Kiukweli ni hakika kuwa maria ananipenda sana amekuwa mvumilifu ana sifa ya kuwa mama Watoto
ukweli utakuweka huru!!! Pima faida na hasara, mwambie mwanachuo ukweli juu ya mahusiano yako na Maria, hasa hiki nilichokinukuu.
Naamini Maria atashangaa akisikia juu ya mwanachuo. Fanya maamuzi ya hekima haraka.
Nasikitika kuona wadada wanavyohadaishwa, nasikitika sana utadhania wahusika kwenye hii issue ni dada zangu. Naona mwanzo wa kuwa na hidden mke along side public mke. Nimeumia aisee...