Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Sasa ishu inakua ngumu wapi huyu wa chuo ananipenda sana kila siku ananisisitizia nisije kumtenda kiukweli na yeye ametulia ingawa sio mtafutaji kama alivo maria.. Nashukuru mungu huyu wa chuo na ye huwa ana nidham na hela ananikumbushaga mambo muhim ya kufanya ili nipate maendeleo ni mshaur mzur tu

we nawe mbona unasumbua na majibu yako, basi owa wote wawili, mmoja wa kukupenda mwingine unae mpenda wewe.
 
Ndoa si suala la kuoneana huruma, ni suala la upendo wa "dhati" kutoka moyoni, ni kwa shida na raha(milele), kaa chini tafakari kwa kina maana ya neno milele, utapambanua mwenyewe yupi anakufaa, sema na moyo wako mshirikishe Mungu
 
we nawe mbona unasumbua na majibu yako, basi owa wote wawili, mmoja wa kukupenda mwingine unae mpenda wewe.

tehteh Sara taratiibu basi utamfanya azimie mwenzio
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom