Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Mimi ninachokiona kwako ni kwamba, kwa MARIA umeingiwa na moyo wa HURUMA ila huna MAPENZI ya dhati kwake!
 
Maria atakufaa,wanachuo vigeu geu apo tayar chuo ana mtu atakayemsaidia kitaaluma ambye atamgeda pia,na lazima awe ambaye atamspot financially ili kusolve boom prblm
 
Usirudi kwa maria ...Wewe tamaa ndio zmekutawala hakuna mapenz hapo
 
Daaa, yaan kazi ya wana JF kuamua kesi zilizoshindikana.

Siamini kama moyo wako haujaamua. Hisia zangu, moyo wako tayari unajibu ila unaogopa kumuumiza mtoto wa chuo.

First point!! Ukweli utakuweka huru.

Mke wako ni yule wa Singida.

Sema uandishi wako ni kabambe..
 
Maria atakufaa,wanachuo vigeu geu apo tayar chuo ana mtu atakayemsaidia kitaaluma ambye atamgeda pia,na lazima awe ambaye atamspot financially ili kusolve boom prblm
Hpn huyu mwanamke kalelewa vizur na mama yake ni tofauti na wasichana wengine
 
Mimi ninachokiona kwako ni kwamba, kwa MARIA umeingiwa na moyo wa HURUMA ila huna MAPENZI ya dhati kwake!
Aliongea maneno yalionigusa nikawa sina jinsi hasira zote juu yake zikaisha alafu sasa iv kawa mkubwa kiakili anajua kupangilia maisha
Ana akili kuliko huyu wa chuo na kosa aman
 
Mij2 mingne bana...asa km huyo Maria alkua hajui kuvaa c ungemvsha apendeze ili naye awe kwny list ya kuvutia!!?

Na ole wako umuoe huyo wa chuo,utajuta maisha yako yote!!!

Kumbuka huyo wa chuo anakupenda na kukuheshm 7bu ya vjsent vyako na elewa watoto weng wa mjn wanapenda v2 vnavyoonekana lyk pesa,gar nk!!

Maria ana'nia nzur na fu2re yenu tena unatakiwa kumhesh na kumpenda sana Maria la cvyo utakuja kujutia k2 ambacho ktaumiza sana maisha yako!!

Take care n'Mungu akusaidie
 
Unapenda mtelezo, we ganda la ndizi ulishindwa kumpendezesha sahivi wenzio wamependezesha unabaki kusifia tu Maria mzuri Maria kapendeza Maria anapesa....we umesomea Sanaa ila mwanamke ni "msanii" tangu anazaliwa tulia hivo hivo wakunyooshe
 
Tayari ushaseme unampenda sana mwana college wako sasa tukushauri nini wakati maria unamuonea tu huruma lakini humpendi? Inamaana tukikushauri urudi kwa maria siku huruma itaisha utamuumiza tena mnyaturu wa watu we fuata Maisha yako upendavyo usituletee ngonjera hapa
Maria nimemuonea huruma lakini nimekumbuka siku za nyuma jinsi tulivopendana kwa mda mrefu imenibidi nimpende tena
Maria anaonyesha kuniheshimu sana siku hizi utoto mwing kauacha kawa mtulivu mwenzake wa chuo nampenda coz ye mwenyewe anaonyesha kunipenda pia ila sijui km ana akili km za maria kwa kweli maria kawa mjanja sana hana sera za kishamba tena na anasema ye hapat mume na umr unaenda anaomba nimwoe hivo ili tuwe na family imara anajielewa
 
Mkuu huyo wa chuo hafai hata kidogo... acha akufirisi then akuache solemba hapo ndiyo utalijua jiji la dar es salaam.
 
Maria Roza mchezee kale kawimbo ka Maria Roza mtapatana tu.
 
Kama kweli unaomba ushauri na unamaanisha,

1. Futa mtazamo wa pesa za maria, mpende maria kama maria kwani maria anakupenda pia.

2. Muoe Maria haraka iwezekanavyo.

3. Huyu mwanachuo usimwambie kitu, punguza mawasiliano taratibu sana na muweke wazi maria juu ya mwanachuo.

Ndoa njema na usichepuke kamwe.

Kumbuka kuleta mrejesho.

Ahsante

Mkuu umenena; naomba niongezee nenol
1.Baada ya kufanya ya hapo juu,afunguke kwa bint wa chuo kwa kumwambia ukweli hata kwa njia ya simu.
2.Hakikisha unasimama imara na Maria ili usiwapoteze wote.
 
Mij2 mingne bana...asa km huyo Maria alkua hajui kuvaa c ungemvsha apendeze ili naye awe kwny list ya kuvutia!!?

Na ole wako umuoe huyo wa chuo,utajuta maisha yako yote!!!

Kumbuka huyo wa chuo anakupenda na kukuheshm 7bu ya vjsent vyako na elewa watoto weng wa mjn wanapenda v2 vnavyoonekana lyk pesa,gar nk!!

Maria ana'nia nzur na fu2re yenu tena unatakiwa kumhesh na kumpenda sana Maria la cvyo utakuja kujutia k2 ambacho ktaumiza sana maisha yako!!

Take care n'Mungu akusaidie
Ndo maana nimesema binadam dunian hatujakamilika kwa kwel nilifanya kosa nadhani kipind hicho sijui wote tulikuwa hatujielew
 
Wadau january shule zinafunguliwa lini?manake naona likizo ishawafanya watoto waanze kuwaza mapicha picha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom