Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Bora uwe na yule unayeyafahamu mapungufu yake (Maria)

Ila kwani ukiwaoa wote kuna tatizo gani sheikh?
 
Bora uwe na yule unayeyafahamu mapungufu yake (Maria)

Ila kwani ukiwaoa wote kuna tatizo gani sheikh?
Jina langu John na tena kila jpili naenda church alafu duh hata km dini ingeruhusu siwez kuishi na wanawake wawili na sbb kubwa ni kuwa na moyo mmoja hivo ni wajibu wangu kumiliki mmoja
 
bakia na wa chuo Maria mnipe mimi
Maria sio mchezo siku hizi me mwenyewe nilidata siku naenda kukutana nae hukoo tegeta aisee mtoto kawa shida niache uwongo nimempenda kwa mara nyingine na kumtaman mbayaa
We ntakutaftia mwingine hawa waache kwanza niseme nao nijue mwishowe
 
Maria sio mchezo siku hizi me mwenyewe nilidata siku naenda kukutana nae hukoo tegeta aisee mtoto kawa shida niache uwongo nimempenda kwa mara nyingine na kumtaman mbayaa We ntakutaftia mwingine hawa waache kwanza niseme nao nijue mwishowe
Huo ni ubadhirifu pia, subira kutumbuliwa
 
Kama kweli unaomba ushauri na unamaanisha,

1. Futa mtazamo wa pesa za maria, mpende maria kama maria kwani maria anakupenda pia.

2. Muoe Maria haraka iwezekanavyo.

3. Huyu mwanachuo usimwambie kitu, punguza mawasiliano taratibu sana na muweke wazi maria juu ya mwanachuo.

Ndoa njema na usichepuke kamwe.


Kumbuka kuleta mrejesho.


Ahsante

Sasa umeshasema Maria kakiri alikusaliti kwa wafanyabiashara apo Naona unatafta magonywa wafanyabiashara hususan wa mipakan kama mbeya wanajulikana walivyomuamia na magonjwa yetu yale kutokana na muingiliano na nchi jiran pia fanya utaft ujue chanzo cha ela zake iskute kapewa mtaji na hao jamaa zake ..pili r a man acha kulialia fanya maamuzi. ...huyo wa chuo anaonekana yupo smart ila kuna msemo unasema ukisomesha mchumba ni hatari atamaliza atakukmbia japo si wote cha kufanya madam wa chuo upo nae karbu muweke ndani chap uskawze ni mawazo yangu si lazma uyachukue...kama ndio anaanza frst yr upo hatarin akfka 2 year na kuendelea wajanja wanaweza kukunyang'anya kama haupo focused kwenye masuala ya maendeleo...la muhmu zaidi mke mwema anatoka kwa Mungu mshirikishe Mungu kwa maombi ili maamuzi utakayoyafanya yawe sahihi...ni vizuri ukaangalia mcha Mungu
 
Sasa umeshasema Maria kakiri alikusaliti kwa wafanyabiashara apo Naona unatafta magonywa wafanyabiashara hususan wa mipakan kama mbeya wanajulikana walivyomuamia na magonjwa yetu yale kutokana na muingiliano na nchi jiran pia fanya utaft ujue chanzo cha ela zake iskute kapewa mtaji na hao jamaa zake ..pili r a man acha kulialia fanya maamuzi. ...huyo wa chuo anaonekana yupo smart ila kuna msemo unasema ukisomesha mchumba ni hatari atamaliza atakukmbia japo si wote cha kufanya madam wa chuo upo nae karbu muweke ndani chap uakawze ni mawazo yangu si lazma uyachukue

Mawazo yako ni mazuri sana nadhani yamejaa hekima hata me nlifikiria sana kvp maria ameweza kuanza ujenz wa nyumba huko kijijin akati me hata kiwanja sina
 
We humpendi maria na unataka kumtumia tu..in short we kijana unatamaa.. Mana unawaza pesa za maria tu na alivyopendeza haya yalikushinda nn kumtunza kupindi uko nae sasa katunzwa kapendeza ndio unaanza kujisogeza nyie ndio wale Mke akizaa Mara mbili tu mnaenda kutafuta michepuko badala ya kuzidisha matunzo na Upendo kwake .....in short we kilaza na huna maana na hujatulia
 
Mawazo yako ni mazuri sana nadhani yamejaa hekima hata me nlifikiria sana kvp maria ameweza kuanza ujenz wa nyumba huko kijijin akati me hata kiwanja sina
Where ur ...mwanamke anaweza kua anachepuka na anakuonyesha mapenzi kuchepuka hakupunguzi mapenzi ni sawa na kusema mtu Ana mke na ana mchepuko hapunguzi mapenzi kwa mke wake labda kwa wachache wasiojua umuhimu wa mke...kwa hiyo yeye kuonyesha anakupenda ts just a feeling bt simuhukumu ila anaweza kua anaendelea nao...pia u mbali ktk mahusiano si mzuri umbali tunajua unasababshwa na kazi hatuna jinsi bt mtu uliyenaye karbu kwa stage ya uhusiano kabla ya ndoa unaweza kumsoma vzuri....bt huyo wa chuo kama ni wale wa kila club mpya ikifunguliwa wanajua adi tarehe ya uznduz na sku ya ladies free una hatari ...unaweza ikakubd umwage wote
 
Hayo Ni matatizo ya wavulana wakibalehe ukiwa mkubwa utaacha....
 
Jitu hujui unataka nini halafu unataka tukushauri nini?
Ww endelea tu kurukaruka si umesomea sanaa?

Mda ukifika ndio utakuja kujuta.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Jitu hujui unataka nini halafu unataka tukushauri nini?
Ww endelea tu kurukaruka si umesomea sanaa?

Mda ukifika ndio utakuja kujuta.
Kimsingi nataka nijue kama kumrudia maria na kumuacha huyu nilienaye ni sahihi kwa kuwa tu maria ananifaa kwamba mawazo yangu au labda nisijaribu kabla sijaja kujuta ni kwa nn nilimwacha mpenz wangu mpya ambaye ameonesha kunikolea sana
Mbn easy sana kuelewa nashangaa wewe tu unajikuta hunipati
 
me naona maria kakuzidi akili sana tena sana,chakufanya shikamana na maria atakusaidia katika maisha yako na mtajenga familia bora kupitia yeye....
 
Kimsingi nataka nijue kama kumrudia maria na kumuacha huyu nilienaye ni sahihi kwa kuwa tu maria ananifaa kwamba mawazo yangu au labda nisijaribu kabla sijaja kujuta ni kwa nn nilimwacha mpenz wangu mpya ambaye ameonesha kunikolea sana
Mbn easy sana kuelewa nashangaa wewe tu unajikuta hunipati

tatzo hujielewi sasa ss tutakuelewaje?
Ww ndio unawajua hao wanawake. Unamjua vzr sana maria kuliko ss, unamjua kauli yake,utamu wake, na tabia kwa ujumla na huyo mwingn unamjua vzr sana kuliko sisi sasa ww ndio unatakiwa uwaweke kwenye uzan kwa kuyalinganisha mazuri yao na mabaya yao na uhaifu sasa ww kwasababu unajitoa ufahamu unakuja kutuuliza sisi ambao hata hatuwajui unataka tukuamulie hivi znakutosha kweli?

Kwa hali hyo unatakiwa urudi tena kwa baba na mama ili uendelee kulewlewa maana bado akili haijakuwa.
 
Kumbuka msaada wako ni Mungu peke yake acha pombe mrudie Mungu nae atakupa mke mwema usitangetange baki njia kuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom