaki! Mnaleta ulokole haya sasa pambana na hali yako. Demu hakaguliwi kwa kuja kulala kwako weekend na kuodoka au kukutana lodge tu.

Mteke, ishi nae ndani kwa miezi kadhaa kabla hujamuoa (Volunteer Program). It works kama demu anajitegemea mshawishi ukae nae sehemu moja utamjua madhaifu yake yote kabla hata hujalipa mahali.

Wanawake wa sikuhizi ni hovyo sana hasa hawa wa 2000's
Hii ndugai yani bonge la jobu.
 
Mchane live muache anune alie wiki nzima ujumbe atakuwa ameupata......
baada ya hapo mabadiliko utayaona
 
Hv mkeo wakati anakuwa alikuwa hatongozwi!!
manake mitongozo mitongozo husaidia wanawake kujali usafi wao wa mwili......samahani lkn hili swali sio friendly user....
 
Mkiambiwa mkae nao ndani kabla ya kuji commit hamtaki! Mnaleta ulokole haya sasa pambana na hali yako. Demu hakaguliwi kwa kuja kulala kwako
Hebu jaribu kila unapooga wewe asbh ingia nae bafuni muoge wote...! Muoneshe upendo mpya yakuwa akipeleka maji mwambie akusugue mgongo kisha muoge wote...! Nadhani akikubali hilo ataanza kupiga mswaki
 
Labda ulifanya haraka kumuoa bila kujua hiyo tabia, hata hivyo usiogope kumwambia, kila siku hakikisha amepiga mswaki kabla yako, mpe shule kuhusu usafi wa kinywa, rudiarudia mwisho atakuelewa na atakushukuru. Mwambie chakula kilichobaki kwenye meno kisipoondolewa kwa kupiga mswaki meno yanaoza na kusababisha kansa ya meno (mkwara)
 
Huyo ni mkeo hakuna haja ya kumuonea wivu. Mpe ukweli ukionesha unakereka na tabia yake, mwambie tu kuwa kinywa chako kinatoa harufu kwakuwa hupigi mswaki Mara kwa Mara,
We jamaa ushauri wako 👍 ni kumwambia ukweli mchungu Safi Sana hivi ndivyo tunachotakiwa kuwa wanaume sio kupaka rangi maneno.
 
Back
Top Bottom