Naombeni ushauri nimfanye nini mdogo wangu?

Wakuuu habari poleni na pirika pirika ,
Nahitaji msaada kutoka kwenu wa kimawazo maana sasa naelekea kuvunja uduñgu na mdogo wangu kwa tabia zake ambazo hazibadiliki na wala hashituki kabisa

Nianze na historia
Kwetu tumezaliwa watatu wote ni wakiume ,mkubwa ni mimi halàfu anafata dogo ambaye naona kama ni kivuruge , na mdogo wetu wa mwisho ni daktari yupo dodoma

Kwa sasa mimi naishi na mama yetu mzazi ambaye ni mgonjwa kapooza nusu upande na baba alifariki mm nikiwa na miaka 5 mdogo wangu akiwa na miaka 3 na mdogo wetu wa mwisho miezi ,4

sent from HUAWEI
Haya ni matatizo ya familia nyingi za kiafrika, na sijajua uwa ni kwanini mama zetu uwa wanawatetea black family sheeps. Yani ni ngumu sana kuliepuka bila kugombana na mama yako.
Ilipaswa usikubari kubeba jukumu toka mwanzo kwasasa hao watoto huezi wafukuza. La kufanya wewe kuwa na msimamo wasome saint kayumba maana kuwsomesha, kuishi kwako, na kuwatunza tayari ni mzigo tosha. Usikubari ubebeshwe mzigo usiokuwa na maana maana usitegemee unalofanya huyo dogo lako atakuja kukufanyia wewe. Wasaidie madogo ila usipitilize ukajitesa maana wakikua siyo ajabu ukashangaa wanamsaidia zaidi mzee wao wewe wakakuweka pembeni.
Mimi mwenyewe ni bro wangu mmoja yani ni kivuruge hatari, lakini maza humwambii kitu kiasi kwamba yeye ndiye ansomesha hadi watoto wake, bro yeye ni tungi kwa kwenda mbele. Yani imefika mahala ili mama awe na furaha inabidi umtumie karo za watoto wa bro, mpaka matumizi ya ndani ya bro, otherwise maza yuko tayari afanye chochote hata yeye asile ili mradi atimize majukumu ya bro ambaye yeye akipata pesa ni starehe hana hata time na watoto wake.
 
Watoto 8 minimum ndo jamaa amepanga! Kwani ukiwa na watatu (mawazo yangu) si inatosha kuendeleza jina? Labda ana ukwasi wa kutosha ingawaje kwangu mimi isingekuwa kigezo cha kuwa na watoto wengi hivyo.
Ulishasema watu tunatofautiana.
 
Wengine wanahitaji maombi sio wao Bali ni vifungo vya ukoo, mizimu na matambiko ya Babu,bibi huwa inatafuna kizazi mpaka cha nne au zaidi. Mfano hapo ww unawatoto wawil na wao watakuja kuishi Kama ww wataoa/kuolewa wataachana tu. Hao watoto wa Mdogo wako the same kwao angalia Kwenye ukoo wenu utaona viashiria. Maombi ya toba,kujitenga na Ufalme wa Giza unaweza kuwa hukuingia ila uliingizwa ukatolewa na sadaka. Maisha yote yatakuwa kutumia Pesa na kufa maskini leo kinaanza hiki kesho kile ilimradi pesa ziishe umaskin utamalaki. Muombe Mungu sana ombea ukoo,pia Mungu akupe Mtumishi mzuri atakae kuambia Ukwel boss.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Wakuuu habari poleni na pirika pirika ,
Nahitaji msaada kutoka kwenu wa kimawazo maana sasa naelekea kuvunja uduñgu na mdogo wangu kwa tabia zake ambazo hazibadiliki na wala hashituki kabisa

Nianze na historia
Kwetu tumezaliwa watatu wote ni wakiume ,mkubwa ni mimi halàfu anafata dogo ambaye naona kama ni kivuruge , na mdogo wetu wa mwisho ni daktari yupo dodoma

Kwa sasa mimi naishi na mama yetu mzazi ambaye ni mgonjwa kapooza nusu upande na baba alifariki mm nikiwa na miaka 5 mdogo wangu akiwa na miaka 3 na mdogo wetu wa mwisho miezi ,4

Kinachonifanya nije kwenu wanajukwaaa huyu dogo amekuwa na tabia ya kuwapa mabinti mimba halafu haadumii......mpk sasa anajumla ya watoto nane ...kila mmoja ana mama yake na watoto wengine wameletwa kwa bibi yao ambaye ni mama yangu sasa familia imekuwa kubwa kwa upande wangu ,kutokana na mm kuwa na watoto wawili wa mwanamke mmoja tulioana tukaachana sasa kuna timu ya watoto siti

Kinachonitia hasira huyu dogo kaanza kazi mwaka 2009 , lakini huwa hhaudumiii watoto wake kwa chochote ,kila siku hana hela hela wakati basic salary yake ni laki 7 na maana yupo TGTS D ,

Kinachonifanya niwe njia panda ni mama kila dogo anapofanya makosa mama naona kama anamkingia kifuu mwaka jana alisingizia kazini kwao kuwa mama kafariki ,na walimu wenzake wakamchangia hela ...na pole kibao baada ya siku alizokuwa ameomba za likizo kwa ajili ya mazishi

kumalizika hakurudi kazini kama alivyokuwa amedanganya ilibidi mwalimu mkuu wake anipigie simu niliona habari ngeni na nilimkatalia pale pale kuwa mama hajafariki ila namuuguza na huyo mwalimu wako hajafika hata hospitali kumuona mama ,kwa hiyo akawa amewatapeli walimu wenzake kwa stayle hiyo

Mwka jana huo mwez wa tisa alikamatwa mwanza gest x akiwa na line za simu zaidi ya 40 na simu mbili akifanya ule utapeli wa tuma kwenye namba hii akadakwa na watu wa cyber crime mpk mkojo ulimtoka akajikojolea kwa uwoga hakuamini kabisa ..

..!! Nilipigiwa simu kwenda kumuona polisi nilikataa wala kwenda kumuwekea dhamana ....mama alilamika sana unamuacha mwenzako unataka afungwe gerezani hawa watoto wake utawasomesha kutokana na hali ya mam ilinilazimu kwemda kuyamaliza nikatoa kama laki 7 kumaliza kesi na dogo aliaahidi akitoka atanirejeshea baada ya mshahara lakini hakufanya hivyo

Kwa sasa nakaa na timu ya watoto wake wa nne yeye anakula bata huku akiendelea kuwapachika mimba mabinti wasiojielewa huko kishapu shy ,

Mama ananishinikiza niwasomeshe English medium hawa watoto wanne wa dogo , kama wangu wanavyosoma shule nzuri ...nilichomjibu mama nilimwambia baba yao anakaxi nzuri hajawahi kutuma hela ya matumizi hata watoto wakiugua ni mm huo mzigo mm siuwezi hela natoa wapi? Na mm pia nina malengo yangu mama kanuna kampigia mwanae simu

Kinachoniuzi zaidi ni leo mwanaye mmoja kagongwa na piki piki akitoka shule ...na mtoto kaumia vibaya na hakumkatia bima mpk sasa dogo nipo naye bugando ...namuuguza nimeshatumia laki 6 mpk sasa... kuanzia vipimo ,dawa ,wakati nampigia cm akadai tusimpeleke mtoto hospital ya bugado japo rufaa tunayo

yeye hana hiyo hela kama ni hivyo tumwambie aliyemgonga na aliyemgonga yupo polisi kakamatwa ....ikanilazimu nilipe tu hela dogo atibiwe kuokoa maisha yake ....nimepigia cm sasa hivi anasema nimtumie nauli aje kumuona mtoto kesho je nifanye nini kumnyoosha huyu dogo aweze kujitambua maana ni wa mwaka 1987

NIMNYOSHE VIPI HUYU ASINISUMBUE NA MM NIANGALIE MIPANGO YANGU

sent from HUAWEI
alooo kazi unayo mzee baba hapo si mchezo

we ikibidi tafuta mdada wa kazi aje amuhudumie mama yako uwe una mlipa halafu ww ondoka katafute mji wako vinginevyo kazi unayokubwa sana
 
changamoto za namna hii zipo familia nyingi, kumshughulikia huyo dogo si jambo gumu ila ugumu unaletwa na mama anaemkingia kifua mjinga yule, kwa vyovyote utakavyolishughulikiwa suala hili ujue litaleta uadui na bi mkubwa, hivo hapo unapaswa kufanya maamuzi magum hata kama bi mkubwa atanuna maana kama unaogopa kununa kwa bi mkubwa suluhu hutaipata ng'o
 
Wakuuu habari poleni na pirika pirika ,
Nahitaji msaada kutoka kwenu wa kimawazo maana sasa naelekea kuvunja uduñgu na mdogo wangu kwa tabia zake ambazo hazibadiliki na wala hashituki kabisa

Nianze na historia
Kwetu tumezaliwa watatu wote ni wakiume ,mkubwa ni mimi halàfu anafata dogo ambaye naona kama ni kivuruge , na mdogo wetu wa mwisho ni daktari yupo dodoma

Kwa sasa mimi naishi na mama yetu mzazi ambaye ni mgonjwa kapooza nusu upande na baba alifariki mm nikiwa na miaka 5 mdogo wangu akiwa na miaka 3 na mdogo wetu wa mwisho miezi ,4

Kinachonifanya nije kwenu wanajukwaaa huyu dogo amekuwa na tabia ya kuwapa mabinti mimba halafu haadumii......mpk sasa anajumla ya watoto nane ...kila mmoja ana mama yake na watoto wengine wameletwa kwa bibi yao ambaye ni mama yangu sasa familia imekuwa kubwa kwa upande wangu ,kutokana na mm kuwa na watoto wawili wa mwanamke mmoja tulioana tukaachana sasa kuna timu ya watoto siti

Kinachonitia hasira huyu dogo kaanza kazi mwaka 2009 , lakini huwa hhaudumiii watoto wake kwa chochote ,kila siku hana hela hela wakati basic salary yake ni laki 7 na maana yupo TGTS D ,

Kinachonifanya niwe njia panda ni mama kila dogo anapofanya makosa mama naona kama anamkingia kifuu mwaka jana alisingizia kazini kwao kuwa mama kafariki ,na walimu wenzake wakamchangia hela ...na pole kibao baada ya siku alizokuwa ameomba za likizo kwa ajili ya mazishi

kumalizika hakurudi kazini kama alivyokuwa amedanganya ilibidi mwalimu mkuu wake anipigie simu niliona habari ngeni na nilimkatalia pale pale kuwa mama hajafariki ila namuuguza na huyo mwalimu wako hajafika hata hospitali kumuona mama ,kwa hiyo akawa amewatapeli walimu wenzake kwa stayle hiyo

Mwka jana huo mwez wa tisa alikamatwa mwanza gest x akiwa na line za simu zaidi ya 40 na simu mbili akifanya ule utapeli wa tuma kwenye namba hii akadakwa na watu wa cyber crime mpk mkojo ulimtoka akajikojolea kwa uwoga hakuamini kabisa ..

..!! Nilipigiwa simu kwenda kumuona polisi nilikataa wala kwenda kumuwekea dhamana ....mama alilamika sana unamuacha mwenzako unataka afungwe gerezani hawa watoto wake utawasomesha kutokana na hali ya mam ilinilazimu kwemda kuyamaliza nikatoa kama laki 7 kumaliza kesi na dogo aliaahidi akitoka atanirejeshea baada ya mshahara lakini hakufanya hivyo

Kwa sasa nakaa na timu ya watoto wake wa nne yeye anakula bata huku akiendelea kuwapachika mimba mabinti wasiojielewa huko kishapu shy ,

Mama ananishinikiza niwasomeshe English medium hawa watoto wanne wa dogo , kama wangu wanavyosoma shule nzuri ...nilichomjibu mama nilimwambia baba yao anakaxi nzuri hajawahi kutuma hela ya matumizi hata watoto wakiugua ni mm huo mzigo mm siuwezi hela natoa wapi? Na mm pia nina malengo yangu mama kanuna kampigia mwanae simu

Kinachoniuzi zaidi ni leo mwanaye mmoja kagongwa na piki piki akitoka shule ...na mtoto kaumia vibaya na hakumkatia bima mpk sasa dogo nipo naye bugando ...namuuguza nimeshatumia laki 6 mpk sasa... kuanzia vipimo ,dawa ,wakati nampigia cm akadai tusimpeleke mtoto hospital ya bugado japo rufaa tunayo

yeye hana hiyo hela kama ni hivyo tumwambie aliyemgonga na aliyemgonga yupo polisi kakamatwa ....ikanilazimu nilipe tu hela dogo atibiwe kuokoa maisha yake ....nimepigia cm sasa hivi anasema nimtumie nauli aje kumuona mtoto kesho je nifanye nini kumnyoosha huyu dogo aweze kujitambua maana ni wa mwaka 1987

NIMNYOSHE VIPI HUYU ASINISUMBUE NA MM NIANGALIE MIPANGO YANGU

sent from HUAWEI
Kamtoe mbegu awe kama Ng'ombe wa maksai. Upuuzi huu kashauriane na na mdogo wako Daktari.
 
KM NI HELA ZA MALEZI YA WATOTO WAKE,NENDA KWA MWAJIRI WAKE(MKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPITIA KWA AFISA ELIMU WAKE) ATAITWA ATAKALISHWA.NA OMBA AKATWE SEHEMU YA MSHAHARA WAKE KWA AJILI YA MALEZI YA WANAWE.HILO LINAWEZEKANA KWA 💯%
 
Achana na mnuno wa bimkubwa maana hizo ndiyo mambo zao kutetea watoto fyatu na kukuumiza wewe ulietulia.

Hao watoto ni wake na aliwazaa kwa starehe zake kwanini uteseke ambae umazaa watoto wawili tu. Kila mtu apambane kulea watoto wake,huyo mama atanuna kwa muda tu mwisho atacheka. Ukimuendekeza mama huyo dogo ataliza watoto 50 na wote utalea wewe. Unawadhulumu watoto wako kwa starehe za mdogo wako na mapenzi ya mama yako kwa mdogi wako mpumbavu.

Mama yangu alitaka kuniletea huu ujinga yaani nimelea wadogo zangu was mwisho watatu tena watukutu kama nini kwa kumurumia mama eti baadae anayapanga na watoto wake kike waniletee watoto wao,waliisoma namba wote. Wamenuna na mama yao,wamemchongea mke wangu kwa mama kwamba ana roho mbaya hataki ndugu. Wala sijali kabisa,nimetoka shule nikabeba majukumu ya kulea wadogo zangu alafu bado wanataka kunitwisha majukumu tu.

Mpelekee watoto wake jinga hilo,kama hawezi kulea atawapeleka kwa mama zao.
 
KM NI HELA ZA MALEZI YA WATOTO WAKE,NENDA KWA MWAJIRI WAKE(MKURUGENZI WA HALMASHAURI KUPITIA KWA AFISA ELIMU WAKE) ATAITWA ATAKALISHWA.NA OMBA AKATWE SEHEMU YA MSHAHARA WAKE KWA AJILI YA MALEZI YA WANAWE.HILO LINAWEZEKANA KWA 💯%

Mpelekee watoto wake alee mwenyewe yaani starehe za mdogo wake tabu apate yeye. Akifanya mchezo huyo dogo ataendelea kuzalisha tu. Kama huwezi kulea kwanini uzalishe,pumbavu kabisa.
 
Kimsingi huyo dogo ni wakufundishwa adabu,heshima na nidhamu.ili ajifunze.
 
Leo tumeruhusiwa kutoka hospital ya Bugando nafika tena home nakuta sura ngeni ....... Kumbe mtoto mwingine kaletwa hajui kiswahili anabonga kisukuma tu nauliza huyu mtoto wa nani na ambiwa wa dogo cjui alizaa na nesi .. mama yake kamleta ... Hapo watoto wamefika watano

Nimeingia ndani kulala sababu nausingizi wa kukesha hospital kwa hizo siku 4 mfululizo ... Na huku nikiwaza namna nitakavyoumaliza mwez maana hela kubwa nimetumia hospital

Nashangaa mama ananiita ... Naenda citing room kumsikiliza anadai leo siku ya mnada nilete hela daogo mpya akanunuliwe ili jtatu nimpeleke shule ... Nimemwambia mama sina hela , na pia sio kazi yangu , kanuna hapa kagoma hata kula ... Sasa nafikiria niwatoe wanangu hapa home waende kwa mama yao ... Halafu nibaki na watoto wa dogo niache kabisa kutoa matumizi nimeshachoka na huu utumwa
 
Si uame tu home ukaishi peke ako heri lawama kulko fedheha uez pewa laana kisa ujinga wa mdogo wako ningekua mn nshaamsha kitambo
 
Muitie bata,kama kuna bonge la party akupe company.
Mkifika huko mpe via za kutosha kisha ni vibao kwa kwenda mbere,unampa vibao unampatia glas ashushie,we usiwe na hasira,unamtandika huku unacheka tu km vile hamna kilichotokea.
Atakuelewa sana
Duh!!!!,hapa ndo umemshauri mwenzako.Anyway wanasemaga hoja haipigwi rungu.
 
1985, 1987 na 1991

Pole kwa hilo dhahama. Bro, ukiwa unatafuta ushauri kwa mambo mazito kidogo, upe uandishi wako uzito, sina hakika kama tuna matumizi na X kwenye kiswahili chetu, kidogo inasababisha ukakasi.

Tukirudi kwenye mada, HUNA utakaloweza kufanya kurekebisha hiyo tabia ya bwana mdogo wako. Ni tatizo common kwa kila familia, kuna mmoja kati yenu atakuwa fyatu tu na ndio unakuta anawekwa chini ya mbawa za wazee.

Mnaishi nyumba ya familia au kila mtu ana kwake? Hao watoto wanaletwa kwako kwa kigezo cha kuwapeleka kwa bibi au ndio wanaletwa kwa mlezi wa wana wewe?

Unachoweza kufanya, kama unao moyo huo; huyo bwana kuwa muajiriwa inatosha kusema kila anachofanya ana kielewa. Sasa wewe usielewe anachokifanya.

Aaargh, kila nikijaribu kukushauri cha kufanya, naona kabisa nitakuwa nakudanganya tu kwakuwa tunazo kesi kama hizo kwa kila uzao wa baba zetu, kuna mwingine anaingia 50 Dec, watoto wanalelewa na ma-grand na wadogo zake, ikiwa na yeye mwenyewe pia anakaa kwa mzee. Mwingine naye ana watoto wanane, kila mmoja na mama'ake, mwingine anaingia 4th floor hivi karibuni, hatujui anakoishi, kama ana kazi au hana, anajua kila nyumbani kwa ndugu, ndio jinsi tunavyokutana nae.

Hao wote ni kutoka kwa familia tofauti. Ila ni mara chache kukuta uzao wa pili unakuwa chenga, ama wa kwanza au wa mwisho.

Bro, we fanya unavyoona nafsi yako inakuelekeza kufanya, mi sihangaiki na mijitu ambayo inaweza kujitetea, watoto hawawezi kujitetea, wanakuhitaji ILA pia wema ukizidi uwezo, ni dhambi wanasema waumini.
Upo sahihi mkuu.
 
Mkuu pole sana.Umeshawahi itisha kikao cha Ukoo ili kuweza kumuonya mbele ya wazee?.Ama sivyo nenda hadi kwa mwajiri wake ili kuona namna ya kuwasaidia hao watoto wake.
 
Wakuuu habari poleni na pirika pirika ,
Nahitaji msaada kutoka kwenu wa kimawazo maana sasa naelekea kuvunja uduñgu na mdogo wangu kwa tabia zake ambazo hazibadiliki na wala hashituki kabisa

Nianze na historia
Kwetu tumezaliwa watatu wote ni wakiume ,mkubwa ni mimi halàfu anafata dogo ambaye naona kama ni kivuruge , na mdogo wetu wa mwisho ni daktari yupo dodoma

Kwa sasa mimi naishi na mama yetu mzazi ambaye ni mgonjwa kapooza nusu upande na baba alifariki mm nikiwa na miaka 5 mdogo wangu akiwa na miaka 3 na mdogo wetu wa mwisho miezi ,4

Kinachonifanya nije kwenu wanajukwaaa huyu dogo amekuwa na tabia ya kuwapa mabinti mimba halafu haadumii......mpk sasa anajumla ya watoto nane ...kila mmoja ana mama yake na watoto wengine wameletwa kwa bibi yao ambaye ni mama yangu sasa familia imekuwa kubwa kwa upande wangu ,kutokana na mm kuwa na watoto wawili wa mwanamke mmoja tulioana tukaachana sasa kuna timu ya watoto siti

Kinachonitia hasira huyu dogo kaanza kazi mwaka 2009 , lakini huwa hhaudumiii watoto wake kwa chochote ,kila siku hana hela hela wakati basic salary yake ni laki 7 na maana yupo TGTS D ,

Kinachonifanya niwe njia panda ni mama kila dogo anapofanya makosa mama naona kama anamkingia kifuu mwaka jana alisingizia kazini kwao kuwa mama kafariki ,na walimu wenzake wakamchangia hela ...na pole kibao baada ya siku alizokuwa ameomba za likizo kwa ajili ya mazishi

kumalizika hakurudi kazini kama alivyokuwa amedanganya ilibidi mwalimu mkuu wake anipigie simu niliona habari ngeni na nilimkatalia pale pale kuwa mama hajafariki ila namuuguza na huyo mwalimu wako hajafika hata hospitali kumuona mama ,kwa hiyo akawa amewatapeli walimu wenzake kwa stayle hiyo

Mwka jana huo mwez wa tisa alikamatwa mwanza gest x akiwa na line za simu zaidi ya 40 na simu mbili akifanya ule utapeli wa tuma kwenye namba hii akadakwa na watu wa cyber crime mpk mkojo ulimtoka akajikojolea kwa uwoga hakuamini kabisa ..

..!! Nilipigiwa simu kwenda kumuona polisi nilikataa wala kwenda kumuwekea dhamana ....mama alilamika sana unamuacha mwenzako unataka afungwe gerezani hawa watoto wake utawasomesha kutokana na hali ya mam ilinilazimu kwemda kuyamaliza nikatoa kama laki 7 kumaliza kesi na dogo aliaahidi akitoka atanirejeshea baada ya mshahara lakini hakufanya hivyo

Kwa sasa nakaa na timu ya watoto wake wa nne yeye anakula bata huku akiendelea kuwapachika mimba mabinti wasiojielewa huko kishapu shy ,

Mama ananishinikiza niwasomeshe English medium hawa watoto wanne wa dogo , kama wangu wanavyosoma shule nzuri ...nilichomjibu mama nilimwambia baba yao anakaxi nzuri hajawahi kutuma hela ya matumizi hata watoto wakiugua ni mm huo mzigo mm siuwezi hela natoa wapi? Na mm pia nina malengo yangu mama kanuna kampigia mwanae simu

Kinachoniuzi zaidi ni leo mwanaye mmoja kagongwa na piki piki akitoka shule ...na mtoto kaumia vibaya na hakumkatia bima mpk sasa dogo nipo naye bugando ...namuuguza nimeshatumia laki 6 mpk sasa... kuanzia vipimo ,dawa ,wakati nampigia cm akadai tusimpeleke mtoto hospital ya bugado japo rufaa tunayo

yeye hana hiyo hela kama ni hivyo tumwambie aliyemgonga na aliyemgonga yupo polisi kakamatwa ....ikanilazimu nilipe tu hela dogo atibiwe kuokoa maisha yake ....nimepigia cm sasa hivi anasema nimtumie nauli aje kumuona mtoto kesho je nifanye nini kumnyoosha huyu dogo aweze kujitambua maana ni wa mwaka 1987

NIMNYOSHE VIPI HUYU ASINISUMBUE NA MM NIANGALIE MIPANGO YANGU

sent from HUAWEI
Mkuu sikia huyoo dogo ni kama ana dharauu na,kuwaona mafalaa cha msingii si unajua anapoo kaaa fanya hivi chukua watoto kila ijumaa mpeleke wakae kwake wote kwa gharama yoyote. Hiloo moja

Pili kubalii lawama kwa lolote lile usijihushishe kwa chochote kuhusu wanaee hii itapelekea mama mtu ku mlala mikia muhusika.

3:mpigie simu mwambiee umechoka kuwa hangaikia watoto na upumbavu wake anao ufanyaaa.

4: hama unapo kaa kaa mbalii na maeneo na wazazi uwe unakuja kwa ajilia ya mama au tafuta mfanya kaziii kama ikiwezekana....

5: usiwe na roho ya huruma maana jamaa anakuchukulia kama lofaaa

6😛unguza hurumaa we mkubwa mdogo ana kuchanganyaaa... Siku muache polisiii kwa mda kama miezii 4 hivii akili ikaee sawa

Sent using mt4 app
 
Duh!!!!,hapa ndo umemshauri mwenzako.Anyway wanasemaga hoja haipigwi rungu.
huo ndo mfano nilitumia kwa mdogo wangu na heshima ilirudi kasi sana mpaka leo anajitambua,km wwe ni mdogo wa mtu na unazingua basi bro wako ashasoma hapa jiandae kunyooshwa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom