Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

Mkuu huyo wa chuo hafai hata kidogo... acha akufirisi then akuache solemba hapo ndiyo utalijua jiji la dar es salaam.
Huyu wa chuo na uhakika japo sio sana kuwa malezi aliyokulia ni ya dini sana anajiheshimu pia ila sidhan km anamfikia maria akili za maisha na ku care familia
 
Umeona eee, huyu jamaa aitaka pesa ya maria

Ha ha haaaaa,huyo jamaa ananikumbusha MARIA ROZA wa commedian flan wa uganda.
Maamuz mbona yapo mikonon mwako tu.,chukua kitu MARIA uweke ndani kwa kuhalalishiwa na padre/mchungaji.
 
Huyu wa chuo na uhakika japo sio sana kuwa malezi aliyokulia ni ya dini sana anajiheshimu pia ila sidhan km anamfikia maria akili za maisha na ku care familia

Sasa kama ushaona who is the best unataka nini tena hapa?
 
Achana na wote! Alafu jifunze kuandika kwa para na sio kama unatereza tu. Tumia kichwa cha juu vzr
 
Maria usimrudie John
Tafadhal sana usiseme hivo nimeshuhudia kwa mara ya kwanza mwanamke nayenipenda akinambia ukwel kuhusu yeye maria ipo waz ananipenda sana
Huyu mtoto mpya nilienaye Dar ana niheshimu mnoo huwa ananibariki sana
 
Wadau january shule zinafunguliwa lini?manake naona likizo ishawafanya watoto waanze kuwaza mapicha picha.
Nilijua tu wapo watu hawataiamin ila sio mbaya me ndo naujua ukwel kwamba inanitoke kweli au lah!!
We fanya km ni story alafu itolee mchango
 
Umeona eee, huyu jamaa aitaka pesa ya maria
Tuache unafki jambilo kuna mtu hpendi pesa ukwel maria hana pesa kivile yaani sana ila anachonivutia ni mtafutaji haswa
 
Kaka sehem iliyotulia fumba macho, na kwa hisia iulize nafsi yako ni yupi kati yao ukiishi nae utakuwa na furaha, ni yupi uunasikia raha kumtamkia neno nakupenda, lazma kunammoja kati yao unapomwambia unampenda roho yako inatabasam unafeel mpaka kwenye ubongo..
Ukishapata jibu basi huyo ndo wa kuoa, oa kwa sababu unampenda unamfeel for real na si kuigiza, usioe kwa sababu kapendeza au kawa mzuri.. Je ikitokea gafla hana pesa na hapendezi? Tafakari.
 
Sasa kama ushaona who is the best unataka nini tena hapa?
Sasa ishu inakua ngumu wapi huyu wa chuo ananipenda sana kila siku ananisisitizia nisije kumtenda kiukweli na yeye ametulia ingawa sio mtafutaji kama alivo maria.. Nashukuru mungu huyu wa chuo na ye huwa ana nidham na hela ananikumbushaga mambo muhim ya kufanya ili nipate maendeleo ni mshaur mzur tu
 
Mambo ya nani uishi naye maisha yako yote sio mambo ya kuombea ushauri JF. Funga na umuombe Mungu akuoneshe - shetani anaipenda sana hiyo sekta - anajua akikuvuruga hapo tu ameua ndege wengi sana kwa jiwe moja.
 
Kaka sehem iliyotulia fumba macho, na kwa hisia iulize nafsi yako ni yupi kati yao ukiishi nae utakuwa na furaha, ni yupi uunasikia raha kumtamkia neno nakupenda, lazma kunammoja kati yao unapomwambia unampenda roho yako inatabasam unafeel mpaka kwenye ubongo..
Ukishapata jibu basi huyo ndo wa kuoa, oa kwa sababu unampenda unamfeel for real na si kuigiza, usioe kwa sababu kapendeza au kawa mzuri.. Je ikitokea gafla hana pesa na hapendezi? Tafakari.
Nimekuelewa sana kiukweli mwanzo huyu wa chuo nlitulia naye hatujawah kugombana ugomvi wowote mkubwa ana heshima sana
Maria yeye ananiumiza anavonambia haoni mwanaume mwingine anaomba nimsamehe hatakosea tena na ukizingatia maria ni wa zaman ndugu zangu wengi wanamwelewa
 
Maria nimemuonea huruma lakini nimekumbuka siku za nyuma jinsi tulivopendana kwa mda mrefu imenibidi nimpende tena
Maria anaonyesha kuniheshimu sana siku hizi utoto mwing kauacha kawa mtulivu mwenzake wa chuo nampenda coz ye mwenyewe anaonyesha kunipenda pia ila sijui km ana akili km za maria kwa kweli maria kawa mjanja sana hana sera za kishamba tena na anasema ye hapat mume na umr unaenda anaomba nimwoe hivo ili tuwe na family imara anajielewa

Okay muoe maria maana yupo tayar kuliko umsubiri mwana CHUO mwisho akutose maumivu yake hutoweza kuja kuelezea hapa maana unaweza kufa kwa Presha ya aibu huo ni ushauri wangu kwako kwani usipo umiza utaumizwa bora nini Kwa upande wako kuumiza au kuumizwa?
 
Hujampenda Maria ila nahis umependa pesa zake
 
Umeamua kumiwaza maria kwa kuwa Siku hizi ana hela na anajua kuvaa vizuri wakaya una mwambia ni mshamba hukijua kuwa atakuja kuwa mwanamke tofauti na ulivyokuwa unamfikiria; sasa mkuu chagua moja maana huyo Wa dar amekupenda kwa muda mfupi hujui alikuwa na nani kabla yako wewe na maria we ndio uliyemtoa singida hadi mbeya kwa hyo unamjua mwanzo mwisho chagua moja
 
I will be back in Arnold Schwarzenegger,'s voice😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
mbona hiyo Kauli Maria Ana pesa unapenda sana kuitumia? Isijekuwa hapo kwenye ''Maria anapesa' ndipo unapohitaji kuliko uhalisia wa Penzi lenyewe na Hata ndoa yenyewe

Mwenyew nashangaa! Why anaangalia zaid hela na biashara za maria?
 
Hujampenda Maria ila nahis umependa pesa zake
Hapana sio kweli ninachokipendea kwa maria sio pesa bali ni jinsi ana vo hustle kutwa kuzitafuta, hata hivo pesa aliyonayo sio kubwa sana ila kwa muda mfupi alioanza kazi na hasa ukiangalia ni mtoto wa kike kwa kwel ana hitaji pongezi.. Kama huku Dar ningepata mwanamke wa ajabu (sifa zao unazijua) nisingejiuliza mara mbili ningemchukua mtoto maria jumla ila ugumu ni kuwa hata huyu mtoto wa Dar anajitahid kunipenda na kunionyesha ana iman asilimia Mia kuwa akimaliza shule lzm nimuoe japo mipango yote sikuwah kumwmbia dadake naye tunaheshimiana nae anasema tufunge harus mapema atatusapot kimtindo
 
Ww somesha halaf wataoa wengne,halaf huna msimamo nmeshakuona unapenda penda penda tuuu ovyoooo
 
  • Thanks
Reactions: nao

Similar Discussions

Back
Top Bottom