rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Mama yako labda hakusoma lakini hata akili za maisha hanaa kweli????! Hivi mama anawezaje kulea ujingaa wa mdogo wako kiasii hichoooo...!?? Mkuu acha uzobaaaa...Leo tumeruhusiwa kutoka hospital ya Bugando nafika tena home nakuta sura ngeni ....... Kumbe mtoto mwingine kaletwa hajui kiswahili anabonga kisukuma tu nauliza huyu mtoto wa nani na ambiwa wa dogo cjui alizaa na nesi .. mama yake kamleta ... Hapo watoto wamefika watano
Nimeingia ndani kulala sababu nausingizi wa kukesha hospital kwa hizo siku 4 mfululizo ... Na huku nikiwaza namna nitakavyoumaliza mwez maana hela kubwa nimetumia hospital
Nashangaa mama ananiita ... Naenda citing room kumsikiliza anadai leo siku ya mnada nilete hela daogo mpya akanunuliwe ili jtatu nimpeleke shule ... Nimemwambia mama sina hela , na pia sio kazi yangu , kanuna hapa kagoma hata kula ... Sasa nafikiria niwatoe wanangu hapa home waende kwa mama yao ... Halafu nibaki na watoto wa dogo niache kabisa kutoa matumizi nimeshachoka na huu utumwa