Personal hygiene and good manner: Watanzania akili shida hata usafi?

Azpilicueta

Member
Sep 8, 2021
86
92
Habrini wandugu,

Mwanadamu amepewa utashi ili ajitofautishe na viumbe wengine inakuaje mwanadamu unaruhusu watu wakose amani kukaa na wewe karibu kwasababu ya harufu ya mwili au kinywa?

Harufu ya kinywa
Kupiga mswaki Mara mbili kwa siku ni kitu cha gharama kweli? Kupiga mswaki kwa kusugua ulimi kwa spidi ndogo kwa dakika 2-5 ni kazi! , kuhakikisha ulimi wako ni una rangi nyekundu na si mabaka meupe meupe ni kitu cha kushindwa kweli!, yani bhas hata dawa ya mswaki una kosa bhas bila dawa hata sugua na mswaki mkavu kwa muda kidogo taratibu usjichubue ilimradi maji yapo, kuhakikisha ulali na chakula mdomoni nayo ni kazi kwetu?

Unakutana na manzi kwa gari tena Dsm ananuka vitunguu hata convo inaishia njiani una kosa nguvu ya salamu! kweli mrembo uwezi kujiangalia kinywa chako!

Tuwafundishe watoto kupiga mswaki katika namna bora na wapige mara mbili kwa siku hata wasiiache njia hii hata watakapokuwa vijana wakubwa mfumo uwe huu katika kila familia jamii iwe yenye vinywa imara siku za usoni.

Harufu ya mwili
Wakuu kuoga mara mbili ni kazi kweli! hata katika uchumi mgumu maji ya chumvi na sabuni ya unga vina panda angalau mwili uusugue uchafu uwe out baada ya shughuli za siku. Kushave nako ni changamoto mtu amependeza ila ana harufu kali hatuna ela ya pafyumu na deodorant pengine uchumi mgumu ndo hata ndimu na limao tushindwe!

Ndimu na limao vinakata kabisaa jasho ,kabla ya kuoga unapakaa maeneo yote yenye kutoa msuguano na jasho kama kwapani lakini ukiwa umesha shave na kutwa nzima hutakuwa na harufu kali hata uwe na jasho kali kama ngonda.

Wakuu usafi ni muhimu mnawezaje kukiss na jamii ya aina hii majority ni wachafu, tuache unafikii upatapo wasaa wa kukaa na mtu ana harufu muelekeze kumsaidia kumkwepa akikufataa ni unafiki na sio sawa msaidie kwa kumwambia atajiskia vibaya ila utakuwa umetibu. Dawa chungu ndo tiba.

Mwambie kumsaidia ndugu jamaa na marafiki zetu ili tuwe huru katika maongezi kuogopa na kumkwepa ni UNAFIKI

Asubuhi njema.
 
Habrini wandugu.

Kupiga mswaki Mara mbili kwa siku ni kitu cha gharama kweli? Kupiga mswaki kwa kusugua ulimi kwa spidi ndogo kwa dakika 2-5 ni kazi! , kuhakikisha ulimi wako ni una rangi nyekundu na si mabaka meupe meupe ni kitu cha kushindwa kweli!, yani bhas hata dawa ya mswaki una kosa bhas bila dawa hata sugua na mswaki mkavu kwa muda kidogo taratibu usjichubue ilimradi maji yapo, kuhakikisha ulali na chakula mdomoni nayo ni kazi kwetu?.
Unakutana na manzi kwa gari tena Dsm ananuka vitunguu hata convo inaishia njiani una kosa nguvu ya salamu! kweli mrembo uwezi kujiangalia kinywa chako!

Tuwafundishe watoto kupiga mswaki katika namna bora na wapige mara mbili kwa siku hata wasiiache njia hii hata watakapokuwa vijana wakubwa mfumo uwe huu katika kila familia jamii iwe yenye vinywa imara siku za usoni.

Harufu ya mwili

Wakuu kuoga mara mbili ni kazi kweli! hata katika uchumi mgumu maji ya chumvi na sabuni ya unga vina panda angalau mwili uusugue uchafu uwe out baada ya shughuli za siku. Kushave nako ni changamoto mtu amependeza ila ana harufu kali hatuna ela ya pafyumu na deodorant pengine uchumi mgumu ndo hata ndimu na limao tushindwe!

Ndimu na limao vinakata kabisaa jasho ,kabla ya kuoga unapakaa maeneo yote yenye kutoa msuguano na jasho kama kwapani lakini ukiwa umesha shave na kutwa nzima hutakuwa na harufu kali hata uwe na jasho kali kama ngonda.

Wakuu usafi ni muhimu mnawezaje kukiss na jamii ya aina hii majority ni wachafu, tuache unafikii upatapo wasaa wa kukaa na mtu ana harufu muelekeze kumsaidia kumkwepa akikufataa ni unafiki na sio sawa msaidie kwa kumwambia atajiskia vibaya ila utakuwa umetibu. Dawa chungu ndo tiba.

Mwambie kumsaidia ndugu jamaa na marafiki zetu ili tuwe huru katika maongezi kuogopa na kumkwepa ni UNAFIKI

Asubuhi njema.
Maji yapo wapi mkuu,
usituchoshe kabisa. umeme wenyewe haupo ,hayo maji yanatoka wapi hadi mtu uoge mara mbili zote, ili iweje kwanza
sisi huku shinyanga vijijini tunaoga mara moja kwa mwezi, mswaki hatupigi kabisa. tuache babu
 
Sina pesa ya kumiliki gari mkuu, ila hata kanisani msikitini na vjwanjani kote unakaaa na watu
Umeandika ukweli, maranyingi ukikaa pekeyako ngumu kujua changamoto za mwilini mwako au ukiwa ufanyi kazi za kukaa na watu wajinsia tofauti sehemu moja kutwa mzima hasa ofisini mimi nilikua na baadhi ya changamoto kadhaa ila kwa kufanya kazi ofisini nimejirekebisha sana either kwa kuambiwa au kumsikia mtu akisemwa na mtu.

Ukiniona Mimi msafi kwa 100% technical wanasema harufu ya mwili huwezi iondosha kwa 100% ila unaweza iweka under management.

Mwili wa binadamu haunuki ila bacterias wanaishi mwilini ndio wanazalisha harufu wakipata mazingira wezeshi ya wao kufanya activities zao Cha kufanya ni kuondosha mazingira wezeshi ya wao kufanya activities zao utakua umetatua tatizo kwa asilimia kadhaa
 
Habrini wandugu,

Mwanadamu amepewa utashi ili ajitofautishe na viumbe wengine inakuaje mwanadamu unaruhusu watu wakose amani kukaa na wewe karibu kwasababu ya harufu ya mwili au kinywa?

Harufu ya kinywa
Kupiga mswaki Mara mbili kwa siku ni kitu cha gharama kweli? Kupiga mswaki kwa kusugua ulimi kwa spidi ndogo kwa dakika 2-5 ni kazi! , kuhakikisha ulimi wako ni una rangi nyekundu na si mabaka meupe meupe ni kitu cha kushindwa kweli!, yani bhas hata dawa ya mswaki una kosa bhas bila dawa hata sugua na mswaki mkavu kwa muda kidogo taratibu usjichubue ilimradi maji yapo, kuhakikisha ulali na chakula mdomoni nayo ni kazi kwetu?

Unakutana na manzi kwa gari tena Dsm ananuka vitunguu hata convo inaishia njiani una kosa nguvu ya salamu! kweli mrembo uwezi kujiangalia kinywa chako!

Tuwafundishe watoto kupiga mswaki katika namna bora na wapige mara mbili kwa siku hata wasiiache njia hii hata watakapokuwa vijana wakubwa mfumo uwe huu katika kila familia jamii iwe yenye vinywa imara siku za usoni.

Harufu ya mwili
Wakuu kuoga mara mbili ni kazi kweli! hata katika uchumi mgumu maji ya chumvi na sabuni ya unga vina panda angalau mwili uusugue uchafu uwe out baada ya shughuli za siku. Kushave nako ni changamoto mtu amependeza ila ana harufu kali hatuna ela ya pafyumu na deodorant pengine uchumi mgumu ndo hata ndimu na limao tushindwe!

Ndimu na limao vinakata kabisaa jasho ,kabla ya kuoga unapakaa maeneo yote yenye kutoa msuguano na jasho kama kwapani lakini ukiwa umesha shave na kutwa nzima hutakuwa na harufu kali hata uwe na jasho kali kama ngonda.

Wakuu usafi ni muhimu mnawezaje kukiss na jamii ya aina hii majority ni wachafu, tuache unafikii upatapo wasaa wa kukaa na mtu ana harufu muelekeze kumsaidia kumkwepa akikufataa ni unafiki na sio sawa msaidie kwa kumwambia atajiskia vibaya ila utakuwa umetibu. Dawa chungu ndo tiba.

Mwambie kumsaidia ndugu jamaa na marafiki zetu ili tuwe huru katika maongezi kuogopa na kumkwepa ni UNAFIKI

Asubuhi njema.
Dakika 5 kwenye Mswaki sijawahi na sijui kama ntakuja fikia huo muda .
 
Maji yapo wapi mkuu,
usituchoshe kabisa. umeme wenyewe haupo ,hayo maji yanatoka wapi hadi mtu uoge mara mbili zote, ili iweje kwanza
sisi huku shinyanga vijijini tunaoga mara moja kwa mwezi, mswaki hatupigi kabisa. tuache babu
Uoge mara mbili na hii baridi?
 
Sisi tunaopanda daladala runapata shida sana, yani kati ya watu 3 mmoja ananuka mdomo. Tena afadhali hata anuke mdomo asipoongea haukerekwi. Lakini kuna wale wanatoa harufu wakipumua(bad breath), aisee!!.
 
Wanasema maisha magumu awawezi kumudu usafi
 
Back
Top Bottom